Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

Wenzenu wanacheza game kwenye Beginner Mode.
Ngoja tuone, sidhani kama Sunderland hii kipande iliyoondokewa na wachezaji wake kadhaa, imzuie city ambae anapambana kumfukuza aliye juu yake
 
City anashinda. Mwaka ukipinduka gadiora huwa haangushi point. Labda livapool anaweza akazuiwa na leeds. Mimi leo nimebet game 3 za liverpool, man city na sparz game zote nimecheza option ya both teams to score
 
Gg kwa zote, ngoja tuone
 
Ngoja tuone, sidhani kama Sunderland hii kipande iliyoondokewa na wachezaji wake kadhaa, imzuie city ambae anapambana kumfukuza aliye juu yake
Unamfukuza aliejuu uku unamuombea ajikwae. Mungu anajibu ombi moja. 😂😂😂
 
Dakika ya 70.
Liverpool bado anatetea point yake 1.
 
Tuendelee kuangalia mechi jamani
 
Back
Top Bottom