hahahahahahahahah!!!!
me mwenzako nasubiria kuona Kama akiflop lawama atatupiwa nan...BR or Committee..
kwangu mm nadhan priority ingekuwa ni KEEPER..
japokuwa Shaqir inaweza kuwa ni great addition pia...
Rumourz zinasema LFC wanaconsider kumrudisha IBE kutoka Derby county...manake naona McClaren analalamika huyo, IBE kawa mchezaji muhimu sana kwenye team yake..
Oooooh! nlisahau kama kuna Luis Alberto...
Gerrard is selfish , he didn't want coming off the bench. Rogers wanted him to stay cos the lads at the club were yet to benchmark him. Young players had a lot to learn from him just like Giggs did at Manchester United, If he loved the club as much as he claims, he'd accept that he can't play as much as he used to.
Mourinho keshafafanua vizuri...sina haja ya kukujibu...Hapa watu watapima mm na ww nani mweupe!!
1.Taja kikosi cha Man U alicho chezea Scholes na onyesha kama bila yy Man U isingetwaa ubingwa
2.Baada ya kustaafu Man U walichukua ubingwa mara ngapi bila kuwepo Scholes
3.Mchukue SG muondoe kwenye kikosi cha Liverpool kuanzia 2000-2012 then pima kama wangechukua hata FA
Kaka unazidi kujiabisha tu!Scholes effect yake Man U ilikuwa ndogo sana hata bila yy Man U walizidi kutwaa ubingwa!Bila SG Liverpool wangetwaa nn?Hata Cardif Capital Cup mwaka juzi tusingechukua!
Nzi njoo hata nizidi kukufunza
Hapo kwenye red napingana na wewe, how many teams did he turn them down? kama angekuwa selfish sasa hivi tungekuwa tunamuongelea gerrard wa chelsea,madrid,man utd,ac milan na bayern aliamua kubaki timu japo haikuwa na possibility ya kuchukua epl hayo mengine sawa tu the person who needed him most is youngster jordan rossiter because this kid is going to be our new gerrard
SG silaha yake kuwa ni[ilikuwa] energy,lung bursting runs all around the pitch,box to box.....carrick silaha yake ni brain na long passes hakimbii kimbii hovyo kama SG.
Kama tunataka ku-win anything this term au hata ku-crash kwenye top 4, inabidi tuwe realistic and therefore we should address tatizo la msingi la timu yetu, which is MEDIOCRE DEFENDING.
Strikers waliopo kwenye market kwenye hii transfer window hawawezi kuwa game changers na huu ni ukweli. Anayemjua game changer aliyepo sokoni sasa hivi atuambie. Option iliyopo ni ku-reinforce strike force yetu kwa kuwapa opportunity akina Ibe (arudishwe) na Suso.....wakipangwa mechi 2 au 3 on the trot hapana shaka confidence yao itaongezeka. Kama kwa Sterling iliwezekana kwa nini ishindikane kwa hawa wengine?
So the solution for our strike force problem is just to appropriately shuffle the existing pack.
Nimesema tatizo la msingi ni MEDIOCRE DEFENDING. Sijasema MEDIOCRE DEFENDERS kwa sababu mimi nadhani tatizo lipo zaidi kwenye mfumo na siyo personnel. Maana kama defenders ndiyo tatizo how come Terry-Cahill pairing didn't appear to work effectively kwenye England national team lakini wakicheza pamoja pale Chelshit ni ukuta wa chuma?? So hapa tuna tatizo ambalo kiini chake kinaanzia pale Melwood and this is for BR to fix, and fast!
What to do then? Get a defensive coaching team to exclusively (almost independently) work on the existing personnel - if BR doesn't buy into this then I think am going to have to change my mind about how I rate him.
Kama tukipata reinforcement kwenye eneo la GK itakuwa bonus - nasikia hawa hapa wanaweza kuwa available: Chech, Ochua (yule wa Mexico) and Valdes.
Also let's not forget that famous quote from Fergie (much as I dislike the guy but I respect what he has achieved) which says..."Attack wins you games but defence wins you titles". And this has been proven true in modern football.
Watu uwa wanachemsha kuwaza kwamba kila mchezaji mzuri anaweza kuja kuwa kocha cum meneja mzuri wa klabu ya soka.
Katika makocha cum mameneja waliofanya na wanaofanya vizuri, ni WACHACHE SANA walikuwa wachezaji mahiri..
Mourinho keshafafanua vizuri...sina haja ya kukujibu...
comparing sg na carrick confirm usivyojua soka... baki na ushabiki mandazi
scholes au keane ndio wa kupima gerro
usisahau epl ni ligi mvurugo
Soccer inachezwa na wachezaji 11, ingawa wanazidiana uwezo uwanjani, lakini hakuna mchezeji anaweza kushinda match peke yake, aliyeweza kujaribu kwa kiasi kikubwa ni Maradona 'D10S' tu, akiwa na Argentina na Napoli, lakini hata yeye hakuwa peke yake uwanjani
SG alikua mzuri sana, lakini media ya waingereza wakati mwingine inapotosha ukweli, kuna watu walikua wanamfanya ang'ae ambao hawapewi credit kama za SG particularly Xabi Alonso ambaye toka aondoke Liverpool, SG hajawahi kuaffect the game kama wakati akicheza alongside Alonso. Pia wapo kina Torres, Callagher na Mascherrano walimfanya SG ang'ae during his prime.
