Mr. Wise Gwamahala Malafyale nguvu na Tee Bag pole sn wakuuu.....
Mr. Wise una kipi cha kuniambia kutokana na viungo wako wa kati walivopotezwa kwa muda wote na Mbabu carrick na Herrera na Fellain?....nilisema hili mapema kabisa kabla ya mchezo lkn nikaonekana napiga kelele lkn yametimia....hakuna cha Hender, Allen Coutinho wa Raheem......na bado mchezo wa Arsenal na mtafungwa tena na top four nyie muisahau kabisa....nimekua nawambia kila wakati lkn hamuelewi.....sasaivi ligi imeshaisa kila mtu anakufa na nafasi yake.....kumtoa mtu ktk nafasi yake ni mbinde.......
Nipo safarini lkn nikaona acha nikujibu ili UPOTOSHOJI huu usiendelee
1.Kipindi cha kwanza Man U wametengeza nafasi MOJA tu ya kufunga na wakaitumia vyema kwa Matta kufanya clinical finishing ktk dakika ya 14!Kabla na baada ya hapo Man U walikuwa wanachezea mpira ama kwao au katikati ya uwanja bila madhara yoyote yale!
Nikumbushe unaposema Carrick na wenzake waliwapoteza Liverpool kwenye mido,ni shambulizi gani la maana walilifanya ktk dakika 45 za kwanza zaidi ya bao la Matta?Mtu anayepiga pasi golini kwake au katikati ya uwanja ana madhara gani?
2.Liverpool walifanya shambulizi moja tu la maana ktk kipindi cha kwanza ambapo Lallana alikosa bao la wazi kabisa!Ilistahili tuende halftime tukiwa tumekomboa bao lile so madai kama Liverpool alipotezwa katikati hayaniingii akilini!Man U walipata nafasi moja nzuri ndani ya dkaika ya 45 wakaitumia na Liverpool walipata nafasi moja nzuri zaidi hata aliyo pata Matta tukashindwa kuitumia
3.Kama Man U waliizidi sana Liverpool katikati ya dimba kama unavyodai Ntuzu,Man U wali create nafasi ngapi za wazi dakika 45 za kwanza?
4.Talking point ya ushindi wa Man U leo ni upuuzi wa SG.PERIOD
Huu si upotoshaji...huu ndio ukweli uliokuwepo ManU waliwadhibi kila idara mkabaki kucheza kwenu mpira wa kuvizia tu mlisukumwa nyuma muda wote na ManU, alafu ManU wakawa bora kuliko ninyi ktk kila kitu....badae nikipata nafasi ntakuja hapa tuliongee hii maana naona unataka kubisha vitu ambavo vilikua wazi......alafu sioni km SG ni wa kumlaumu ktk hili kwasabbu aliingia tayari akiwa ameshapanic....alafu nataka FA watende haki kwa kumfungia beki wanu Martin kwa kumkanyaga kipa wa ManU makusudi kitendo ambacho km mwamuzi angeina ilikua ni kadi nyekudu moja kwa moja km alivompa SG au FA walitoa adhabu kwa Costa tu baada ya kumkanyaga Can?
magnificent Janjaweed Pazi MosDef Tee Bag Asprin Ed n Edd nEddy mr.wise
Tusife moyo wakuu wenzangu na ndiyo soka!Tuinue mioyo tusonge mbele tena proudly kwa walicho kifanya vijana wetu hasa baada SG kutuangusha!
