Hivi hayo mafanikio individually yanapimwaje?
Hivi nyiye watu mnafahamu soka kweli? Footie is a teamwork sport, siyo kama Golf au Tennis.
Hayo mafanikio ya mtu mmoja angeyapata kama angecheza peke yake dhidi ya watu 11?
Hivyo basi, ubora wa timu nzima ndiyo umpa mchezaji fulani mwenye uwezo mafanikio. Yaani huwezi kuzungumzia mafanikio ya Messi bila kuwataja Xavi na Iniesta.
SG alivyokuwa akitamba, nyuma yake walikuwepo akina Xabi Alonso..
Alonso alikaa Liverpool mwaka 2004 hadi 2009. Sasa niambie alivyoondoka Liverpool zaidi ya League Cup ya 2011/12, timu imeshinda taji gani la maana?!?
Kama yeye SG anaweza kuibeba Liverpool kwanini sasa asiisaidie ishinde EPL, UCL au FA Cup sasa?
Utazungumziaje UEFA Cup Final ya 2000/01 bila kumtaja kibabu McAllister? Pamoja na SG kufunga goli (ambapo hata Babbel na Fowler walifunga), timu nzima ndiyo iliyoshinda na McAllister ndiye aliyekuwa MoTM.
Hata 2005 UCL Final, ni baada ya Hamman kuingia ndiyo Liverpool wakaanza kucheza vizuri (kuna mkuu mmoja amekueleza ili hapo awali, lakini haulioni) kwa kujaza viungo na kina Alonso na SG kuanza kutamba. Unasahau heroic saves za Dudek?
Namalizia katika soka huwezi kutaja mafanikio ya mchezaji mmoja bila kutaja timu nzima...ila kuna wachezaji wenye talents wanaoweza kusaidia timu kucheza vizuri...
Chifu, kaulize pia pale La Masia juu ya Scholesy...alitumiwa kama 'a case study' kwa kufundishia akina Messi and Co...akina Xavi, Xabi, Pep na Cesc wanakwambia Scholesy angekuwa mspanish angesifika zaidi ya sasa..
Chifu Malafyale kama unaelewa vizuri mpira wa Uingereza na siasa zake, basi utaelewa namna gani Media inavyochukua nafasi kubwa katika kuwakuza...wachezaji wasiopenda 'media coverage' siku zote wataonekana hawana maana. Angalia jinsi Carrick anavyoisaidia United, lakini siku zote kwenye media utasikia Rooney na RvP...hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Scholesy, jamaa hata interviews alikuwa hataki. Sasa unategemea media zingemchukuliaje? Angalia namna Walcot na Wilshere wanavyokuwa overrated!!
Lini alikiri???
United fans aren't obsessed with SG...it's Loserfools' fans who are obsessed with United..you called United a mid-table team last year, while Loserfools have been a mid-table team for how many seasons?
Alonso aliondoka peke yake pale LFC??? Ni wachezaj wangap waliondoka mwaka 2009/2010??
Doh! Wewe jamaa unafurahisha sana! Kwenye post namba 15303, umeweka link ya Zidane juu ya SG. Na kwenye hiyo link ndimo SG kakiri hilo.
Ina maana hukusoma hiyo link uliyoiweka?!!?
Mimi sijui wengine waliondoka.
Pia naona hunielewi ninachokisema hapa. Ni kuwa soka ni mchezo wa ushirikiano katika timu; kuna wachezaji ambao uwepo wao ufanya wachezaji wengine kuwa bora sana. Alonso ni mmoja wa wachezaji wa aina hiyo; aliyemfanya SG kuwa bora.

Without MESSI Barcelona huwa inakuwa AVERAGE sana...japokuwa xavi na iniesta wanakuwepo uwanjani...
MESSI amekuwa anaibeba Barca mgongoni for Ages.
Hapa tunazungumzia POWER ya mchezaji mmoja kwenye Team.
SG ndo mchezaji aliyemfanya ALONSO kuwa mchezaji BORA.
Hahahahahah!!!
So you believed when Ozil said he's a huge fan of Arsenal???
I'd rather be obsessed with Man city or Chelsea mate...
Hivi hayo mafanikio individually yanapimwaje?
Hivi nyiye watu mnafahamu soka kweli? Footie is a teamwork sport, siyo kama Golf au Tennis.
Hayo mafanikio ya mtu mmoja angeyapata kama angecheza peke yake dhidi ya watu 11?
Hivyo basi, ubora wa timu nzima ndiyo umpa mchezaji fulani mwenye uwezo mafanikio. Yaani huwezi kuzungumzia mafanikio ya Messi bila kuwataja Xavi na Iniesta.
SG alivyokuwa akitamba, nyuma yake walikuwepo akina Xabi Alonso..
Alonso alikaa Liverpool mwaka 2004 hadi 2009. Sasa niambie alivyoondoka Liverpool zaidi ya League Cup ya 2011/12, timu imeshinda taji gani la maana?!?
Kama yeye SG anaweza kuibeba Liverpool kwanini sasa asiisaidie ishinde EPL, UCL au FA Cup sasa?
Utazungumziaje UEFA Cup Final ya 2000/01 bila kumtaja kibabu McAllister? Pamoja na SG kufunga goli (ambapo hata Babbel na Fowler walifunga), timu nzima ndiyo iliyoshinda na McAllister ndiye aliyekuwa MoTM.
Hata 2005 UCL Final, ni baada ya Hamman kuingia ndiyo Liverpool wakaanza kucheza vizuri (kuna mkuu mmoja amekueleza ili hapo awali, lakini haulioni) kwa kujaza viungo na kina Alonso na SG kuanza kutamba. Unasahau heroic saves za Dudek?
Namalizia katika soka huwezi kutaja mafanikio ya mchezaji mmoja bila kutaja timu nzima...ila kuna wachezaji wenye talents wanaoweza kusaidia timu kucheza vizuri...
Unaposema power ya mchezaji mmoja: ngoja nikuulize, simu bila energy itawaka? Ndivyo ilivyo kwa Messi, bila 'energy - kina Xabi na Iniesta' hawezi kutamba!
Ubora wake unatokana na uwezo wa kina Xabi na Iniesta kumchezesha.
Inakuwa average kama ilivyo Liverpool baada ya kina Alonso kuondoka?!
Bado unashindwa kuelewa point yangu: soka ni mchezo wa teamwork. Bila teamwork hakuna soka; ila kuna wachezaji wanaoweza kulink up vizuri na kutumia talents za wengine kuwa bora sana, Messi ni mmoja wao.
Usikurupuke sasa..
Uliza kwanza waliondoka wachezaji wangap 2009/2010..
Siyo unaleta hoja ya Alonso wakat hujui kwa kina kipi kiliisibu LFC mwaka 2009/2010..
Doh! Wewe mkali! Sasa mbona SG ameshindwa kumfanya Henderson kuwa bora?!?