[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Liverpool hii tunawataka man city na real Madrid hata leo tu
Liverpool bingwa makombe yote msimu huu EPL,CARRABO,FA, UROPA
LIVERPOOL TIMU BORA DUNIANI KWA SASA
Salute the Boy...Darwin Nunez akiwa na Liverpool katika mashindano yote msimu huu.
◉ 30 games
◉ 08 goals
◉ 10 assists
◉ 36 shots on goal
◉ 18 goal contributions
ℹ️ Darwin Nunez sasa ni mmoja kati ya wachezaji watatu pekee waliotoa assists 10 au zaidi kwa timu za Premier League katika mashindano yote msimu huu.
🅰️ 11 — Bukayo Saka
🅰️ 10 — Ward-Prowse
🅰️ 10 — Darwin Nunez
😂😂😂😂
Naona golikipa wangu haonwi kabisa
Eti kila mtu anamjadili Jones
Hapo ndio unapenda weeh😂😂Salute the Boy...
YNWA
Goalkeeper wako asubiri Alison astaafu ndiyo tutamfikiria kumuona.
Kwasasa tuna Jones kwanza
Sema wewe Miss Liverpool... Tupo na mpishi Nunez anafanya yake kwa wengine...Hapo ndio unapenda weeh😂😂
Sema wewe Miss Liverpool... Tupo na mpishi Nunez anafanya yake kwa wengine...
YNWA
kumbe baada ya mechi huwa wanakaa sitting room zao na kuangalia marudioMac Allister
"I'm very happy because there were so many nice goals during this month," Mac Allister said after collecting the award. "But thank you to the fans and everyone that voted for this goal to be Goal of the Month.
"[It's] not a bad one to be the first [goal] at the club! Definitely one of the nicest goals I've scored in my career so far. It's a nice one.
"I think on the pitch I didn't realise how good it was. Then when I saw the replay, I could see how good it was. Very happy and hopefully many more to come."
kumbe baada ya mechi huwa wanakaa sitting room zao na kuangalia marudio
Ahah kuna matukio mengine huwa hawayaoni
Copied somewhere
NAFIKIRI Liverpool ndio timu ya ‘ajabu’ zaidi duniani. Nimekua shabiki wake kwa miaka zaidi ya 20 na nadhani ndio kitu pekee nachokijua kwa asilimia 100. Ondoka hapa nitarudi siku nyingine.
Sogea kwenye hoja: Unamtazama Darwin Nunez? Mimi siyo mwenye elimu sana na ufundi wa soka ila sivutiwi kabisa na namna ambavyo Darwin hukosa magoli.
Hakuna mchezaji ambaye anapokea critics mitandaoni kama Darwin. Huku kwetu vibanda umiza jina lake linapokea matusi sana.
Magroup ya whatsap hakosi kutukanwa na kukosolewa.
Well! Je huwa unazisikiza sauti za mashabiki wa Liverpool (Kopites) wakiimba jina la Nunez pale Anfield ama kiwanja chochote cha ugenini?.
Nje ya Mohamed Salah ni Darwin ambaye anaongoza kwa jina lake kuimbwa zaidi.
Mashabiki hu-chant “Nunez Nunez Nunez Nunez”
Huimba jina la mchezaji ambaye anaongoza kwa kukosa idadi kubwa ya magoli. Lakini wao hawajali wanaimba tu jina lake.
Jana kwenye mchezo vs Fulham ndio Kopites walifanya tukio ambalo sikumbuki lini niliwahi kuliona ama kuliskia.
TUKIO LA KWANZA: Kipindi cha kwanza mchezo ukiendelea tukiwa nyuma kwa goli moja ndipo mashabiki wakaanza kuliimba jina lake Nunez Nunez.
Ishu siyo kuimba jina lake ishu ni kwamba walikua wakimuimba Nunez akiwa nje akiwarm. Jana hakuanza aliingia sub.
TUKIO LA PILI: Nunez anapokea semi assist kutoka kwa Jota nae anaassist kwa Cody ambaye anafunga goli la pili la ushindi.
Again Kopites wakanyanyuka na kuanza kuimba jina la Nunez kana kwamba ndie amefunga goli.
Nataka kusema nini? Kopites wanajua Darwin ni kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa lakini aliyesajiliwa kwa fedha nyingi.
Wanaujua ubora wake wanajua njaa yake lakini wameamua kumbeba kifuani kwao licha ya magoli mengi anayokosa.
Wanaimba jina lake ili kuzidi kuijenga confidence yake. Imani yetu ni kwamba ipo siku bahati itakua upande wake na atafunga sana.
Jana Klopp alisema Darwin anafanya kila kitu kwa asilimia 100 lakini anakosa bahati tu. Na ipo siku bahati itahamia kwake.
Nunez Nunez Nunez The Warrior
[emoji3578] @bill_shankly1892
.
.
#liverpootanzania #liverpoolsupportertanzaniafoundation #liverpoolfans #liverpoolfcafricaswahili #nunez
Subiri Allison acharuke kuondoka
Mbona mtamlilia Kelleher
dah ndio maana alikuwa bonge la midoUjiulizi mbona baada ya mechi huposti picha zao za baadhi ya matukio.?! Hapa photographer binafsi na wa klabu uhusika.
Nafikiri hutumia replay pia kufanyiwa match analysis.
Casemiro aliwaajiri video analyst wake watatu. Kabla ya mechi husika wanampa data kuhusu mpinzani na acheze vipi akabiliane vipi, na baada ya mechi wampe tena data amecheza vipi amekabiliana vipi.
mara paah nimemkumbuka Lambert dahTokea tulipoibiwa kwa Andy Carroll hatuibiwi tena kirahisi hivi