Ngoja tuwasiliane na FA wafute ushindi Liverpool na FIfa wafute red card kwenye Mpira wa miguu zinamfanya Liverpool anashinda...
Alafu Man yuu yenu timu pinzani zinapata red card km Everton na man city na zinashinda sio fair kabisa haya malalamiko yawafikie mpaka FIFAπππ