hahahahaha!!!
Malafyale ings ni one of the Average players niliowah kuwaona wakicheza mpira..
kuna potential nyingi sana out there..LFC wameenda kwa huyo ings kwa kuwa anauzwa £5m tu...huwez ukawa unagombea mchezaj na team kama AFC bournemouth afu useme atakuwa WC..hana uwezo wa kuja kuwa WC hata afanyaje, coz ni average na hana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC, watu ambao hawana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC ni wengi sana, kina Lambert, borin, joe Allen etc..kama walikuwa wanataka potential si wangembakiza Pieterson tu tujue moja..
Wenzako wanasajili kina Cuadrado we unahangaika na Ings..afu eti unataka Top4..seriously???
hakuna Ambition yoyote pale LFC, ndo maana Suarez aliamua zake kuondoka...mtu kama Coutinho anasikia kuna mtu anaitwa ings sjui anatakiwa na LFC, we unafkiri anajiskiaje???
tunakoelekea hawa kina Emre Can, Markovic, moreno, Coutinho, Sterling, DS, Sakho etc miaka miwili ijayo tutawapoteza wote, coz hatuna Ambition yoyote ile...
waingereza ni kama chupi... hawauzikiMkuu mi naona hawa wachezaji wa Kiingereza wana vilabu vyao, ukimleta LFC anakua itakua ya Carrol na Downing. Hivi tunaanzaje kumpa kipaombele Ings mbele ya mtu kama Lacazette, Icard, Jackson Martinez nk. Mbaya zaidi waingereza ujiuza bei ghali
kweli kabisa, ings ni level ya akina ibe, ojo na origi... just how many of mediocre players can we stock?
Liverpool haina utofauti wowote na Westham katika Usajili..
afadhali,deal ya Ings imebuma! Hahahahahahahaha! So happy.
Iyo kitu imekuaje
Dan karudi points 3 za mapema sana leo nina uhakika!
Baloteli ata ng'ara akicheza na Dan
hahahahaha!!!
Malafyale ings ni one of the Average players niliowah kuwaona wakicheza mpira..
kuna potential nyingi sana out there..LFC wameenda kwa huyo ings kwa kuwa anauzwa £5m tu...huwez ukawa unagombea mchezaj na team kama AFC bournemouth afu useme atakuwa WC..hana uwezo wa kuja kuwa WC hata afanyaje, coz ni average na hana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC, watu ambao hawana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC ni wengi sana, kina Lambert, borin, joe Allen etc..kama walikuwa wanataka potential si wangembakiza Pieterson tu tujue moja..
Wenzako wanasajili kina Cuadrado we unahangaika na Ings..afu eti unataka Top4..seriously???
hakuna Ambition yoyote pale LFC, ndo maana Suarez aliamua zake kuondoka...mtu kama Coutinho anasikia kuna mtu anaitwa ings sjui anatakiwa na LFC, we unafkiri anajiskiaje???
tunakoelekea hawa kina Emre Can, Markovic, moreno, Coutinho, Sterling, DS, Sakho etc miaka miwili ijayo tutawapoteza wote, coz hatuna Ambition yoyote ile...
Hivi MosDef, LFC hamna Director of Sport wa kumsaidia Rodgers kwenye usajili?
Binafsi huwa siwapendi sana hawa madirector maana mara nyingi huishia kugombana na kocha Mkuu lakini the way ambavyo Rodgers amekua akiboronga kwenye usajili anahitaji msaada
And again kwanini Lallana hachezeshwii? Me napenda sana kumuona Lallana uwanjani, akipewa nafasi, jamaa ni wa kiwango cha kina Hazard, Sanchez au Silva[/QUOTFS
FSG walikuwa wameshaanza Mazungumzo na LVG kuwa DoF pale LFC, hii ni baada ya Comolli kupigwa chini (ye anasema alipigwa chini kwasababu ya poor signings za 2011 akiwemo Henderson)..lakin BR ambaye wakat huo nae ndo alikuwa kwenye mazungumzo na FSG ili aje kuwa Manager (2012) akakataa kabisa suala la LVG kuwa DoF na ilikuwa asi-sign kama FSG wangeendelea na huo mpango..na baada ya kuingia kwenye club akakataa suala la DoF kabisa, na chakushangaza akakubali ishu ya "Transfer Committee" ambapo ye ndo Chairman..
So LFC hatuna DoF aisee, ndo maana tunafeli sana kwenye big transfer nying sana, lakin nmeona sahiv LFC wanataka kumuajiri Chief Scout wa Zaman wa Barcelona, Albert Valentin..nadhan hii ni good move Aisee..:
BR switched to 4--2-3-1 ili Kumuacommodate Lallana kwenye ile front 3 nyuma ya ST mmoja, Ile system ilibugi, Lallana anazimudu namba zote za mbele nyuma ya ST, lakin ni mzuri zaid akitokea katikat, which is Katikat yupo COUTINHO, so anakuwa anatokea pemben, either kulia au kushoto, na kwenye hii 3-4-3, huwa anacheza sambamba na Cou, RS pale mbele, ila anakuwa anatokea pembeni..
Tatizo ni kwamba, kwenye huu mfumo, Anacheza kwenye eneo la SG, eneo ambalo kwenye BIG MATCHES, SG lazima acheze..so ndo maana unakuwa humuoni sana Aisee..
He's still so young though...bado ana muda mrefu wa kucheza...
sahv BR ameitengeneza Team kumzunguka Coutinho..