🎙️🗣️M. Salah: "Before I came back to EPL I had offers from different leagues but I chose Liverpool to show people who doubted me that I'm not useless. It's like a revenge and so far I have helped my team to win trophies and that's the perfect way to show your worth."
Never doubt the Egyptian King👑
Chelsea as a club are just too in a hurry to let players go when they struggle, even KDB was also thrown out and many good players who could have changed the dynamics of the club positively. Hope they learn from it.
Baada ya kuwa nimekaa nje ya ulingo kwa muda kidogo kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu wadau nitarudi na mimi kuanza kuchangia kila nitapoweza kwa analysis na maoni kuhusu team yetu.
YNWA. ❤
Bila kumsahau mwamba mmoja alijitolea kwa hali na mali kiraka punda alifanya kazi chafu anaitwa james milner hao watabaki kwenye kumbukumbu!Greatest LFC manager of all time.
Guys, mmeshajiuliza kuhusu hatima ya Kelleher especially baada ya signing na Marmadashvili?
To me it seems like the end for Kelleher at Liverpool. Slot ame admit multiple times kuwa when AB is fit Kelleher hawezi kuanza (labda kwenye cup games).
So with Marma in the horizon I think Kelleher is going to depart at the end of the season.
To me it will be fair kama atapata team in the prem ambapo atakuwa first team starter week in week out.
Kwa quality aliyonayo hastahili kuwa kwenye shadow ya AB na Marma at Liverpool.
What is your opinion. MosDef The MoNA Captain Marvelous
With Harvey back the squad depth is getting deeper while Arne is still on the process of instilling his football to the ready made players.
Liverpool FC is gonna become a monster of a team. A beast to reckon with.
YNWA.
View attachment 3150104
Baada ya kuwa nimekaa nje ya ulingo kwa muda kidogo kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu wadau nitarudi na mimi kuanza kuchangia kila nitapoweza kwa analysis na maoni kuhusu team yetu.
YNWA. [emoji173]
Mpira ni mchezo wa vipindi brother, yes kuna watu wame-stuck na Klopp, but ni muhimu sana ku-move on, huku ukiwa unaendelea kuipigania na kuitetea legacy yake.
LFC, imeanzishwa tarehe 3/6/1896, miaka 128 mpaka sasa, kipindi chote hicho, wamepita watu mashuhuri sana at the LFC, katika nyakati tofauti, na wote wali-play big part kuifanya LFC kuendelea kuwepo mpaka leo, maana siyo tu suala la vikombe, kuifanya club ibakie katika top level kwa muda mrefu sana, ni jambo la kushukuru pia.
Hizi ni nyakati za Slot, na ni muhimu kumpa support, itafika muda nae ataondoka, muhimu ni kuombea aache a good legacy at the club.
Kuna media politics zinaendelea at the club, unajua Klopp wasnt a fan wa a lot of LFC jornos, kina Pearce, Hughes, Bascombe etc, na kuna kipindi ilitokea kutoelewana kwa Klopp & Edwards, na mpaka Edwards kuondoka, narratives zikawa shida ni Klopp, & mpaka leo kipo hivyo, so hizi medias zina-play part kubwa sana kujaribu kudogosha umuhimu wa Klopp at LFC, wakati wanajua alichofanya, ndiyo maana kila sehemu unakutwa ni Edwards, Edwards, Edwards, kwamba kaleta kocha bora kuliko Klopp, swali unajiuliza Slot angeweza ku-build world class team na kuitoa kwenye shimo la kina Mignolet? inawezekana ana uwezo wa kufanya hivyo, je angeweza ku-cop na pressure ya kuirudisha juu a struggling big club? maswali ni mengi.
Na funny enough, huyo Edwards alimwambia Spearmann, atafute kocha anaefanana kwenye ideologies na Klopp, kwasababu Edwards/FSG hawakutaka kubadilisha ile foundation/culture ambayo Klopp alikuwa ameacha at the Club.
tum-support Slot, lakini tusiingie kwenye mitego ya hizi politics, kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia kwenye hizi clubs tunazozipenda.
Coote is done kaka.
Tatizo ni kuwa kaonekana akitukana 2 big brands kwenye PL kaka, (Klopp & LFC).
PGMOL ni Company, ambayo ni limited by guarantee, its main job ni ku-provide officiating services kwa PL, FA, EFL, sasa kama mfanyakazi wako, katukana on live videos one of your biggest clients (LFC), na ku-show wazi kabisa conflict of interest, sidhani kabisa kama kuna a way back.
His career is over, and i am just glad to be honest.
The truth is, Football has changed a lot kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita.
