Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Klopp ana mapungufu yake ana huruma sana mpaka anapitiliza na dhahiri tangu mechi ya Manchester United ameshaishiwa mbinu ukiangalia upangaji wa kikosi, anavyo fanya sub utaona ni dhahiri ana fear syndrome ya kuboronga jambo ambalo sio msimu huu tu yashamkuta sana tu huko nyuma...Hiyo Tradition way ndio imesababisha hata makombe yakauke, mtu kama klopp alitakiwa awe alishatimuliwa kitambo
π€£Tunachukua mwaka huu
Imani yangu ipo hivyo bado
YNWAπ₯π₯π₯
Ndiyo mkuuNiliposema haya maneno baada ya kupoteza mchezo wa leo watu walinicheka lakini mimi nasimamia haya maneno mpaka game ya mwisho ya 38.
Huu msimu tunabeba Kombe la EPL naendelea kusisitiza.
Saint Anne bado unawasiwasi na Ubingwa?
Subirini kidogo Mansite acheze mechi zake 2-3 tuone uelekeo wa upepo
Too early to give up, I still see a rough road ahead for each of the 3 aspirantsSisi tumeumaliza mwendo
Pambaneni nyinyi mubebe tu hiyo EPL for the sake of EPL to be a top League
Hapo Southgate humwambii kitu panga pangua.Game ya pili sasa anafunga. Ya jana na ile ya FA dhidi ya coventy city.
Msimu uishe tu sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo stress za Liverpool hazijakutosha unataka ujibebeshe na stress za hawa mafalse hopes?Baada ya sisi kuondolewa kwenye mbio za ubingwa kuanzia sasa nasimama na Arsenal.
Sababu zangu ni
1. Kwa msimu wa pili sasa wamepambana sana kuupata ubingwa. Wanafail kizembe.
2. Kusimamisha ubabe wa city kuendelea kuitawala epl.
3.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una uhakika hawa Chuchunge wakichukua kombe mtasalimika humu?Hili kombe achukue arsenal tu
Akichukua mwasiti itakuwa ni upuuzi wa kiwango cha ajabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una uhakika hawa Chuchunge wakichukua kombe mtasalimika humu?
Mimi kila nikiwaza ufidhuli wao naona bora tu Epl ionekane ni Farmers league kwa City kujibebea kombe kila msimu.
Hio shida tuliyopata walivyobeba ngao tu ya hisani, sijui itakuaje hawa Chuchunge wakibahatisha kubeba Epl.
Hebu angalia hapa chini huu ufidhuli wanaowafanyia, na hapa bado hawajebeba kombe halafu fikiria wakibeba kombe hali itakuwaje[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2973462
"Kwa sasa Klopp anaonekana ndezi tu, wanaona bora hata Baba Ubaya"sijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa sio wa kuwaombea wapate hata bilauri achana na hilo kombe la Epl.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tu wanatusumbua utadhani wameshabeba ligi
ππππππ[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa sio wa kuwaombea wapate hata bilauri achana na hilo kombe la Epl.
Kama unawahurumia sana ni bora uwaombee wapate hata mimba ili msimu huu wasitoke mikono mitupu[emoji38][emoji38][emoji38]
Klopp bado ni kocha mzurisijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
Arsenal huo ubavu anautoa wapi?Hili kombe achukue arsenal tu
Akichukua mwasiti itakuwa ni upuuzi wa kiwango cha ajabu
AnachukuaArsenal huo ubavu anautoa wapi?
Kombe la Man City hilo binti wala usihangaike kum-betia Arsenal! Mechi za mwisho Man City huwa halina utani!Anachukua