Mechi hii ilikuwa ya mwisho kwa SG kucheza dhidi ya Man u so kuwekwa benchi kulimchanganya sana!Talking point ni kadi hii nyekundu na kwa kweli katuangusha sana!Lkn tuinuke tuendelee
Hakika Simba walikuwa 10 uwanjani na LIVULANA LIMOJA LIJINGA
1.Team moja kumtawala mwenzake tunahesabu clear chance walizotengeneza ni ngapi!Haya sijui kutusukuma nyuma hayana maana hata Swansea walitusukuma nyuma
2.Man U walitengeneza nafasi moja tu na wakafunga kipindi cha kwanza=fact
3.Liverpool tulitengeneza nafasi moja tu nzuri tena zaidi ya Man u kipindi cha kwanza tukashindwa kufunga=fact
4.Rooney hakumkanyaga makusudi keeper wetu?Kwa nn Skrtel tu aadhibiwe wakati Rooney alifanya kosa kama lile lle tena yy akitangulia?
Smear campaign against us
sikuona kama tulipotezwa dakika zote tisini za mchezo, kama tulipotea basi ni dk30 za mwanzo tu, pale hata ingekuwa yanga ingeshinda ile game ten men, mixer penalt unategemea nini? sisi tukifanya makosa tunaadhibiwa wao refa anaangalia tu, di maria kadaka mpira ndani ya uwanja refa kaangalia tu, jones anacheza rafu za hovyo bila wasiwasi kwani anajua nothin will hapenMr. Wise Gwamahala Malafyale nguvu na Tee Bag pole sn wakuuu.....
Mr. Wise una kipi cha kuniambia kutokana na viungo wako wa kati walivopotezwa kwa muda wote na Mbabu carrick na Herrera na Fellain?....nilisema hili mapema kabisa kabla ya mchezo lkn nikaonekana napiga kelele lkn yametimia....hakuna cha Hender, Allen Coutinho wa Raheem......na bado mchezo wa Arsenal na mtafungwa tena na top four nyie muisahau kabisa....nimekua nawambia kila wakati lkn hamuelewi.....sasaivi ligi imeshaisa kila mtu anakufa na nafasi yake.....kumtoa mtu ktk nafasi yake ni mbinde.......
excuse me!!!??
rooney alimfanya nini kipa wetu? na penati mkapewa, mbeleko gani hii? hata ndanda fc ingeshinda ile gameKwa yellow card ndio goli la kusawazisha?
Mbona yule uketo aliyemkanyaga David de Gea hakupewa hata kadi, upuuzi mtupu.
hata nyie mlitukirimia point sita msimu uliopita, eti rooney katuhurumia! upuuzi mtupu unaongea muulize rooney kacheza mara ngapi anfield na kafunga mara ngapi ndo utajua kama ni huruma au kiwangoNdiyo kitu cha kujisifia hicho? wakati Rooney aliamua kuwahurumia kupunguza aibu ya bao 3-1.
Hata hivyo tunawashukuru kwa kutukirimia pointi 6 zote kwa msimu huu.
Tunawapongeza kwa kujitunza toka mwaka jana mwezi december mpaka leo tumekutana tena. Sasa ruksa unaweza kufungwa na wengine...
Pole sana, msijali ndo soka gangeni yajayo tu.....Asante mtani
A mistakes cost as a lot
Nipo safarini dada yangu,narejea Dar kesho so nitakuwa active baada ya masaa 24 +
SG and refa atkinson gave you a game
magnificent Janjaweed Pazi MosDef Tee Bag Asprin Ed n Edd nEddy mr.wise
Tusife moyo wakuu wenzangu na ndiyo soka!Tuinue mioyo tusonge mbele tena proudly kwa walicho kifanya vijana wetu hasa baada SG kutuangusha!
Mechi hii ilikuwa ya mwisho kwa SG kucheza dhidi ya Man u so kuwekwa benchi kulimchanganya sana!Talking point ni kadi hii nyekundu na kwa kweli katuangusha sana!Lkn tuinuke tuendelee
Hakika Simba walikuwa 10 uwanjani na LIVULANA LIMOJA LIJINGA
Tumeshinda but am not happy. We need to do a lot better than this shit on Sunday vs Manure.
Wachezaji karibu wote leo walikuwa off-colour....credit to BR for that magic half time team talk.
Pole sana, msijali ndo soka gangeni yajayo tu.....