Rodgers ni boya sana. Bado ana mentality ya kufundisha timu inayoridhika kuwa mid-table team after those 38 games.
Vipi kumpa masharti magumu Captain Fantastic wakati hana bado worthy replacements?
Karibu jamvini tena mkuu!Tupo na Liverpool yetu tunasonga mbele!...
Karibu tena brother..
Uchambuzi wako wa kweli kuhusu LFC ulikosekana sana kipindi flani..tuliumiss sana.
karibu tena jamvini tuendelee na LFC yetu..
1.Kumbe naongea na watu walio anza kuona soka hivi karibuni na kwa statement hiyo bold nimedhirisha haya
2.kina Torres walikuwepo Instanbul?Walicheza bao la dakika za mwisho na wagiriki kupata ticket ya kuingia round ya pili mwaka,walikuwepo tulipokuwa nyuma 3-0 pale Instanbul?Akina Masherano walikuwepo siku SG anawaahibu WHU fainali ya FA?
Mourinho begs Real Madrid to make £30m bid for Gerrard | Daily Mail Online
Alex Ferguson: I tried to bring Steven Gerrard to Manchester United but he's not a 'top, top' player - Telegraph
""Sir Ferguson has claimed that Liverpool are eight players short of constructing a squad that could win the Premier League and questioned Steven Gerrards reputation as one of the best midfielders in the world.
Despite admitting that he was interested in signing Gerrard when he almost joined Chelsea in 2005, Ferguson says in his autobiography that the Liverpool and England captain was not a top top player.
He also noted that, when Paul Scholes and Roy Keane were playing together for Manchester United against Liverpool, Gerrard seldom had a kick.
Mmejionyesha wengi na matamko yenu ya ajabu kama ni wageni kwenye soka hamkuwepo miaka hii!!
Hahahahaha!!!
huyo zidane Unayesema nimuulize nilikuwa nimeshaweka Quote yake kwenye posts zangu hapo juu, ngoja niirudie hapa:
"Is he the best player in the world? He might not get the attention of Messi and Ronaldo but yes, i think he might be. If you dont have a player like Steven Gerrard, Who is the engine room, it can effect the whole tem" - ZIDANE
Na hii ni ya SIR ALEX FERGUSON
"He has become the most influential player in England, bar none, Everywhere the ball is, he seems to be there, He's got that unbelievable engine, desire, determination. Anyone would love to have Gerrard in their team" - FERGIE..
Huyu ni PELE (mchawi wa soccer)..
"Gerrard is an excellent player, absolutely world class, if i was a manager, Everywhere i went, i would buy Steven Gerrard. He is what Brazil needs, To me he is one of the best midfielders in the world - PELE
hao ni wachache tu, hao international top players akina Kaka, Henry, Ronaldinho, Viera wote hao Quotes zao zote zipo hapo juu kwenye posts zangu...
Muulize midfield yoyote alyezaliwa kwanzia 90's role model wake ni nan (hawa kina Wilshere, Ramsey, kina Burgos, Can, Ross barkely, Bastian wa bayern Munich, Tony kroos wa RMA, Nuri sahin wa Dortmund etc tafuta interview zao uwasikilize wakat wanakuwa walikuwa wanamwangalia nan kama role model wao)..na Mbona hamsemi kuwa MUNGU wenu wa Manchester Wayne Rooney was mostly influenced by SG wakat anakuwa tangu yupo everton???... kwann asiwe scholes???
kwann akina KAKA wana heshima kubwa kwa SG na syo Scholes!???
kwann isiwe scholes???
Eti Scholes alikuwa mkimya, ndo maana hatukuwahi kusikia team zikimtaka..na Eti alikuwa loyal sana.....
Mkuu msome AGUERO abaye HAFICHI kusema kuwa yy ni shabiki wa Liverpool na alivutiwa na SG!
Watu hawa akina RRONDO wanashindwa kutofautisha mafanikio ya team na mafanikio individually!Kwenye wachezaji wa dunia hii wakusanywe kwa mafanikio ya individual huyu SCHOLES wala hawezi itwa maana hana cha kuonyesha lkn proudly SG ataenda!
Manure utd fans are always so obssesed with SG..
Mkuu by any means huwezi fananisha Scholes na SG enzi hizo wote wakiwa kwenye peak zao!SG mafanaikio yake individually mfananishe na watu kama akina Roy Keane sio Scholes
Mbali na EPL titles na CL alizopata kwa ubora wa Man U enzi hizo chini ya cum coach Babu huyu Scholes individually hana cha kujivunia!Ona tuzo zake hapo za hovyo hovyo kabisa
Bonus: kuna poll inaendelea kule TalkSports unaweza kwenda kumpigia kura SG..
http://talksport.com/poll/poll-who-was-best-english-midfielder-150102130745
Na haya yakikuwa ni mawazo ya blogger mmoja:
http://www.tibsnews.com/blogs/top-ten-centre-midfielders-in-premier-league-history/
Ni hayo kwa sasa...nasubiri kukisikiliza...
Mbona hata SG naye alikiri kuwa ni shabiki wa R. Madrid? Jambo la kawaida tu ili chifu...
Kwa hiyo 'mafanikio individually' yanapimwaje? Ebu toa 'mafanikio individually' ya SG kwenye wachezaji wa dunia hii. Hapa naamini mafanikio katika ngazi ya dunia, na si Uingereza.
Twende sasa...
Hivi hayo mafanikio individually yanapimwaje?
Hivi nyiye watu mnafahamu soka kweli? Footie is a teamwork sport, siyo kama Golf au Tennis.
Hayo mafanikio ya mtu mmoja angeyapata kama angecheza peke yake dhidi ya watu 11?
Hivyo basi, ubora wa timu nzima ndiyo umpa mchezaji fulani mwenye uwezo mafanikio. Yaani huwezi kuzungumzia mafanikio ya Messi bila kuwataja Xavi na Iniesta.
SG alivyokuwa akitamba, nyuma yake walikuwepo akina Xabi Alonso..
Alonso alikaa Liverpool mwaka 2004 hadi 2009. Sasa niambie alivyoondoka Liverpool zaidi ya League Cup ya 2011/12, timu imeshinda taji gani la maana?!?
Kama yeye SG anaweza kuibeba Liverpool kwanini sasa asiisaidie ishinde EPL, UCL au FA Cup sasa?
Utazungumziaje UEFA Cup Final ya 2000/01 bila kumtaja kibabu McAllister? Pamoja na SG kufunga goli (ambapo hata Babbel na Fowler walifunga), timu nzima ndiyo iliyoshinda na McAllister ndiye aliyekuwa MoTM.
Hata 2005 UCL Final, ni baada ya Hamman kuingia ndiyo Liverpool wakaanza kucheza vizuri (kuna mkuu mmoja amekueleza ili hapo awali, lakini haulioni) kwa kujaza viungo na kina Alonso na SG kuanza kutamba. Unasahau heroic saves za Dudek?
Namalizia katika soka huwezi kutaja mafanikio ya mchezaji mmoja bila kutaja timu nzima...ila kuna wachezaji wenye talents wanaoweza kusaidia timu kucheza vizuri...