nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 498
- 383
Tores,mimi siendeshwi na matukio! Wakati wenzetu wanahesabu trophies,sisi tunahesabu clean sheets na kujisifia! Ridiculous! BR is a championship mediocre team! Ugomvi wangu na BR upo kwenye transfer dealings tu,na ego zake za kijinga! This man has won us nothing! Hizo tactics sijui nin,ndo kazi yake aliyoajiriwa kuifanya pale! Personally I will start rate him as a LFC manager,when he'll win atleast one major trophy,bring in atleast one world class player,make us compete at the highest competitions consistently,na sio kwa kumfunga mid table SOTON tu.
Me siyo ant-Br ila lazima nii-criticize timu inapokosea haya matokeo positive yametufanya kusahau (for yesterday), how you react personal ulipoiona line up..? (me nusura niahirishe kwenda kucheki game ila nilipiga moyo konde sababu niliahirisha shughuli zangu nyingine nyingi mapema)
Hebu tujaribu ku-think negavite side how can we react kama tungefungwa..?
Ingekuaje kama Cou asingechukua maamuzi magumu ya ku-shoot kwenye lile eneo? Ambazo tulizoea kuziona kwa G8, Riise, Alonso...
What the end results kama refa angeona Lovren alivyoshika ndani ya boksi...?
Tungezungumza nini time hii kama mshika kibendera angekuwa-onside kuhusu tukio alilolifanya Mignolet la kudaka out of the box.. ?
JOÃO CARLOS "Vilaca" TEIXEIRA IS FUCKING READY!!!!
BR BRING THE FUCKING KID INNNNN!!!!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAHHAHA!!
LFC BHANAAA!!!!
Next Summer, Ni Pjanic tu na Back Up GK!!!!
Ilori anarud Next season (Kolo anaondoka)
FLANAGAN atakuwa fit zaid next season!!!
MANQUILO is there (his time will Come tu)
WISDOM can be called back anytime!!
TIME for Rossiter and Chivierla and Canos to step up!!!
Then you Got, Origi and Ojo (Sema angalau Mr.Ojo kwa mbaaaaali)..
Cant wait to watch Ilori in them new kits!!!
LUIS ALBERTOOOOO!!!!!
JOÃO CARLOS "Vilaca" TEIXEIRA IS FUCKING READY!!!!
BR BRING THE FUCKING KID INNNNN!!!!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAHHAHA!!
LFC BHANAAA!!!!
kapiga mabao swafi kabisa juzi kati
vipi mkuu,mbona unanitaja taja hapa! Haahahahahahaha,na juzi nimepiga tena mbili! Next season nakuja kuchukua namba yangu kwa COUTINHO.
Meanwhile, BR ana mipango tofauti na hii, hakawii kuwaleta kina Essien, Mavuba na Santoni
Mkuu, usinikumbushe machungu miaka ile Manure walivokuwa wana-dominate league. Kuna games nyingi tu ilikuwa wapoteze lakini unakuta refereeing decisions zilikuwa zinawa-favour sana hadi nilikuwa nadondosha chozi, imagine!
Ubabe na ulalamishi wa Fergie (naona na Mourinho naye sasa anatumia sana ujanja huo) ulikuwa una-influence sana marefa.
Baada ya kushinda game controversially, kwenye post-match interview utakuta Fergie anasema "....sometimes you have decisions for you, sometimes against you. In the course of the season things even themselves out....". Pathetic!!
Kama tunapata decisions sasa in our favour sisi siyo wa kwanza bana!
Tangu mwaka upinduke tumekushanya points nyingi kama msimu uliyopita
1: Liverpool DWWWDWW - 17 points
2: Arsenal LWWWLWW - 15 points
3: Chelsea LWWDWWD - 14 points
4: Southampton WWWLWDL - 13 points
5: Tottenham WLWWWLD - 13 points
6: Man City WDLDDWW - 12 points
7: Crystal Palace DWWLWDL - 11 points
8: Stoke DLWWDLW - 11 points
9: Man Utd DLWWDWL - 11 points
10: West Brom DWDLDWD - 10 points
11: Hull WLLLDWW - 10 points
12: Swansea DDLWDLW - 9 points
13: West Ham DDWLDDD - 8 points
14: Everton LDDWDLD - 7 points
15: Burnley DWLLDLD - 6 points
16: Newcastle DLLWDDL - 6 points
17: Sunderland LLLWDLD - 5 points
18: Leicester DWLLLLD - 5 points
19: QPR DLLLLWL - 4 points
20: Aston Villa DLLLLLL - 1 point
Ukitaka uaminiwe onyesha kuwa unaamika,BR kasababisha watu wasiwe na iman nae tangu mwanzon mwa ligi..so kurudisha iman ilopotea sio rahis kiivo..
Next Summer, Ni Pjanic tu na Back Up GK!!!!
Ilori anarud Next season (Kolo anaondoka)
FLANAGAN atakuwa fit zaid next season!!!
MANQUILO is there (his time will Come tu)
WISDOM can be called back anytime!!
TIME for Rossiter and Chivierla and Canos to step up!!!
Then you Got, Origi and Ojo (Sema angalau Mr.Ojo kwa mbaaaaali)..
Cant wait to watch Ilori in them new kits!!!
LUIS ALBERTOOOOO!!!!!
Nakubali hawa waje tu mkuu, lakini kama squad players only. What LFC actually need is to spend £200m on at least 5 WC players if we want to win the EPL and/or CL kwenye zama hizi.