Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Three at the back I don't thing if we have mbadala wa Can kwa sasa. My point was on the long run.
My concerns for UEFA league ni muda mchache wa mazoezi plus jet leg, ila point yako ya kuwa FA ni ngumu ina-make sense...hebu angalia matokeo so far...
Cambridge United 0, 0 Man United
Rovers 3, 1 Swansea City
Man City 0, 2 Middlesbrough
Tottenham 1, 2 Leicester City
Southampton 2, 3 Crystal Palace
Chelsea 2, 4 Bradford
Ai!...kuna watu wamevuliwa nguo...
Utumbo mtupu leo FA Cup ila FA Cup inaonyesha katika ligi za Europe ni Best MPaKA timu za uchochoroni kuliko spain Copa Del Ray, wachezaji wa kiengereza msimu mmoja good Mmoja bad ndio Lallana Yule Lallana Mie ananiuzi angekuwa Grame Souness angempa bonge la Bao la Uso angekazana Game za Kushinda 3 tunarembesha.
Nimeliona Juzi.Copa Del Rey unalijua au umeliona juzi tu unakuja kuongea humu? Kwa taarifa yako vigogo kama real Madrid tena full mziki kipindi hiyo Raul, Roberto Carlos, David Beckham washapigwa 3 na timu ya daraja la pili wakatolewa nje ya mashindano. Usiniambie kwa vile timu kama Chelsea kufungwa na Bradford ndio soka la Uingereza liko juu, sema timu mbovu mbovu ueleweke vema.
Ameona ndio njia ya sababu..... BR hata ashinde game Ngapi ajue Ofisi msimu unaokuja top 4 nje ya top 4 vyote kazi Hana sababu Rafael Benitez na uhakika Asilimia kubwa Anarudi.BR slating MB kwenye media AGAIN.
MB hawez kupress!!!!???..so Lambert na Borini nao wanajua kupress????
BR's Management on MB has been very poor Aisee..kama anadhani ni njia ya kumuamsha, Well syo kwa kila mchezaji huwa inafakiwa..
Ameona ndio njia ya sababu..... BR hata ashinde game Ngapi ajue Ofisi msimu unaokuja top 4 nje ya top 4 vyote kazi Hana sababu Rafael Benitez na uhakika Asilimia kubwa Anarudi.
Ameona ndio njia ya sababu..... BR hata ashinde game Ngapi ajue Ofisi msimu unaokuja top 4 nje ya top 4 vyote kazi Hana sababu Rafael Benitez na uhakika Asilimia kubwa Anarudi.
BR slating MB kwenye media AGAIN.
MB hawez kupress!!!!???..so Lambert na Borini nao wanajua kupress????
BR's Management on MB has been very poor Aisee..kama anadhani ni njia ya kumuamsha, Well syo kwa kila mchezaji huwa inafakiwa..
Inasemekana FSG hawampendi Benitez..
But me nadhan FSG wangeuza Team kabisa!
Tulichza vyema lkn bao halikupatikana!Tunaenda kuwatoa kwao
Tulikosa striker pale. Sterling ni mzuri kwa ku-take defenders out of position but he's not an Eden Hazard whose final ball is always a killer.
Kwa upande wa central midefield, tuna mchezaji mmoja tu pale - Cou.
Lucas & Hendo don't deliver consistently, and for me that's not LFC way.
Those areas need a lot of reinforcement next summer...
The enemy of MB has been MB himself. Already BR has given him a host of chances - and I recall many LFC fans here gave BR lots of nasty stick because of that - but the nigger bottled it.
As a manager what do you do? Send your message across and this is what BR is doing...now it's down to MB to deliver or bolt back to Italy!!