Sisi shida yetu ni tunaletaga utoto mwingi wakati tusiopaswa kuleta mzaha. Tukiongeza maturity kidogo na proper game management tutapambana hadi mwishoni. So far tuna injuries ambazo zimepatiwa majibu, ila tunawasiwasi iwapo watu kama Saka, Saliba, Gabriel au Odegaard.Umewahi kushiriki marathon ya point moja kutoka March mpaka may bila kuambulia kitu???
Msimu mgumu huu. Kipindi cha Marathon hii ilikuwa ni Pep vs Klopp. Tulipunguza gap from 12 mpaka 1, lakn hiyo point moja mpaka mwisho tulishindwa kuidaka.
Msimu huu naona Arteta nae kajisogeza kwenye Marathon.
Zamu yenu embu mpate majeruhi walau wanne tuone ubavu wenu wa kuhimili vishindo.
Kwa Edwards akiamua hawapo nyongeza ya mkataba hao ma faza basi ujue ana solution sokoni jamaa habahitisha...Better option unakubali kuwaongeza, tu inakulipa kuliko kuwaondoa. Ukiwaondoa ni kama kamari hujui wata deliver hao wajao au itakuwaje. Tafuta potential replacement zao waingie pole pole kwenye mfumo. Lakini itategemeana na mrithi wa Klopp atatakana nini na nini hataki. Ila kwa kocha yeyote yule kwa sasa huwezi kuwakataa Salah Vvd na Beckor.
Naona kama FSG kuna vitu wamevipigia hesabu wakaona vimewachelewesha, nitaamini hivi wakimkubalia Edward matakwa yake.
Hawana huo uwezo haosiwapendi man u lakini leo nawashabikia wanipigie huyu nyumbu tuu man city leo ule kipigo ni haki yako nyumbani kwako.
🤣 🤣 🤣 🤣 Manchester United ipo hii ndugu ya kumchakaza Kipara... Ten Hag naona kile kivuli cha kufukuzwa kazi kinamnyemelea kichwan maana unamtoa aje Rashfod na kumleta Antony ambae ni kucheza huko amateur leagues sio EPL made huyu...siwapendi man u lakini leo nawashabikia wanipigie huyu nyumbu tuu man city leo ule kipigo ni haki yako nyumbani kwako.
nimewadharau kabisa leo washuke tuu daraja ikiwezekana🤣 🤣 🤣 🤣 Manchester United ipo hii ndugu ya kumchakaza Kipara... Ten Hag naona kile kivuli cha kufukuzwa kazi kinamnyemelea kichwan maana unamtoa aje Rashfod na kumleta Antony ambae ni kucheza huko amateur leagues sio EPL made huyu...
YNWA
🤣 🤣 🤣 Nina wasiwasi alipo Bobby hata goli 5 za ligi hanaa...On paper Gakpo anacheza no9 ila kwa ufupi anafanya ya Bobby, but Bobby is just Bobby ila bado Klopp anamuota Bobby.
Anacheza kama striker lkn ana drop deep kuwavuta CB’s wa opponents ili kuacha rooms kwa LW & RW plus anashuka kuongeza namba kwenye MF kwa RCM & LCM.
🤣 🤣 Najiuliza yale ma mamilioni hawa Manchester United wametoa kusajili hua kweli kuna scout department ama wanawapata aje hawa wachezaji wao... Ni vipigo baada ya vipigo..nimewadharau kabisa leo washuke tuu daraja ikiwezekana
Nunez kamzima Saint Anne kimyaaaa anapitaga hapa kama sio yeye..Same words to Nunez
mimi maombi yangu ni wafike hata miaka 40 kabisa bila kombe la ligi sijui wamefika kumi na ngapi sasa.🤣 🤣 Najiuliza yale ma mamilioni hawa Manchester United wametoa kusajili hua kweli kuna scout department ama wanawapata aje hawa wachezaji wao... Ni vipigo baada ya vipigo..
Kutesa kwa zamu wapigwe tu maana walituonea haswa enzi za Fergie sasa ni wakati wao kupigikaaaaa
YNWA
Numbisa unaitwa huku.mimi maombi yangu ni wafike hata miaka 40 kabisa bila kombe la ligi sijui wamefika kumi na ngapi sasa.
itakuwa vita ya kukata na shoka siku hio naisubiri kwa hamu.So Jumapili tupo na Manchester City Anfied....
Haya waleteee hakuna namna to be the best we beat the best..
YNWA
Kipara kama namuona atakavyojilesi hio siku ili mradi kutuvuruga....itakuwa vita ya kukata na shoka siku hio naisubiri kwa hamu.
Historia inajirudia wakati twachukua ubingwa wa EPL Allison aliumia na dogo Adrian akacheza mechi kadhaa wakati yule bwana anatimbiwa...Heard atarudi April/May kabisa. I am not worry about Kelleher performance but what if we will miss him in anyhow??
God Forbid.
Salah Jota wananitosha kabisaInapendeza. Gari lake wahi kulipanda soon linajaa.
Salah Jota wananitosha kabisa
Huyo mdogo wenu bado sana mimi kuwa shabiki wake.
Wapigwe tu hawa nyumbuz. Ila uliona jana jinsi leverpool na gunners walitengeneza umoja wa kishabiki na kuungana kuwasapoti manyumbu? Ule usema wa 'adui wa adui wangu ni rafiki yangu' niliuona jana ukiwa katika vitendo. Tuliumizwa wote na kipigo cha manyumbu. Anyway, acha hao wapuuzi wapigwe tu watolewe top 10. Waachie nafasi kwa timu zinazojielewa.🤣 🤣 Najiuliza yale ma mamilioni hawa Manchester United wametoa kusajili hua kweli kuna scout department ama wanawapata aje hawa wachezaji wao... Ni vipigo baada ya vipigo..
Kutesa kwa zamu wapigwe tu maana walituonea haswa enzi za Fergie sasa ni wakati wao kupigikaaaaa
YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 Hakika wapigwe mpaka basiiiiiiii....Wapigwe tu hawa nyumbuz. Ila uliona jana jinsi leverpool na gunners walitengeneza umoja wa kishabiki na kuungana kuwasapoti manyumbu? Ule usema wa 'adui wa adui wangu ni rafiki yangu' niliuona jana ukiwa katika vitendo. Tuliumizwa wote na kipigo cha manyumbu. Anyway, acha hao wapuuzi wapigwe tu watolewe top 10. Waachie nafasi kwa timu zinazojielewa.