Liverpool vs Napoli

kwa iyo kavuka kwa sheria ya herufi au L inatangulia alaf inafuata N ? sijaelewa maana goal difference wako sawa
Liverpool kapita kwakuwa alifunga magoli mengi kuliko Napoli. Kwakuwa sheria ya Head to head inafanana pia goal difference.
 
sio sbb mbona liver kafungwa game zote za ugenn na Napoli katoka draw na psg home n away na draw away na red star
Liver bado Ngoma ya kitoto sana Ulaya
Ajipange kwanza EPL achukuwe ndoo japo Mara 2
Ndio atakuwa amekomaa UEFA
NI MAONI YANGU NA NILIPENDA SANA ASHINDE HATA NNE
 
sio sbb mbona liver kafungwa game zote za ugenn na Napoli katoka draw na psg home n away na draw away na red star


Hiyo ni Head2Head mzee; Napoli kazifunga timu mbili tu huku Liverpool kafunga Group zima
 
Napoli hajamfunga PSG, Liverpool kafunga timu zote kwenye kundi
naona goal difference wako sawa mawili
Screenshot_2018-12-12-11-55-41.jpeg
 
Liverpool wanastahili kubaki UEFA huko Europa kuna wenyewe wameshapazoea wanajijua
 
Liverpool wanastahili kubaki UEFA huko Europa kuna wenyewe wameshapazoea wanajijua
 
Liverpool alifungwa na Napoli Italia 2 - 1, lakini Liverpool kashinda England 1 - 0, ina maana head to head ni 2 - 2, ila Liver amepata goli la ugenini kule Italy na napoli hawakupata goli England, ndio maana liver kapita na kumuachia manyoya napoli, Hali wamefanana kila kitu.
 
Back
Top Bottom