Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Coaching a low block ni rahisi sana kaka, hence coaches kama Klopp/Pep/Carlo ambao wana pride & ego wanaonaga ni upuuzi kuwa na hizo approaches.

But, Klopp showed he can coach a low block against Newcastle & Spurs last season.

Nafikiri itumike kwa sehemu zenye ulazima sana, kama una loads of injuries Suspension during them match, and not use it as your style, as Klopp use it kwenye game hizo mbili.
 
Yeah hili ni kwa msukumo wa Edwards kabisa bila hata chembe ya kificho.. Ishu ni kwamba hatuna muda wa aanze chini tulihitaji aanze na kuleta DM mmoja tu na hilo amefeli sio dalili nzuri maan EPL ipo moto sana umeona Arsenal bila Rise na Martin walivyomtuliza Spurs kwao yaani utadhan kikosi kipo kamili.. Epl mpaka sasa FSG wanadhani wapo honey moon aisee...
Bila kuwekeza watasubiri sana kunyanyua kwapa tena...


YNWA
 

Just like Natt Philips hapa Edward anatudanganya sana big time”, loan at 27yrs?? Sema hela nzuri hata kama ni mie siondoki natembea losn hivo hivo niwe millionaire

Orherwise i agree with you

YNWA
 

Kaide Gordon too

ile injury yake imemrudisha nyuma sana,
 
Kazi anayo[emoji23]

Ujue kuna zile moments Klopp alikuwa anazingua big time ila aliyoyafanya unashindwa kumvaa maungoni moja kwa moja, Unlike Slot, huyu ngumu kumuonea aibu bado…!!!

Its a good coach though, i will give him time.

YNWA
 
Sure Jones tried n tried but kufika hata nusu ya Foden ni ndoto aisee... Nyoni, Chambers would be my bet.
Na Morton i rate him highly.

YNWA
 

Huyu Ngumoha, is a baller haswa pure talent”,. Ukimuona anavyocheza plus physical yake utasema ni experienced player.. Wish him all the best.
 
Lovren has signed for PAOK, he shouldve retired.

Matip is still without a team, nadhan teams zinaogopa ku-take risk as bado ana-recover from his ACL injury, so lazima ziogope maana itakuwa ngumu kufanya medicals.
Lovren 😂😂😂i remember how he ws toasted na Aguero na Rashford huku Klopp akituaminisha tuna beki bora wa kati duniani huku ma pundit wanaoheshimika wakimwambia Klopp hutashinda kombe hata la kahawa kwa beki huyu au kwa makipa Simon na Karius.

Duuh tumetoka mbali.

Matip niliona Hammers walimtupia jicho.

YNWA
 
FSG ni wanyonya damu aisee... Kelleher anaona kipa wa Valencia ananunuliwa meaning ni ujumbe kwamba club don't value him highly kubakia as Allison heir in the future hivyo wangeaambia his camp atafute timu kwa kua kua serial starter ni ngumu...
I feel sorry kwa hawa wachezaji aisee Gomez na Kelleher..
Haya mambo ya sell to buy ndio kikwazo hapa hakuna kingine yaani hapo FSG wanatega mpaka dau wanalotaka lifikie...

YNWA
 

Hiyo mechi moja waliyoshinda, was against a weaker team pale Serie A, wameshinda manne mawili kati ya hayo ni penalty. Nimejaribu kufuatalia comments zao kuhusu mechi ya leo, their fans have no confidence kabisa, hii inaashiria ni jinsia gani they are struggling mechi 4 za mwanzo wa ligi.

H2H ipo upande wa LFC, last five competition matches, we won four they won 1, ikiwemo ile iconic come back 2005 pale instanbul.

Natarajia watakuja heavily kwa sababu ni pressing team, of which naona itakuwa adavantage pia kwetu. And overall stats vs Italian teams at their own ground bado record zinatubeba sana.

Points 3 tutarudi nazo Anfield, but my concern ni kwenye performance zaidi tuone, changes compare na last game.

YNWA
 

Ipo wazi hiyo kaka, mshikaji wake kampa shavu jamaa yake hata kama ni wewe usingemuacha Saint Anne azagae huko chini wakati wewe wizarani ni mwenye maamuzi ya mwisho.

But let us watch, may the will be good deals ahead especially Winter TW, but itategemea na hali ya performance na utimamu wa wachezaji kwa wakati huo itakuwaje???

Ishu ya DM ilikuwa last 2-3 season, sasa entire scouts haikupata wachezaji 3 wa kuwatazama?? Kama walikuwepo means mafail yao yalikuwepo na kama yalikuwepo hapo hapo ndipo palikuwa pakuanzia…!!!

Kuna mambo ni simple tu hauhitaji even diploma kuona challanges, LFC last 5 season unaona injury zilituandama sana means kuna kikosi finyu sana kiasi wachezaji wale wale ndio walitumika for long. Feb - April ndipo LFC tunapotemaga ubingwa, kwa fatigue na injuries, means kikosi kidogo sana na quality ipo chini. DM was our priority baada ya fallen ya Fabby, ilikuwa tu ni scouting wanaleta tu files tuna hawa watu, coach na wenzie wanachagua tu give this one, and game over. We like to complicate simple matters.

YNWA
 
Sure Jones tried n tried but kufika hata nusu ya Foden ni ndoto aisee... Nyoni, Chambers would be my bet.
Na Morton i rate him highly.

YNWA

Jones i rated him high ila naona hapo ndio mwisho wake, sioni akivuka hapo labda aje aniprove wrong.
Nyoni yeah he is a baller, wish him success with us.
Owen Beck naona akiuzwa he has no future with LFC

YNWA
 
Ni mikausha damu
Kelleher anapata namba timu nyingi tu za EPL kama kipa wa kwanza.

Wamuuze mtoto wa watu
Wasiue kipaji chake.
 
Otea dili huko Anfield
Unipige tafu kufua viatu au kuwasokota Rasta kina Salah
 
Ujue kuna zile moments Klopp alikuwa anazingua big time ila aliyoyafanya unashindwa kumvaa maungoni moja kwa moja, Unlike Slot, huyu ngumu kumuonea aibu bado…!!!

Its a good coach though, i will give him time.

YNWA
Sisi tunasubiri afanye maajabu
Akizingua tutaaanza kelele za atoke nje
 


Waliosimama kuanzia kushoto;

Pepe Reina,Raul Meireles, Milan Jovanovic, David Ngog, Christian Poulsen, Sotiris Kyrgiakos,

Waliochutama kuanzia kushoto;

Jay Spearing, Jonjo Shelvey, Martin Skrtel, Jamie Caragher, Glen Johnson.

Hapo tunaingia uwanjani tukiwa na matumaini ya dhati kabisa jitu linakufa”,. Hii ndio hunifanya niamini tunaishi “NOW”.

YNWA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…