Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Subiri uone home boy Gerrard anatua mazlma ndio utaelewa who's FSG Hahaha....Ujue selection ya kocha mpya ni ngumu sana kujua itakubali au lah.! Angalia Italy timu kubwa wamegeukia wachezaji wao wa zamani ambao bado hawajakwiva.
Kwa sasa kwenye ulimwengu wa mpira kuna makocha wachache sana wenye uwezo mkubwa
Pep
Klopp
Do Carlo
Hawa ndio top three ambao kuondoka kwao sio kuishiwa mbinu ni sababu zingine.
De zerbi tuseme labda bajeti yake ndogo na wamejiwekea standard ya kukuza na kuuza.
Alonso msimu wake wa kwanza mzima huu bado hajafanya vibaya, alikuja last season akaikuta timu mbovu akaishia ya sita last season.
Kama ni data nafikiri;
Nagelsmann
Alonso
Lijnder
De Zerbi watakuwa kwenye list ya FSG itategemea na Sporting director atakayekuja.
El Cholo kama tunaendana nae hivi.Subiri uone home boy Gerrard anatua mazlma ndio utaelewa who's FSG Hahaha....
Kwa kua Klopp kashataganza sio siri tena hatakuwepo msimu mpya ni dhahiri sasa klabu ipo kwenye mchakato huu kutazama mridhi bora kabisa...
Nina imani na data generated search itatuweke salama kuliko kutumia hisia kuchukua Mwalimu...
Ama tushuke mazima kwa El Cholo🤣🤣
YNWA
kabisa afu unaju nini hii kitu ipo mpaka mtaani kila shabiki unayemgusia wa kawaida wa liver ukimgusia tuu hilo swala anachange kabisa.
Subiri uone home boy Gerrard anatua mazlma ndio utaelewa who's FSG Hahaha....
Kwa kua Klopp kashataganza sio siri tena hatakuwepo msimu mpya ni dhahiri sasa klabu ipo kwenye mchakato huu kutazama mridhi bora kabisa...
Nina imani na data generated search itatuweke salama kuliko kutumia hisia kuchukua Mwalimu...
Ama tushuke mazima kwa El Cholo[emoji1787][emoji1787]
YNWA
El Cholo kama tunaendana nae hivi.
Sasa nimejua Kwa nini Klopp alikuwa anatuyeyusha kusajili DM. Huyu dogo James MacOnell anaonekana kuwa na miguu SG8 kabisa.
Anajua kuingia uvunguni, anajua kuchungulia pa kupeleka mpira. Klopp anaondoka kaacha watu pale dimba la kati kama watano hivi.
Nenda baba kawasalimie Hispania!
Nenda kawasalimie Ujerumani! But You Will Never Walk Alone!
🤣 🤣 El Cholo Anfied ingelipuka kwa shangwe aisee yule bwana ni habari nyingine kabisa kwa kuamsha amsha.. Na pia ana situation kama ya Klopp pale miaka ya nyuma kabla ya anguko la Barcelona na Real Madrid kipesa alikua bado anapambana nao na bajeti yake finyu... Ishu ya kwanza kwake itakua mshahara jamaa anakula dola za kutosha ambazo kwa FSG sina hakika kama wama match aafu pale wanamvumilia sana kwa sababu ukitazama rekodi yake kuchukua ubingwa sio nzuri sana kwa muda aliokaa pale...Hahah FSG kwani wanashindwa basi?? Kuliko kwa Stevie G bora tumchukue Lijnder mazima bila data wala nini.
Na wakienda kwa data Gerrard hawezi ingia hata top five ya shortlist yao. Maana Cv aliipopoa mwenyewe pale Villa, angebaki Rangers na awe bado anasumbua nafikiri there would be no doubt wangemchukua.
Naamini FSG wakipata mshauri mzuri hasa kuwaonesha nini maana ya kubaki kwenye ubora, ikiwa kocha bora, wachezaji bora, kuwekeza kwenye academy. Mf sasa hivi unasema Bradley/Quansah yupo sokoni mid table watapigana vikumbo na bei yake ni kama 20-35 kwa soko la sasa hivi.
Dah.!!! El cholo mzuri kweli na anajua amsha amsha kama Klopp, yupo connected na fans overall, ukiweka na Anfield atmosphere perfect puzzle unfold . Anaweza kuwa mrithi mzuri wa Klopp maana ni mpishi mzuri wa vipaji na anajua kuishi navyo. Atleast he has that CV ya kukaa na kukaa na majina makubwa bila kumuathiri. Lows and highs amezipitia
Bado naona tutaangukia kati ya hawa;
Alonso
De zerbi
Lijnders
Cholo (huyu itakua package surprise).
Perfectly Made For Liverpool ila duh ana mahaba ya kudumu alipo labda aamue kusaka challenge mpya Uingereza....El Cholo kama tunaendana nae hivi.
Kwa bajeti za FSG na mashindano yalivyokua mengi mbona hana namna atawatumia tu tofauti na hapo aingie sokoni na hilo sidhani..Ukiwaangalia
Bradley
Quansah
Bajcetic
Kelleher
Mac Connel
Jones
Elliot
Unawaza ajaye ataweza kuvikuza hivi vipaji?? Ni mtihani kweli kweli kwa ajaye
Miss Liverpool hae...Bora aje hata Gerrard
[emoji1787] [emoji1787] El Cholo Anfied ingelipuka kwa shangwe aisee yule bwana ni habari nyingine kabisa kwa kuamsha amsha.. Na pia ana situation kama ya Klopp pale miaka ya nyuma kabla ya anguko la Barcelona na Real Madrid kipesa alikua bado anapambana nao na bajeti yake finyu... Ishu ya kwanza kwake itakua mshahara jamaa anakula dola za kutosha ambazo kwa FSG sina hakika kama wama match aafu pale wanamvumilia sana kwa sababu ukitazama rekodi yake kuchukua ubingwa sio nzuri sana kwa muda aliokaa pale...
Ngoja twende na hao hao wanaotajwa kwa sasa kama pale itajulikana ni nani anatua Anfied..
YNWA
Kwa bajeti za FSG na mashindano yalivyokua mengi mbona hana namna atawatumia tu tofauti na hapo aingie sokoni na hilo sidhani..
Kama Gerrard anarudi na kina Milner, Henderson [emoji1787][emoji1787]we are finished guys..
YNWA
Miss Liverpool hae...
Una hamu ya kuona Henderson, Lallana, Lovren, Milner na C10 wakirejea Anfied? Kama ndio mpe kazi Gerrard.
YNWA
Teh teh teh teh teh teh! Huyu bado sana. Labda kwa kuwa ni kijana wa hapo.Nina Imani na Steven Gerrard