eddy inawezekana Aisee, coz he's premiere league first season's debut wakat yupo ma swansea ulikuwa na mafanikio, nadhani tangu aichukue swansea wakat ipo championship alikuwa na mafanikio nayo, si nasikia alishindaga ile play-off final????
BR nimeanza kumjua wakat yupo swansea, huko kwingine huwa tunachimba chimba ili kumjua zaidi..
maybe mr.wise atakuwa na chochote kuhusu hilo suala.
Let sterling go tena abroad and he will not shine
I believe this boy will accept this incredible deal kama BR alivyoiita, anajaribu kutishia tu. Kingine Sterling ni mtukutu mwenye asili ya Jamaica aliyekulia London, so si jambo la kushangaza akiwa mgumu katika pesa katika umri wake.
Ila nahisi pia Agent wake ndo anademand bumper pay! Dogo alishawahi kutamka he is happy at anfield na anahope muafaka utafikiwa.
DS tangu anarudi Kutoka majeruhi, his pace and movements zimepungua, He needs time kurecover, Kakaa nje muda mrefu!!
But, Siyo wa kuanza kwenye big matches, atakuwa anaslow mashambulizi!!
I'd go with RS upfront..
Let sterling go tena abroad and he will not shine