Everytime JK akiwa kwenye mbio za ubingwa last 7 games kunakuwa na
Everton
Worst Man united
C.palace and the likes
Na ni lazima atokee wa kuzima ndoto za ubingwa.
Arne kama anautaka ubingwa ajitahidi ashinde wee ikitokea fixture kama hiyo awe yupo 7+ points above City ndio walau aote ubingwa.
Sisi tunagundu mechi kama hizo anateleza mtu bahati mbaya au anatoa pasi boko mradi tuu mambo yaharibike
View attachment 3117582
• 2 goals conceded in 7 Premier League games..
[emoji2788] - Van Dijk: "It should have been 1 goal. That last goal vs Wolves is still bothering me."
Naona unataka uforce mambo dogoPole pole”,. Tu mambo yatajidhihirisha kwamba wewe ni alfu mbilinism”,.
Kama VVD kaka yakoHapana Diaz mdogo wangu”,.
Itakuwa jina la Angel limekaa sna kwenye keyboard yake hadi linajitypeNi angle au angel ?
anachana mikeka balaa[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna baadhi ya watu walitaka “Pep Lijnders” achukue mikoba ya Klopp, lakini anachokifanya kwa sasa is too much worse than the worse itself.
Hii ni kuanzia 1/9/2024 to 6/10/2025
Rapid Wien 3-2 Salzburg
Sparta Prague 3-0 Salazburg
WGL Tirol 0-0 Salzburg
Wiener Victoria 0-4 Salzburg
Salzburg 2-0 Austria Wien
Salzburg 0-4 Brest
Sturm Graz 5-0 Salzburg
Jamaa anachapika sana huko, sijui hajaiba material kwa J. Klopp, wanambutua sio domestic league au huko CL,
Ynwa’
Ni angle au angel ?
Naona unataka uforce mambo dogo
Kama VVD kaka yako
Mimi mkubwa kwake
Itakuwa jina la Angel limekaa sna kwenye keyboard yake hadi linajitype
anachana mikeka balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nadanganya?Vipi mbona unafanya high pressing,?!! Ngoja nimtafute Macca fasta avunje avunje”,.
Ynwa’
7Hag kesho bye bye[emoji81] huyu anaweza kumwacha ETH ofisini kama hali itaendelea hivi”,.
Kwahiyo umeanza kupiga ramli?🤣Heheh kama kweli vile, vvd amekuacha 7 yrs,
Kweli mwaka wa kuforce huuKilicho dhahiri hauwezi ku force,.