choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,090
Huyu mzee kufuga deadwoods ndio kumemfanya 8 years 1pl titleHakumchoka Lovren, Sakho, Henderson, Milner, Lallana, Keita, Karius, Mignolet nk bila kuwapa nafasi...
Klopp hua ni muumini wa kutoa muda kwa wachezaji yupo tofauti na wengine hii ina mazuri na mambya yake...
Wapo walioshindwa kabisa kumuonyesha Klopp anachokitaka kama Solanke, Grujic, Kabak, Arthur Melo nk nk...
Kwa Pep ni njia moja tu upo kwa mfumo ama haupo tazama Philips, Danilo, Nolito, Mendy nk Pep hanaga muda wa kusubiri ni kupiga bei ama kusota benchi na yeye kuingia sokoni kwa bahati mbaya Klopp hama matajiri wa mafuta wa kumpa anachokitaka sana sana yeye Klopp' anakomaa na kufundisha alionao mpaka wafike levo anazohitaji...
YNWA
Kuna dogo mmoja anatumia mguu wa kushoto. Nafikiri mechi kadhaa alizopewa nafasi. Naam! Ni Billy Koumatio Ana mwili mkubwa hivi, ni black. Yuko wapi? Profile yake inasemaje?We need LCB more than ever, right now.
LCB who can fill at LB pia.
Matip, Tsimikas & Roberton, wote ni sidelined, hao ni 3 defenders, now tuna 3 senior CBs (VVD, Konate & Gomez), kukosekana kwa Tsimikas & Robbo, inamaanisha kuwa Gomez should be covering at LB, that leaves us with 2 senior CBs, na mmoja wapo (Konate) ni injury prone, Quansah amestep up, but when things gets serious deep in the season (March-May) ambapo hakutakiwi kuwa na any margin ya makosa, tutahitaji sana senior CBs, Arsenal walipoteza title last season kwasababu injury ya Saliba ilikuwa ni one ya big factors wao kucollapse.
Tunahitaji additions at the back.
Trent amekosa mara ngapi?
Trent ni Strika?
Na ndiye aliyetukosesha points 3 kwenye ile game
Kama naona ntakavyowanyanyasa akina OllaChuga Oc
Itakuwa hakuna Cha Nini Haaland wala kima yeyote
Ni kupasua tu[emoji23]
Yupo Sancho pale Manchester United katazame bei yake na mshahara na stat zake utaona Nunez ni wa hio bei kabisaaa...
Yupo Antony hapo hapo Manchester United tazama bei yake na stat utaona Nunez hatujapigwa...
Yupo Rasmus Manchester United chekk bei yake na mchango wake sasa utaelewa Nunez ni wa 200m+
Nk nk nk....
In life watch whats you wish...
YNWA
Hahaha leo Miss Liverpool ataota na HB wake haha kutoka kusema apigwe benchi na sasa huyoo anawania mchezaji bora wa deseba woow dogo amepambana sana... [emoji91]
YNWA
Hakumchoka Lovren, Sakho, Henderson, Milner, Lallana, Keita, Karius, Mignolet nk bila kuwapa nafasi...
Klopp hua ni muumini wa kutoa muda kwa wachezaji yupo tofauti na wengine hii ina mazuri na mambya yake...
Wapo walioshindwa kabisa kumuonyesha Klopp anachokitaka kama Solanke, Grujic, Kabak, Arthur Melo nk nk...
Kwa Pep ni njia moja tu upo kwa mfumo ama haupo tazama Philips, Danilo, Nolito, Mendy nk Pep hanaga muda wa kusubiri ni kupiga bei ama kusota benchi na yeye kuingia sokoni kwa bahati mbaya Klopp hama matajiri wa mafuta wa kumpa anachokitaka sana sana yeye Klopp' anakomaa na kufundisha alionao mpaka wafike levo anazohitaji...
YNWA
Lallana, Lovren, Henderson na Karius wamekula sana matusi kutoka kwangu dah
Ila Lovren alikuwa anatia hasira sana aisee
Ila Sakho alikuwa jembe langu kabisa nilikuwa namkubali sana