Liverpool vs Napoli

Wolf

JF-Expert Member
Oct 27, 2015
313
255
Sijui kama Liverpool wanatoka kwenye game hii ya Leo vipi kuhusu maoni yako juu ya mechi kali na ya kukata na shoka
Karibu mwana jf:-
Screenshot_2018-12-11-18-43-38.jpeg
 
Game itakuwa nzuri mno ila kinachoweza amua hii game ni mbinu na uzoefu wa makocha katika hatua kama hii... Mimi naona wanaenda sare ya 2 - 2 na kama liver akishinda basi haizidi goli 2 - 1
 
Liverpool hii ya klopp imebadilika sana ngoja tuone
Game itakuwa nzuri mno ila kinachoweza amua hii game ni mbinu na uzoefu wa makocha katika hatua kama hii... Mimi naona wanaenda sare ya 2 - 2 na kama liver akishinda basi haizidi goli 2 - 1
 
Naomba ukiwa unatizama game uwe na panadol pembeni mkuu lkn nina imani na falsafa za klopp kama shaqiri ataanzia bench then aje amalize second half Liverpool watafanikiwa sana, mo salah ni mzuri akiwa anatokea kulia hapa kati asimame bobby firmino kule kushoto asimame Money
Liverpool ndio timu yangu lkn mmmh, presha inapanda presha inashuka
 
Hahahaha

Panadol ,decloper na zinginezo ,maana dah ,Leo nikuacha kazi ufanye kazi

Back
Top Bottom