Lucas is Picking Up his Form now, sidhan kama tunatakiwa kumuuza, ndo maana naona LFC wamekuwa Linked na Ilaramend kama Back Up nadhani!!!
Kuhusu Wisdom, akirud LFC atazid kudumaza kiwango chake now, i think hii 3-4-3 itamwacha nje sana, ndo maana nataka abaki WestBrom azidi kukolea..mpaka hapo BR atakapokuja na Formation nyingine (well hatujui atakuja na nini next season)
Reus ningependa sana Aje LFC, but ni ndoto tu hizo, ndo maana kwa Dyabala nimeweka alama ya (/) it means mwingine yoyote yule, but huwez jua though!!!!
Kama tukiwa tunasign Another recognized ST, stakuwa na tatizo na Ings, as long as anakuwa kama BackUp tu..lakin kama ndo main Target, Akafie Mbele!
Kolo, juzi Echo wamereport kapewa offet ya one year deal, naye eti anajifanya kujiuliza...ndo hapo nnapoborekaga Aisee..kama hatak Aondoke, We got Young Dagger Coming Up..
POLL:
Kati ya GJ na Jose Enrique ni nani ambaye unaona anafaa kuondoka summer inayokuja????
kamanda, Kolo has rights too, and he has been a good servant
Ings?? so tutakua na Origi, Ings, Balo wote hao back and Sturridge is is playing like a sissy, ina maana tutakua full strikers wote back up??
Ings is way behind, ni level ya sinclair
Thanks for the info Mkuu

Aiseee!!! Mzee wetu KOLO nae anataka awe anaanza mara kwa mara eti!!!!!!
Hahahahahahaha!!!!!
Mzee Kolo bhana!!!
Jose sidhani kama anahitajika, Ila Kolo apewe mwaka tena. Tumeona tunapokua na majeruhi nyuma ama ktk viungo uwa anatumika na CAN anasogea, Johnson akubali kukatwa mshahara nahisi kuna game tutajitaji experience yake.
Kama tupo serious basi option nzuri ni Edin Dzeko ama Jovetic ambaye naamini kumpata kwasasa ni simple, hawa hawatahitaji muda kuzoea league kama yule Falcao wa United maana wapo uku uku epl
Kama tupo serious basi option nzuri ni Edin Dzeko ama Jovetic ambaye naamini kumpata kwasasa ni simple, hawa hawatahitaji muda kuzoea league kama yule Falcao wa United maana wapo uku uku epl
Lkn hawa akina Dzeko hawajazoea Tik-taka football maana Mancin na baadae Pelle wao ni 4-4-2tu
Pedro ataenda na mfumo kiurahisi sana au unasemaje?
Mkuu Pedro ni mzuri, ila Pedro kihasilia amezoea kutokea pembeni kazi za wakina Sterling, Lallana, Markovic kwasasa kingine hajazoea kukaa jukumu la kua main man infront of the goal, mbaya zaidi tayari ameshapoteza ule ubora wake plus next summer anakua 28yrs old wakati kwa Jovetic next November atakua 26yrs old bado anakamuda. Dzeko stil yupo ktk ubora ukiacha umri wakeLkn hawa akina Dzeko hawajazoea Tik-taka football maana Mancin na baadae Pelle wao ni 4-4-2tu
Pedro ataenda na mfumo kiurahisi sana au unasemaje?
POLL:
Kati ya GJ na Jose Enrique ni nani ambaye unaona anafaa kuondoka summer inayokuja????
JOVETIC ni easy sana kumpata sahiv!!!!! but it's FSG Aisee!!!
Jovetic ana fit kwenye mfumo wetu directly, anaweza kucheza kama Suarez ana weza kutengeneza nafasi kwa wenzake tofauti na Sturridge na mkupata ni rahisi.
Lacazette ni kama Jovetic, msimu uliyipita alikuwa anacheza namba 10 ndo aliuwa anamchezesha Gomis ana alikuwa anafunga, msimu huu amepewa majukumu ya kufunga (No. 9).
Tatizo letu ni Sturridge hacreate chance kabisa kama Suarez na kutoa assist. Last season kabla ya Sturridge kuumia yeye ndo alikuwa main striker wakati Suarez alikuwa anashuka deep kutafuta mipira. BR Alisema kwenye press conference why Suarez was playing as a second striker.
Sturridge inatakiwa ajue kuwa sasa hivi anacheza na watu wa3 mbele. Wanatakiwa wa create chances to each other.
JE abaki,GJ aondoke