Hivi ni kwa nini Liverpool na Manchester United huwa mnalazimisha wachezaji kuendelea kuchezea timu zenu? Kila wakati mchezaji akitingisha kiberiti kusaini mkataba wa kuendelea kuchezea timu zenu Wapenzi na Washabiki wanamjia juu kumzomea, vitisho vya vifo, kumwandama hadi nyumbani kwake nk. Sterling sasa hivi yupo katika wakati mgumu, Wana-Liverpool wanamsakama kila kona akitazayo sababu tu anajisikilizia kusaini mkataba.Huwezi kuona ARSENAL taifa kubwa tukimbembeleza mchezaji ki-hivi. Kina Henry, Petit, Anelka,Overmass, Edu, Fabregas, Adebayor, Nasri nk waliuzwa pindi walipotaka kuondoka, tofauti na Liverpool mlivyomfanyia Steven Gerrard Enzi zile halikadharika Manchester United walivyowafanyia Tevez,Heinze na Rooney. Huku kumbembeleza kuna maana gani kwa vilabu Vikongwe nasema tena vikongwe( angalia kamusi ya vikongwe/mkongwe/kikongwe) katika medani ya Soka England? Je hizi ni dalili za mvua au?
Btw hivi badala ya kutag watu unaweza kupost one article katika multi threads bila ya kuiandika zaidi ya mara 1?
Cc: DonDonald,Malafyale,Belo, Kitwala,RRONDO,Ntuzu,Everlenk,BAK,Wacha1,utafiti,Nzi
Leo Yaya Toure anawakunywa damu
DRAW WILL BE A GOOD RESULTs
City ana games nzuri zimebaki, akipigwa hakuna guarantee, Manure ana game ngumu lakini pia its a team on form, so you better have two chances kuliko ibaki moja... I dont see city losing three games kati ya 7 zilizobaki, same for manure, but i see a number of draws zitakazosaidia chancesMkuu mi naona apigwe mtu leo, maana yoyote anayepigwa leo KAMA tukikomaa nae TUNAWEZA mshika, ikiwa TU tutakua tunafanya vizur game zetu.
City na Utd wote fixture zao bado ngumu. Anything can happen
City ana games nzuri zimebaki, akipigwa hakuna guarantee, Manure ana game ngumu lakini pia its a team on form, so you better have two chances kuliko ibaki moja... I dont see city losing three games kati ya 7 zilizobaki, same for manure, but i see a number of draws zitakazosaidia chances
Soccer bana wala haizaniiki Mkuu, Naamini hukutaraji City kupoteza kwa Burnley wakati aki fight kutaka ubingwa, bado tusisahau ana Spurs na Soton wanaoitaka hii hii top4 ukiacha WestHam wa Europa. Kuhusu United jst imagine anapoteza leo kisha anapoteza nxt week dhidi ya Chelsea gap litakua ngap(simaanishi kua UTD leo tayari ameshapoteza). Kupoteza mechi ni moja ya njia ya ku demoralise team spirit. LFC ndio team pekee iliyokua inaonekana kwenye form mwaka huu kwa kutopoteza game hata moja epl in 2015 but baada ya kuonja kupoteza imeyumba.
Anyway, sabab ni soccer basi lolote laweza tokea mechi 6 zijazo hata kama leo zikitoka sare ama hata mmoja akifungwa. I do respect unachokitamani kitokeee, Sisi kama LFC pia we have to work hard pia.
ni kweli, we have put ourselves into a difficult situation, some moments of madness, RS saga, coach decisions and team morale... Sijakata tamaa
kama ulivyosema, if united akipigwa leo, na akaguswa next match kila kitu kitafunguka upya kabisa
Kweli Mkuu, yani hapa tuombe hii team yetu iwe ina collect pnts tu ktk game zilizobaki. Maana tunaweza shangaa City ama Utd akaharibu alafu eti nasisi tukaharibu kabisaaaa,yani sometimes huwa hatueleweki
Mkuu siku hizi naona hamna imani na timu yenu kabisa!
Kabisa Mkuu Imani Imeshapotea, ki ukweli hatupo kama mwanzo
Poleni sn Mkuu!
BR ndio kasababisha yote haya.