Kama mmoja wa wachezaji wa LFC akustahili kuongea ilo neno la blue kwa Media huo ni uchonganishi tu ama kukuza jambo, asingeongea hayo iyo media isinge mis quote chochote from him, iyo ilibidi aiongelee nyuma ya pazia!!Jaribu kuwaza Balo atajisikia vipi na Hendo atajisikia vip baada ya iyo kauli.....Mkuu Everyone ameshuhudia tukio la Balo kum disresepect wala haikuitaji mmoja wa wachezaji wa LFC kuongea ili tujue Hendo amekua disrespected.
Hekima ni muhimu
Labda niweke clear hili swala la jana la kugombea kupiga penati.....maana limekua ni gumzo sana.... na hii drama au storms yote kwenye media kuanzia jana mpaka leo... chanzo kikuu ni comments za captain G8 alipokua akianalyse game ya jana akiwa na ITV 1 alipom-acuse MB kwa kuonyesha disrespectful for taking the penalty. Yaani Captain alichemsha kwa koment zake za kijinga.
Akumbuke kua baada ya MB kufunga ile penati alifanyakitu fulani pale very important....sijui kama wenzangu mlinotce Aliapologize kwa Hendo, which he did as part in celebrating.....
Dunia nzima kila mtu anajua kua G8 is the first choice penalty taker kwa liverpool.....na kiukweli G8 anajua kua MB naye ni mbaya kwenye maguu 12....trust me....
Kama mnakumbuka G8 kwa mdomo wake mwaka jana mwezi wa 8.....alisema kua i'm aware MB is terrific penalty taker na ana uhakika kua MB atapata nafasi ya kupiga penati kwa club/team. vilevile manager kwa maana BR he told him if he is not on the pitch he will take them.
Mimi binafsi....nashanga kwa nini alilopoka jana...???? alafu mwisho wa siku eti anasema MB aliscore a very important goal.....MMMhhhh!!!!! kama si uzushi nini??? siku zote hua nakua upande wa G8 lakini kwa hili alichemsha ....sipati picha km MB angekosa ile penati???
I`ve seen too many penalty misses by DS in the past and JH should`nt even have been on at the time of the penalty. Bet you with G8 on, MB would never have done this. Our next Captain should be Emre Can, did you notice that he was about the only player who went up to MB, with a thank you......
vilevile JH anapaswa kujua kua Part of being a leader understands the strengths of individuals within your team. And using them to deliver the best possible performance and results. Hendo needs to be wise to the bigger picture. Being captain doesn't mean you control everything all the time. You cannot win a game on your own....
Namalizia kwa kusema....The best penalty taker should take the penalty.
YNWA!!
Angekosa ile penati umu wote lawama lingeangukia kwa Balotel wala msingekua upande wa balotel na kumtetea....cha msingi nyie furahieni ushindi basi lakini mkisema muanze kulaumu uyu kafanya hivi uyu kafanya vile ingekua hivyohivyo kwenu wenyewe kama balotel angekosa ile penati...hongereni kwa ushindi mambo mengine club kama club itayaweka sawa
Kaniboa sana SG na hiyo kauli yake. Angejifunza kwa BR jinsi alivyorespond alivyoulizwa na media.
SG jana alikuwa ni mchambuzi kwenye kituo cha ITV, so alikuwa anatoa opinion yake pamoja na uchambuzi wake!!!
Na aliongea alichokiona, uwanjani, angeongea kipi?? coz host alikuwa kishaanza hilo suala la "disrespect" SG akakazia tu.
Ni kama Carra anavyosemaga kwenye MNF kuhusu SG kuslip au SG legs have gone etc!!! ni mawazo tu ya mtu yanayoreflect realty!!
Jon Barnes, Fowler etc wangesema the same, Kama Host angeuliza kuhusu mario kumdestrespect Hendo!!
Kuhojiwa na kuanalyse mpira ni vitu viwili tofauti!!
Yule ni Captain, host kahoji inakuwaje MB anamnyang'anya mpira Hendo??..
ulitaka ajibu vipi kama Captain?? and the Nation is watching him??
SG angesema alichokifanya MB ni sawa, reaction ya opponents fans ingekuwaje??? Anti-LFC medias za Eng zingereact Vipi???
Coz medias tayari zilikuwa zishalabel kile kitu kuwa ni "disrespect" kwa Hendo!!
kenny Daglish supported Suarez after that Racist Incident kwa Evra, alivalisha wachezaj wote ma-tshirt ya kumsupport Suarez, Outcome yake ilikuwa nini??? unakumbuka??? na katika hizo outcomes, moja wapo ilikuwa ya Kenny kupigwa chini as A coach, coz alifanya club ionekane Inasupport racism!!
