Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Polls hii inasema SG anamzidi Scholes!Anaye amini polls kama hizi kuacha fact ni mtu wa ajabu anakuwa
Nzi nahisi haukumuona SG enzi za ujana wake!Hiyo polls juu unakubaliana nayo au lzm polls itoke Great Manchester?
Zile tetesi za Shaqir zimefika tamati baada ya inter kumchukua.Mancini pia anamtaka Lucas Leiva.
Tatizo watu wa loserfools mna stress na kiji mid-table team yenu...mnataka kumaliza stress kwa Bwana Nzi...
Tatizo Bwana Nzi ni mtu wa kuchukulia mambo poa tu..mnamtusi, kumkejeli na kila namna lakini yeye hata hajali!
Sawa basi, mimi nimeanza kuangalia ligi mwaka jana pale SG alivyotoa pasi ya ushindi wa EPL kwa Demba..kwa kutoa title winning assists, SG hana mpinzani, kwani ashawahi kutoa moja kwa Didier pia..
Mimi napenda ushambenga sana, tatizo nyiye watu wa loserfools hampendi. Sasa, naomba nistop hapa maana sina wa kushambenga naye...
Hivyo basi, SG ni bora zaidi ya fundi a.k.a red-hair, zeruzeru Paulo Scholesy.
Mr Flip-Flop
Kwa hiyo kwenye individual Awards kati ya SG na PS umeshindwa sasa unataka tuanze kujadili siku wachezaji hawa wawili walipokuwa na bad games?
EPL team of the year 8 times unataka kutuaminsha awe sawa na mediocre wako aliyechaguliwa kwenye kikosi hicho hicho mara 2 tu tena yy akicheza miaka mingi zaidi EPL?
EPL player of the League na asiyewahi hata kufikiriwa kwenye tuzo hiyo?
Kwa hili umeonyesha sana jinsi ulivyo nweupe!Fungua sasa thread mpya tujadili bad games za SG the greatest na mediocre PS
Mkuu mechi yetu ya kesho versus sunderland itakua saa ngap
WOW..Inter wants Lucas....
BR ni mngese sana, huyu dogo sio sawa na lambert, borin ama Aspas
AC Milan will only make a move for Liverpool midfielder Suso once he becomes a free agent this summer, according to club administrator Adriano Galliani.
Reports in Italy claim the 21-year-old, whose current deal with the Reds expires in July, has agreed a four-year contract with Milan and could even join the San Siro club this month.