Hili la ziada nadhani unamuonea tu Klopp. Unless hukuona kiwango cha Ryan alipokuja toka Bayern, as he had no match fitness to make him fit to be a regular starter, plus he got an injury which put him out for a while. Kwamba hukumbuki hata Ryan aliomba kuachwa national team ili atengeneze fitness??
So leo Slot anaonekana shujaaa kama vile kamuibua Ryan??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunasahau tu kwamba he had Zubimendi as his choice over what he saw in Ryan. So kama si failure ya usajili wa Zubimendi, now tungekuwa tunasemaje?? Kwamba Ryan angecheza mbele ya Zubimendi na Macca??
Nadhani tushukuru tu kwamba Ryan worked hard on his fitness during pre season and gave the coach what he wanted from Zubimendi. Maana Slot mwenyewe hakuona huo ubora wa Ryan kama kiungo wa chini no wonder he went for Zubimendi, alipomkosa akaamua kutumia resources alizo nazo
The MoNA I agree with You Slot ana wa amplify sana Wachezaji wetu mfano Luis Diaz last season alikuwa na magoli 8 tu lakini mpaka sasa ana magoli 5 kwenye games 5.
Arne Slot on whether he worked with Diaz in any special way:
No, I don't think so. Especially with him. We train every day and we try to put the players in certain situations as often as possible and then help them, tell them what position to take in certain situations and what to do. It's mainly about playing in the last third of the field, using individual skills and finishing.
I think Luis has always had that and I didn't even know he scored eight league goals last season. For me he is someone who can always score a goal and eight goals is not exactly the kind of statistic you want to see from a striker of his quality. I think he is just getting back to his usual level. Maybe he was a bit unlucky last season but a player of his quality will always score a lot of goals every season.
Mie avatar yangu ni picha yangu
Na ameshindwa kunikadiria umri
Sasa nataka nimsaidie anipe ya kwake ili tukadirie😂
Unaita Mama mdogo zako haka?Heheh ananikimbia huyu”,. Mie namwambia wa alfu mbili hakataki
Niliweka picha fullmhm mbona kwenye avatar vinaonekana viatu tu, akadirie viatu?
Unaita Mama mdogo zako haka?
Shauri yakoUnaweza kuwa na mama mdogo cheo tu”,.
YNWA.
View attachment 3108989
Manyanza you can see ehh
Haya ni maneno kutoka kwa World Class player, anajione mwenye bahati kucheza na Gravern. Kwa haraka haraka Macca anao raha kucheza na good players everything look easier.
Macca
Gravern
Szobo, as your MF, look easier kwao wote.
YNWA
Halafu ukafuta!!Niliweka picha full
NilibadiliHalafu ukafuta!!
Wewe ni mjukuu kabisaNasubiri.
YNWA
Dah! Naona app za kustream live football zinazidi kufungwa tu.
Hebu wataalamu nipeni app zote ambazo bado zinarusha live football niangalie game ya leo yaani Wi-Fi bila ya kustream football ni hasara.
Jamani nahitaji app sio link ya website
Ok ngoja ni-install hiiMie hutumia Live football Tv View attachment 3109366