MB after Scoring that pen, he knew he made a mistake kwa Hendo, thats why he later apologzed kwa Hendo, na hakuishia hapo, mpka Twitter na Insta alifanya the same!!!
huyo SG mnayeMslat hapa, ndo mtu ambaye amefanya MB asettle well, coz kila siku kwenye mazoez ya gym, huwa anachukua muda wa kuongea na MB privately...kina Lucas form zao zingerudi bila motvation wanazozipata kwa SG???..MIGNOLET hawez kumsahau SG mpaka anakufa, coz kipind cha wakat mgumu, SG alikuwa anamsuburia kwenye tunnels au ndani ya dressing rooms kumpa moyo na kumpongeza (unaikumbuka game ya Sunderland?).. Muulize Sakho kuhusu SG..Kwann RS huwa hamletei kiburi SG???
Na lazma SG alimpigia SIMU MB kama Alivyofanya kwa JONJO baada ya kumtukana Ferguson kipind kile wakat anatolewa kwa kadi nyekundu, soon akawaita Talksports and Echo Anfield kuomba msamaha kwa kumtukana Fergie!!!
Kwahyo we ambaye ulifurahishwa na reaction ya Jonjo kumtukana Fergie ulitaka SG aiache ipite???
ndo maana anaitwa "CAPTAIN FANTASTIC"
View attachment 228123 View attachment 228124 View attachment 228125
Hendo alikabidhi mpira kwa Mario bila kinyongo, uyu dogo Dany aka fuel hii issue
Bado sio right, BR amekuwa neutral kwenye media hiyo hiyo and nobody pinned him down. So, even if it was right, but it wasn't necessary.
mr.wise sorry for this, but inaonekana mpaka sasa bado hujamjua Captain wako Vizuri!!Mkuu still pamoja na kua alikua mchambuzi ITV kwa ile jana, ye anajua fikra ksho anarudi uwanjani, ye si mchambuzi wa kudumu pale. Katika maoni ulazimishwi kukazia simply bcoz mtu kaanzisha tunaona mara kibao watu wana skip kilichoanzishwa na mtu.
Remember that Carra, Jones Barnes na Fowler hata wangeongea isingeharibu kitu hawa wote hawarudi tena kesho uwanjani kukaa na team na kucheza wako kazini kule.
Its over!!we wanted a win!!tumeshinda
Wrong AGAIN!
SG hakusema MB disrespected Hendo for taking that Penalty!!
SG alisema, MB disrespected Hendo for taking that ball from hendo's hand!! Coz it was down for Hendo to decide who should take that Pen..
Hii saga wa kulaumiwa ni Danny, ambaye alionesha utoto wa kumlazimisha Hendo akachukue tena mpira kwa MB!!
AGAIN: SG wasn't against the idea of MB taking that penalty.
Hii ni outcome ambayo kwa sasa haina umuhimu maana haijatokea na haitatokea. Kwangu mie kauli ya SG haina makosa, lakini kwa status yake kama mchezaji bado na capteni haikuwa na umuhimu kuisema mbele ya public. Angeisema kny dressing room its fine, au angeisema Carragher its ok.Henderson angekosa ile penalty, lawama zingeenda kwa nan??
mr.wise sorry for this, but inaonekana mpaka sasa bado hujamjua Captain wako Vizuri!!
Mfanyie Research zaid kuhusu Mambo yake kwenye dressing rooms na Melwood!!!
Hii ni outcome ambayo kwa sasa haina umuhimu maana haijatokea na haitatokea. Kwangu mie kauli ya SG haina makosa, lakini kwa status yake kama mchezaji bado na capteni haikuwa na umuhimu kuisema mbele ya public. Angeisema kny dressing room its fine, au angeisema Carragher its ok.
Hendo angekosa Penalty, lawama zote zingeenda kwa BR!!!
hiyo ndo fact!
Kaka iko hivi.... captain kama captain yaani G8 alitakiwa asikomet chochote ambacho kingeashilia kukosoa au critisizing mchezaji dhidi ya mchezaji ambao wako tim moja ama kwa kuchukua mpira mikononi mwa mwenzie au taking penalty kwa lazima HAZARANI kwa maana ya kukosoa publically....kama kiongozi G8 angekosoa kosa lolote akiwa dressing room au hata privately basi....lakini G8 kwa kufanya vile amemkosea heshima MB vilevile.Kama kiongozi unatakiwa kujua kudeal na issues.....
mtu mwenye makosa makubwa pale kwenye pitch jana alikua JH.....amabaye anahisi being a captain ni kufanya kila kitu.....km kweli ndugu zangu mnafuatilia games zetu zote mtakubaliana na mimi kua mara nyingi G8 hasipocheza ... JH hua anataka kupiga free kick zote....Contihno mara nyingi hua anaomba kupiga free kick lakini hua JH anamtolea nje.....binafsi hua na mmnind sana we hacha.....
YNWA