Nadhani tumuache klop apumzike
Maisha yake ndani ya Liverpool yashapita
Tukitaka kumuongelea slot kwa reference za klop haitakua sawa
Slot aongelewe kwa kile anachodeliver au atakachodeliver from now on until the end of his contract
Maana kila makala ya slot lazima klop atajwe
Let's judge slot kutokana na kazi anayofanya bila ya kulinganisha na klop
Maoni yangu
Upo sahihi ishu ni kwamba tazama bench jana uone unamtoa MF yupi aafu uingize yupi, in short tuna benchi dhaifu sana... By the way concern yangu ni pale mechi zitakuja kwa mwendo kasi January mpaka May 2025 sielewi tutakua na hali gani pale tusipoweza kurekebisha kwenye usajili huu, Slot aje na mbinu zipi lakini kwa mfumo wake atapata tu changamoto kwa kua ni muumini wa kumiliki mpira akipanga mikakati maana anakaribisha mpinzani aje kuusaka mpira na EPL hua hizo ni kuongeza majeruhi tu hakuna namna... Ni mapema sana kuona pia hawa wachezaji wata evolve haraka kiasi gani mentaly kuachana na kile walichofundishwa na Klopp.. Kwa mfano Trent kumwaambia apunguze ovalap nk... Some old habit are hard to die man nwa we all want the best lakin sio kua wasidikizaji...
Lets give th bald head gaffer some games tuone namna vijana wanalewa upya mfumo.
YNWA
Hawa kwao kushuriki UCL ni ushindi tosha...
Edwards nilifurahi sana alivyorejea kwamba usajili utakua wa uhakika lakini mmh muda utasema.
YNWA
FSG wana kamsemo fulani hua wanakaeneza kwa kutumia vibaraka wao.. Utasikia.... "FSG will only buy when the price is good and the deal is super good...." tofauti na hapo wapo tayari dirisha lipite bila kununua sasa unajiuliza walikua na maana gani kutuletea Thiago kwa mshahara ule kama kweli wanafanya homework yao vyema....
I have come to realise FSG wapo very overrated wapo kimaslahi zaidi.... May they prove me wrong...
Some Bad deals chini ya FSG ni ifuatavyo kumnunua Thiago,... Henderson kubakia mpaka Gerrard akatuokoa, kumng'ang'ania Matip, Lalllan, Keita, Milner, Ox...
Kuwaachia Fabby, Gini na Mane wakiwa na ubora wao.
We Need lady luck guys..
YNWA
Weeeee em tulia dejong usimfananishe na hao mkuu, yule ni kiungo wa kisasa, dm kwa moira wa sasaivi inaenda kupotea kwasababu timu yote itakuw inakaba.Hakuna kitu pale
Bora hatq Henderson
De jong?๐๐๐๐
Chei cheiWeeeee em tulia dejong usimfananishe na hao mkuu, yule ni kiungo wa kisasa, dm kwa moira wa sasaivi inaenda kupotea kwasababu timu yote itakuw inakaba.
Timu iuzwe kwa waarabu na sisi tufurahi hawa wamarekani wanazinguaView attachment 3074272
Via Echo
Fenway Sports Group are once again being criticised by certain sections of the clubโs fanbase for their approach in the transfer market.
The Reds remain the only side in the Premier League yet to sign a player this summer.
In truth, Liverpoolโs recruitment has been limited in recent years as the club made minor additions to improve their playing squad.
But with such a stance in contrast to their big-spending rivals, there is a frustration in a fanbase that has often seen their side fall narrowly short
That frustration has grown this summer after being rejected by Martin Zubimendi, and seeing a number of targets move elsewhere in recent years
But how have Liverpoolโs own recruitment team felt about the level of investment on offer to them?
Dr. Ian Graham, the Redsโ former Director of Research, has no complaints.
Ian Graham
โFenway have always invested in the club, but they want to spend their money wisely, which is something that I don't disagree with,โ
โThereโs a very unfair caricature of FSG. They're always very happy to invest in the team, but the team's got to be self-sufficient to a certain degree.
