Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna timu iliyokamilika”,. Utofauti huja kwenye uwezo binafsi zaidi pale mbinu za kocha zinapogonga mwamba”,.
Bado hayupo vizuri sana aisee
Tusije kuanza tiamaji tiamaji ligi ikikolea

Hii timu mimi sina hamu nayo tena kwa iliyotutenda mwakajana
Tulianza hivihivi kucheza vizuri hadi ikafika January tupo moto.
Kilichofuata...
 
Yeye kama anaona timu inatosha sawa.
Sisi tumachotaka ni makombe.

Asije akarudia utoto wa Klopp
Kujidai baba miujiza yeye mzee wa yasiyowezekana kushinda bila kikosi kipana.
 
Bado hayupo vizuri sana aisee
Tusije kuanza tiamaji tiamaji ligi ikikolea

Hii timu mimi sina hamu nayo tena kwa iliyotutenda mwakajana
Tulianza hivihivi kucheza vizuri hadi ikafika January tupo moto.
Kilichofuata...

Last season ndio ugonjwa wetu miaka yote tuliyokosa ubingwa kwa points kadhaa au kutema ubingwa kama last season tukiwa kwenye good point ya kuubeba. Late january - April tutaona tutakuwa wapi”,.

YNWA
 
Last season ndio ugonjwa wetu miaka yote tuliyokosa ubingwa kwa points kadhaa au kutema ubingwa kama last season tukiwa kwenye good point ya kuubeba. Late january - April tutaona tutakuwa wapi”,.

YNWA
Msimu jana ndio kiboko
Yaani ni kiboko aisee
Liverpool hii ilikuwa inashinda kila mechi
Yaani sikuamini macho yangu
 
Ni kweli

Hata losing was key to his bald eagle

Nakumbuka hata olé gunna had some descent start
 
Front page needs to be edited. Anfield capacity changed this season. Also, there is a new manager. Not Klopp anymore.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…