Liverpool vs Napoli

Sawa nipo getto hapa napika ugali huku naandaa mkeka uenda kesho nitaamka vizuri nikimpiga muhindi
Kama watu hawaielewi Hii team basi Leo karibuni pale anfield.!!!
 
Ngoja tuone
Me naona bora liver asikomalie hii match ili asifuzu mtoano nguvu akawekeze ligi kuu. Anaweza chukua.

Nadhani napoli ana point 9 goal d +3

Yeye point 6 goal d -1

So lazima ashinde kwa tofauti ya goal 3 na kuendelea.
 
Haswaa mkuu...ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano
Miujiza ya Liverpool au?
IMG_20181211_203051_087.JPG
 
Ile mechi dah iliniuma Sana. Draw au ushindi tunachukua ndoo ,na ktk makosa huwa alikua akifanya sana akicheza kiungo wa chini kupasia adui
Nakumbuka ilikuwa moja kati ya mistake kubwa sna za stiv alizowahi fanya stiv ila ndo hvo tena
 
Hatari sana wapenzi wa Liverpool tuliteseka sana nafsi zetu nilipenda sana stiv awe amestaafu soka kwa heshima ya kubeba ndoo lkn bahati haikuwa yetu
Ile mechi dah iliniuma Sana. Draw au ushindi tunachukua ndoo ,na ktk makosa huwa alikua akifanya sana akicheza kiungo wa chini kupasia adui
 
Ule msimu vijana walipiga soka ili wamkabidhi ndoo kaka mkubwa ,aondoke kwa heshima ,hatima yake yy ndio akatibua

But stivi namkumbuka vzr mechi na Ac Milan fainali ,hadi HT 3-0 nikaenda kulala ,asubuhi naambiwa Liverpool bingwa UCL
Hatari sana wapenzi wa Liverpool tuliteseka sana nafsi zetu nilipenda sana stiv awe amestaafu soka kwa heshima ya kubeba ndoo lkn bahati haikuwa yetu
 
Back
Top Bottom