โI think they've shown with their capital infrastructure projects, like two stadium expansions, new training ground, they're very happy to invest in the team if they can see the money's being wisely spent.โ
โI can't speak for Fenway but I can give my view. And I think I think in a similar way to Fenway.
โThere are two ways you spend your money as a football club - In the transfer market and on player wages. And the transfer market is a very inefficient way to spend money.โ
โIn the book, I've got a chapter on the transfer market and how terribly inefficient it is. I think even before I joined Liverpool, Fenway had probably come to the same conclusion that it's a bad way of spending money.
โNow, the other way you spend money is through player wages. And that's where the bulk of the money goes.
โYou don't read too much about it but 65% on average in the Premier League on wages, 25% on transfers.โ
โAnd some of that transfer money is made back through sales as well. And what Fenway did demonstrate is that they're very happy to spend on wages.โ
โSo as Liverpool progressed from Champions League contenders in 2016/17 to champions in 2019/20 and regular later stages of the Champions League participants, they demonstrated that they were willing to fund that in terms of wages.โ
โSo our star players earned star player money because that's what it takes to keep them at Liverpool.
โAnd from a statistical and a financial point of view, that is a way of spending money that is more correlated with success than transfer fees.
โA pound is a pound, it doesn't matter how it gets spent.
โYou should just look at the total amount of money that gets spent. If you add wages onto transfer fees, Fenway spends more than most fans think they spend.โ
โWe still spend less than the Manchester clubs. competing against Manchester City was an incredibly difficult task. And everything needed to go rightโ
โIn order to help do that, we had to be perfect in everything we did. We couldn't make mistakes.
โAnd how data helps with that is it gives you more intelligence, more insight, a wider view of the transfer market, hopefully a more rational view of the transfer market to, first of all, stop making mistakes.
โStop wasting money on players that aren't right for your team or players that might arrive for a large transfer fee and leave for nothing a couple of years later.
โSo using data was an edge. But we had a super scouting department.
โWe obviously had a super manager. We had super owners who invested in the stadium, improving that as well.
โSo yeah, a very, very hard job to win the Premier League when Pep Guardiola's around.
โFenway are unfairly maligned but I was happy to stick with the financial program for 11 years, which hopefully said something.โ
Regardless of kuifuatilia Liverpool all those year. Umewahi kujiuliza vipi mbinu zinaweza kusolve mapungufu ya timu??
Kwa sababu not only usajili unaweza kusolve changamoto. Last season niliamini tulihitaji Kloppโs tactical most ila haikwenda ipasavyo.
By the way lets say what they will give us within next two week.
Ingelikua mbinu kama mbinu zinaweza Kusolve matatizo ya Timu Klopp angekuwa na UCL 3, EPL 6 na UEL 2.
But licha ya kuwa ni Genius kwenye mbinu ameshindwa kufanikisha chochote! Sababu unajua ni nini? Jibu ni USAJILI.
Narudia tena jibu ni usajili.
Kombe 1 la UCL na 1 la EPL ni matokeo ya usajili uliofanywa baada ya kuuzwa Coutinho.
Bila ya usajili sahihi hakuna miujiza kwenye Football
Ingelikua mbinu kama mbinu zinaweza Kusolve matatizo ya Timu Klopp angekuwa na UCL 3, EPL 6 na UEL 2.
But licha ya kuwa ni Genius kwenye mbinu ameshindwa kufanikisha chochote! Sababu unajua ni nini? Jibu ni USAJILI.
Narudia tena jibu ni usajili.
Kombe 1 la UCL na 1 la EPL ni matokeo ya usajili uliofanywa baada ya kuuzwa Coutinho.
Bila ya usajili sahihi hakuna miujiza kwenye Football.
Liverpool hawataki kusajili ili wakipata matokeo mabaya wasingizie kuwa wamespend kidogo au hawana harasa au vitabu vya pesa zimebalance.