Hata ile fainali ya 2005 Vs Milan, kuna chumvi nyingi sana zinaongezwa kuhusu role ya SG, no one talks of Xabi Alonso, Vladimir Smicer au Dudek's heroics kwenye zile penati.
Na tukiacha hiyo match SG alikua anavurunda kwenye big stages Vs the big boys ndio maana SAF alimponda kwamba alikua hafurukuti mbele ya Scholes na Keane, hata mwaka jana ali 'slip' wakati aliotakiwa kusimama na kuicost club yake EPL title.
Scholes alikua bora kuliko hawa media darlings Steve na Frankie, kama T.Henry alivyosema, Scholes hakua na kiherehere cha kupenda u-celebrity wala kutaka sifa zote za mafanikio ya team apewe yeye, in fact ilikua nadra sana kumsikia Scholes anaongea na media enzi za uchezaji wake. Lakini kwa wanaojua soccer wanajua Scholes was miles away from Steve and Frankie combined.
Hamna alicho fafanua cha maana!
Ubora wa mtu unapimwa na market price walipokuwa kwenye prime time zao!
1.Ni teams ngapi elites zilimtaka Scholes alipokuwa kwenye prime time yake?
2.Teams ngapi zilimuhitaji SG alipokuwa hot?
RRONDO na Mourinho walipokuwa kwenye prime time yao SG alikuwa bora zaidi ya Scholes na mahitaji yao ya uhamisho yanaonyesha hivyo
hapo kwenye redo unasema uongo, alafu pima nani amecjeza game nyingi
im done with this discussion.....STEVE G IS THE BEST EVER!
My point:Scholes alipo staafu Man U walitwaa EPL mara kibao tu!!SG angeondoka Liverpool hata FA wasingechukua
Pundits inabidi uangalie sana kwenye team yako una nani na msaada wako ni nn!Huyu hata enzi za Babu akiwa kwenye prime time yake alishindwa kuwa EPL player of the year
thanks mkuuni kweli mimi sijui soka na ni mshabiki maandazi....next time i will be calling u some names and take it as a man..respect is two way....now let me put u where u belong.
usidandie tu comments za watu bila kujua zimeanzia wapi....hujui carrick kaingiaje kwenye huu mjadala....aliemuingiza carrick kwenye huu mjadala ni Malafyale wakati anajibu post yangu niliyoandika "BR yuko right kumwambia SG hawezi kucheza muda wote coz he is 34" ndio Malafyale akasema mbona carrick is 33 na anaanza man utd?? nikamjibu silaha ya carrick ni brain na long passes lakini SG anatumia sana nguvu na ni box to box midfielder.....then malayale akasema huyo carrick timu ya taifa anasubiri kwa SG etc nikamwambia nikifikiri unalimganisha role na position zao uwanjani na mimi kama kawa nikampa dongo linalowauma nyinyi wote 'carrick has won epl title SG has never' thats a fact....kwahio usijifanye wewe mjuaje kuita watu majina ya dharau coz kila mtu hilo halimshindi...unaweza kuniona mimi shabiki maandazi na mimi nikakuona mpuuzi fulani tu.
Huwezi jibu hii maana ni fact!SG alitakiwa na kila team kubwa duniani na kuna kipindi Liverpool walimruhusu aongee na teams hizo yy AKAKATAA!
Mchezaji anapimwa na soko lake alipokuwa hot!Teams gani kubwa zilimhitaji Scholes?
Hamna team yyt ya ukweli iliyo muhitaji Scholes alipokuwa kwenye prime yake na hii ni fact!
Teams ngapi SG alikataa kwenda Ilizokuwa tayari kuvunja rekodi za uhamisho?
Scholes alibebwa na ubora wa Clasa of 92 na team aliyo ikuta na kocha bora Babu Fergie
Ulipo Malafyale?
Umeanza kurukaruka like a headless chicken sasa, at least ungestick na points zako za mwanzoni, kama ni thamani ya mchezaji sokoni ndio ina determine ubora wake then Bale ni mkali kuliko Messi, Zizou, Pirlo, Giggs e.t.c
nyie washabiki mnashangaza sana....nyinyi ndio mlikuwa mnasema kila siku humu SG hafai kuanza,anaslow down timu yenu na malalamiko kibao!!! sasa BR kafanya kitu sensible ambacho ni ku-manage playing time ya SG kwasababu he is no longer 24yrs old,he is 34!!! kitu hicho hicho SAF kakifanya kwa scholes/giggs na wakaweza kucheza kwa muda mrefu zaidi.....sioni kwanini mnaacha kumshangaa SG mnalaumu eti BR ndio kasababisha aondoke...stop sugarcoating SG is past his best and he doesnt deserve starting berth EVERY GAME.....BR IS RIGHT