Unajua, kipindi cha miaka 10 nyuma, LFC main global territories ilikuwa ni Scandinavia countries & parts of eastern Africa, Asia & Africa ilikuwa ni kugusa sana, kwa Africa, main territory ilikuwa ni South Africa, its no secret kuwa biggest clubs in Africa ni Utd, Arsenal & Chelsea, but baada ya Kina Mane & Salah ku-set the league on fire, tukaanza kupata a big following in Africa hasa kwa generation mpya, na kile kipindi cha 2018-2022, kilishuhudia club ikikusanya a BIG following all over the world, sasa scousers wanaona SIFA sana club kuwa na big followers around the world, but wanachukia kuona foreigners wanajaa Liverpool kila siku kuona games & kufanya utalii, FSG ni wafanyabiashara baada ya kuona hii demands wakaongeza bei ya tickets & merchs, sasa scouser wanaumia sana na hizi bei, mara nyingi sana wanajaa kwenye pubs kuangalia mpira, especially big games, maana ulanguzi unakuwa mkubwa sana, na foreigners ndiyo huweza kulipia, au people wa pale pale UK, but outside of Liverpool City, kwahiyo ubaguzi umekuwa mkubwa, wanaona kama foreigners wanawaharibia, na wakiingia uwanjani wanapiga picha tu bila kushangilia ndiyo maana atmosphere inakuwa chini, wanasahau kuwa global fanbase ndiyo inayoipa hela LfC.
Sasa hivi, stats zinasema, for the past 3-4 years, LFC ni most watched football club in the world. hii yote ni kwasababu ya global fanbase.
City were just unplayable.
Pep & Klopp used to hate each other, deeply.
Ndiyo maana unaona Pep akarelax Klopp alivyoondoka, hata transfer window ya Man City ilikuwa na arrogance sana, but ndiyo inawatafuna, Pep thought Klopp kaondoka, hawa madogo hawawezi nisumbua, well, i hope hii Slot run itakuwepo for DAYSSS!!
Ndugu yako Szobo will be in trouble though.
Elliott will be a star under Slot.
Szobo/Jones/Elliott, a very good problem kuwa nayo at the club.
Elliot is already a star in Liverpool two seasons a go, he was regular and sometimes a game changer when we were in difficult times during our games. We the fans saw it, coaches trusted him, an we were confident when we saw him in either a starting eleven or a substitute.Full fit Elliot as our 10 gosshhh he will kill, Szobo anaweza kupata changamoto nzuri sana.
Binafsi napenda 10’s wawe ni left footers,
Kuna research niliwahi kuisoma somewhere inaonesha ukiwa na left footers wengi unakuwa kwenye good pole ya kubeba ubingwa kama factors zingine za kibingwa zinakuwa upande wako.
Quality coach
Quality player
Big team.
Hii sio sababu ya ku prefer Elliot as 10 but his quick decisions na vision yake kwenye end product ni nzuri sana unlike Szobo ni processer mzuri ila end product ndio changamoto kwake.
Full fit Jones & Elliot i see Szobo akipata tough moments.
Ynwa’
Kweli kaka, tunatakiwa kuwa guide wenzetu waliokuja kwenye chama letu kwenye hii Klopp era wajue historia ya klabu yetu tokea enzi za kuanzishwa kwakwe na prime times za Shanks, Paisley, Dalglish n.kNa, ni kitu cha msingi sana kujifunza kuhusu tamaduni za club unayoishabikia, ili kuijua na kuifahamu kiundani sana.
What are the possible penalties against him? And how will it benefit us? Maana huwa nachukia maamuzi ambayo yanatuumiza kisha mtu anakula ban ya mda mfupi tu sisi tulishaumizwa.Coote is done kaka.
Tatizo ni kuwa kaonekana akitukana 2 big brands kwenye PL kaka, (Klopp & LFC).
PGMOL ni Company, ambayo ni limited by guarantee, its main job ni ku-provide officiating services kwa PL, FA, EFL, sasa kama mfanyakazi wako, katukana on live videos one of your biggest clients (LFC), na ku-show wazi kabisa conflict of interest, sidhani kabisa kama kuna a way back.
His career is over, and i am just glad to be honest.
Elliot is already a star in Liverpool two seasons a go, he was regular and sometimes a game changer when we were in difficult times during our games. We the fans saw it, coaches trusted him, an we were confident when we saw him in either a starting eleven or a substitute.
Szobo wont be in trouble at any point as a big team player you always expect stiff competition from quality players. So is Szobo as he come to Liverpool expecting that. Diaz had it from Mane, now we have Gapko and Diaz, and no one is in trouble, Nunez had it from Bobby and Jota, and they live with it.