Visingizio kibao vitatolewa; habati nzuri Liverpool halisi wanakifahamu kingereza vizuri...hapa jukwaani lugha itabadilika na kuwa kama sehemu ya kugonga Lugha ya bwana tu.
Liverpool isajali ili wapenda mpira wapate burudani.
Instead of Nunez we would have gone for Martinez of Inter Milan who is a Luiz Suarez and Aguero kind of player. He can also play the Firmino role very well. Nunez for me is a total waist of investment.
Captain Marvelous
Unamuelewa huyu Ian Graham? [emoji28][emoji28][emoji28]
Nunez msimu huu asipokiwasha nitamuelewa huyo mzee GrahamInstead of Nunez we would have gone for Martinez of Inter Milan who is a Luiz Suarez and Aguero kind of player. He can also play the Firmino role very well. Nunez for me is a total waist of investment.
Captain Marvelous
Unamuelewa huyu Ian Graham? ๐ ๐ ๐
Muache Klopp kaka, ni wachezaji wangapi aliwataka na FSG kumkwamisha?Kuna mambo Klopp kajichelewesha mwenyewe, wewe ni miongoni mwa waliomlaumu sana sana sana Klopp.
Kati ya Klopp na Pep nani ana mbinu?? Jibu utakuwa umepata, tumeshuhudia several times tukiumia vs Pep hata tukiwa full team. Mechi tuliyomuumiza Pep full control out of result ni last match at Anfield 1-1.
Binafsi naweza kukataa Klopp sio genius kwa kiwango hicho kwenye mbinu.
Uliwahi kusema hivi pia those days kipindi tunapasuka vs Napoli, under Ancelotti. Klopp has one plan always, ATTACK , ATTACK, ATTACK, RB & LB wana overlap kuongeza idadi ya players kwenye eneo la ushambuliaji, hii imekuwa Silaha yake all years pale LFC. Ndio maana aliamua kuwapigisha RCB & RCM kazi ya kumlinda TAA. It was about Energy and Athletic kwa Klopp. Ndio maana historia inatuonesha makombe hayo aliyapoteza from FEB-APRIL. Thats why it looks easier last two season kucheza na Klopp quite Simple.
Kuhusu Milner, Henderson, Thiago, Ox, Keita, Matip, Gomez hawa ni machaguo ya Klopp hata aliposhauriwa aachane nao aliwakingia kifua wabaki atawatumia.
2023 summer Klopp alitaka Milner, Matip, Bobby waongezewe mkataba kama mmiliki utamuamulia kocha wakati anajua kukuliko wewe? Ila FSG hapo walisema No kwake.
It was last season Klopp alikubali mwenyewe kumkosea Gakpo na Elliot katika positions zao, kocha mwenye mbinu its rare kufanya off positions ila kwa Klopp off position kwake ilikuwa sehemu yake ya mpira.
Szobo & Macca they are World Class player but under Klopp tulijionea hali yao ilivyokuwepo. Hizi ni sababu nakataa Klopp alikuwa genius wa mbinu.
Genius wa mbinu huweza kupanga ile line up vs Atalant 1st leg at Anfield. Si underrate uwezo wa Klopp ila kuna vingi tu alijiumiza mwenyewe.
Usajili its a 50/50 solution, utd & chelsea wanafanya balaa sokoni, ila output. ?? Wote tunawaona.
Solution sio usajili tu, uwe na usajili unaoendana na mahitaji ya timu uwe na kocha mwenye uwezo wa kuwatumia ipasavyo hao wachezaji. Top Top Coach.
Ian ndio alikua supremo kitengo cha data pale Liverpool miaka yote ya Klopp I guess.Instead of Nunez we would have gone for Martinez of Inter Milan who is a Luiz Suarez and Aguero kind of player. He can also play the Firmino role very well. Nunez for me is a total waist of investment.
Captain Marvelous
Unamuelewa huyu Ian Graham? ๐ ๐ ๐