Naona uko sahihi.Mkuu katazame Net spend ya Klopp utaona ni ndogo mno kuliko unavyodhani.. Kwa kua ameuza wachezaji wengi na kwa bei powa sana inampa net spend y wastani..
Hili la kutochukua Kombe zaidi ya mara moja mpaka sasa lina maelezo mengi mengi lakin hayasaidii wala kufuta ukweli kwamba Kipara ametumbuliza kisawa sawa na sio tu kwa sababu wana pesa lakin kwa sababu Kipara ni kocha bora zaidi ya Klopp,... Klopp analetaga mahaba ksa wachezaji hata kama hawampi anachotaka na hii ndio imetupelekea kua wasidikizaji Champions League na EPL akiwepo Klopp..
Upande mwingine amejitahidi sana kupambana na Oiled Manchester City huku akiwa na mabosi ma Yankees wenye kuangalia zaidi mapato kuliko vingine...
Hakuna ku justify hili la EPL moja akiwepo Liverpool. Hakika hapo amefeli sana na hii pia inatokana na nguvu yake pale klabuni. Klopp word is final na hii iliwapa akina Edwards mazingira magumu mpaka wakaamua kuodoka kwa kua hawakua huru kutekeleza majukumu yao.
Tutazame yajayo chini ya mwamba Edwards nina imani watafanyia kazi mapungufu yaliopo.
YNWA
Kitu kimoja kikubwa alichokifanya Klopp kwa Liverpool ni kugeuza ile mentality ya ma yankees na wachezaji kuwa liverpool is no longer a selling club kama ilivokua zamaniMkuu katazame Net spend ya Klopp utaona ni ndogo mno kuliko unavyodhani.. Kwa kua ameuza wachezaji wengi na kwa bei powa sana inampa net spend y wastani..
Hili la kutochukua Kombe zaidi ya mara moja mpaka sasa lina maelezo mengi mengi lakin hayasaidii wala kufuta ukweli kwamba Kipara ametumbuliza kisawa sawa na sio tu kwa sababu wana pesa lakin kwa sababu Kipara ni kocha bora zaidi ya Klopp,... Klopp analetaga mahaba ksa wachezaji hata kama hawampi anachotaka na hii ndio imetupelekea kua wasidikizaji Champions League na EPL akiwepo Klopp..
Upande mwingine amejitahidi sana kupambana na Oiled Manchester City huku akiwa na mabosi ma Yankees wenye kuangalia zaidi mapato kuliko vingine...
Hakuna ku justify hili la EPL moja akiwepo Liverpool. Hakika hapo amefeli sana na hii pia inatokana na nguvu yake pale klabuni. Klopp word is final na hii iliwapa akina Edwards mazingira magumu mpaka wakaamua kuodoka kwa kua hawakua huru kutekeleza majukumu yao.
Tutazame yajayo chini ya mwamba Edwards nina imani watafanyia kazi mapungufu yaliopo.
YNWA
Huyo anatakiwa awe anaingia kipindi cha pili yaani ile namba ya Nunez apewe Danns tuDah magoli anayokosa Nunez yangefanikiwa kuwa mabao ingekuwa balaa
Kwani aliye Msajili Nunez ni nani?Kocha anawatengenezea system nzuri ya kufanya build up hadi kufika goli la mpinzani, lakini wachezaji wake wakifika golini wanakosa magoli, halafu mashabiki wanamlaumu Kocha
Well said chiefNaona uko sahihi.
Klopp kapambana kinoma ingawa kuna vitu alikuwa anazingua. Ukichanganya na kuwa kuna Kipara kwenye ligi, ambae ni vigumu kupamba naye kama hauko vizuri kila idara, amejitahidi sana.
Kipara ameonyesha ulimwengu kuwa yuko vizuri kimbinu na akiwa na timu bora zenye pesa ndiyo kabisaa hashikiki, na hili amefanya kila nchi aliyopitia. Apewe maua yake, na waliojituma kwa kila namna wawezayo kukabiliana nae, nao wapongezwe (baba ubaya, klopp, Arteta a.k.a mpokea kijiti cha Pep, na wengine)
Jamaa pamoja na kukosa magoli ya wazi lakini pia ana mchango mkubwa sana kule mbele kama kupambana na mabeki pinzani, uwezo wa kukokota mpira, spidi, nguvu. Aendelee tuu kuanza 1st eleven mbele ya Gakpo.Huyo anatakiwa awe anaingia kipindi cha pili yaani ile namba ya Nunez apewe Danns tu
Mzee katika asilimia za kupoteza vikombe Klopp Ni loser mmoja ambaye hajawahi kutokea .....ndio maana hata Liverpool awe top of the table Hakuna MTU mwenye Akili timamu anaweza kusema watachukua ubingwa ......never ...hata Arteta anamizidi consistency strategic tactics....Kwenye Champion League tulipompiga nje ndani kwenye Robo huyo Pep hakujua kuwa Kombe mbele yake?
Alipopigwa Fainali na Chelsea huyo Pep hakujua kuwa mbele yake kuna Kombe?
Au unaongelea Pep gani na Kombe gani labda?
Liverpool ilitafunwa na Man U?Liverpool Toka itafunwe na Man Uimepoteza muelekeo kabisa
Mbaga hili jina linanikumbusha miaka ya Giza Taqwa High school MwanzaLabla kuna utofauti wa kubakwa kwa mbinde na kubakwa bila kukaza [emoji23]
Acha kuandika ujingaTimu isiyo na ambition ya makombe, ikikosa kombe haiumii na Wala hawana mpango wa kuboresha kikosi chao
Arteta na Edu ili wairudishe timu kwenye ramani, walikaa chini wakaamua kutengeneza phases za project.
Kwenye phases, phase ya timu kuanza kuchallenge makombe ni phase ya 4, phase ya 5 ni kuifanya Arsenal iwe the best in the world
Sasa unaposema Arsenal Haina ambition ya makombe tunakuwa hatukuelewi, wakati mashabiki tunaona kabisa direction ya timu yetu
Wewe bado ni mchanga sana linapokuja swala la majadiliano kwenye jukwaa hili, achilia mbali uchambuzi.Jibu swali wewe wakati Liverpool inaanzishwa ulikua unatarajia hata kuwepo duniani maana si unaleta habari za umri
Hamad Diallo.Liverpool ilitafunwa na Man U?
Kwa ile mishuti ya nyunyez? Labda mwakaniHii GD na Arsenal inatakiwa ianze kupunguzwa kuanzia leo. Jamaa katuzid goal 9. Easy leo tukipunguza hata 2 au tatu.
Urejeo Wa jota utawasaidiaHii GD na Arsenal inatakiwa ianze kupunguzwa kuanzia leo. Jamaa katuzid goal 9. Easy leo tukipunguza hata 2 au tatu.
Huku sisi tukikaa tu bila kufunga...Hii GD na Arsenal inatakiwa ianze kupunguzwa kuanzia leo. Jamaa katuzid goal 9. Easy leo tukipunguza hata 2 au tatu.
Winning or Loosing ni sehemu ya matokeo tutawamaliza kule kule kwao 😂
mki shinda, uta nichapa bakora 10 😂🤣Winning or Loosing ni sehemu ya matokeo tutawamaliza kule kule kwao 😂