Probably so. AB anaweza kuchomoka muda wowote lakini sioni namna tunaweza kumbakiza Kelleher Anfield. Kwa kiwango chake na umri wake 23+ he should only be an understudy to a world class goalie kama AB lakini sio kuwa third choice.Signing ya Mamar, shouldve waited, but it was inevitable, kutokana na the way Alisson acted baada ya Klopp kuondoka, he communicated na Club kuwa he wont sign a new contract, baada ya huu kuisha, & Club ianze ku-consider offers.
Unajua, wachezaji ni kama fans, huwa wana arrogance zao, most ya senior players at the club, didnt like the IDEA of Slot, they thought after Klopp, atakuja kocha mkubwa, wanasahau kuwa na wenyewe walianzia sehemu mpaka wakapanda na kuwa world class, sasa hii start ya Slot imewa-prove wrong wengi sana, na Slot alivyo smart, hajataka hata kuwasumbua na new style of play, kaichukua ile ile ya role model wake, na kaiongezea vitu kidogo tu, na players wana-enjoy sana.
Shida yw Kelleher he WANTS to leave, and i understand him, and for me club imuachie tu, anadeserve kwenda kuwa undisputed starter somewhere.
I think, msimu ujao na utakaofatia, Mamar atakuwa our 2 choice, maana Alisson kabakiza 2 years tu, yeye na mwenzake Ederson wana BIG offers ziko mezani za waarabu, na unajua wabrazil walivyo kwenye suala la pesa.
Recently naona Szobo akipewa free role ana rom around na kusaidia sana katika ku initiate presses.Ndugu yako Szobo will be in trouble though.
Elliott will be a star under Slot.
Szobo/Jones/Elliott, a very good problem kuwa nayo at the club.
What are the possible penalties against him? And how will it benefit us? Maana huwa nachukia maamuzi ambayo yanatuumiza kisha mtu anakula ban ya mda mfupi tu sisi tulishaumizwa.
Yeah sure thing, tatizo ni kauli za Slot kila akitupiwa swali kwenye press kuhusu nafasi ya Kelleher endapo AB akiwa fit. He openly admits kuwa AB will be the first choice and I don't think Marma was signed to be loaned out.I feel the boy imagine anapokea 10k per week yes ni mambo ya mikataba ilivyo we cant judge alot.
Even a world class manager, Jurgen Klopp would have choosen AB1 all day and night. World class GK AB1 we cant written off Kelleher he is doing great job so far wish him to stay with us he deserves that.
My concern AB1 anapata injuries as time goes his timeline with injury zinaanza kuoana pole pole may ni age issues, GK kupata muscles issues inafikirisha sana. Last injury tell us kuna kitu kinamrudia rudia kwenye misuli ya paja. Najaribu kuwaza huenda tukapata Mamardashavili & Kelleher as our next GKs kama hali ya AB1 itaendelea hivi, huenda wasimuongeze mkataba.
Mamardashavili next season anaweza kutolewa kwa mkopo tena ili ibaki Kelleher na AB1 as our GKs.
AB1 contract inaisha summer 2027
Kelleher 2025 next summer, we shall see itakuwaje kufikia January, hatusikii kelele za aongezewe mkataba na hii ni kutokana na signing ya Mamardashavil.
AB1 fitness itatupa mwanga mzuri na mpaka january tutaona kama wapo willing kumuacha Kelleher aondokee bure kwa kiwango chake itakuwa ni upuuzi, but a huge bonus to Kelleher.
Kelleher deserves more game time and earnings.
Ynwa’
You are right, Klopp alikuwa tactical genius na at this moment the monster Slot inaonekana anampa Pep sleepless nights.Yeah..!!! Hata baada ya mechi kumaliza unaona hand shake zao zinakuwa hey men you have given breathless moments, hats off to you buddy. Combo yao imetengeneza pesa nyingi sana, ilitoa furaha na huzuni kwa wengi.
Imagine Klopp aliachiwa apambane na oil money wengine walikubali we cant battle with them, surrendered.
Ole tried alot na 1v1 vs pep alimuweza ila general out sasa heheh, season aliyoshika second aliachwa 12 points of which kwa Jurgen haikutokea kuachwa points nyingi hivyo na Pep.
Pep mwenyewe alihojiwa kuhusu LFC akasema hajui wanachezaje kwa sasa na amekuwa mvivu kufuatilia videos not like previously. Hii inaonesha jinsi gani Pep na kikosi bora kabisa aliteseka ilipofikia LFC vs Man City.
I have those Guts, Slot atasumbua sana EPL, regardless of the output.
Tactic wise ameanza kuonesha hiyo hali, mentally the same its up to FSG kumsupport. And good thing Slot same to Klopp sio mtumiaji wa pesa mzuri but anaweza kumshape mchezaji na kuja kuwa star.
Ynwa’