Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Hahahahah hawa Liva wanadandia mambo yasiyowahusu, na mimi nasema wapigwe tu, maana hakuna namna nyingine, Jumamosi nasikia mc wa sherehe ya magoli atakuwa Diego Costa kuhitimisha sherehe, kutakuwa na bufee ya nguvu, ufunguzi wa sherehe hii leo utafunguliwa na kina Christian...Hahahahaaaaaa mkuu utapigwa humu ukisema hivyo....!
Yah, ile sherehe mkuu inaanza Leo pale Spain Alafu itaitimishwa Kwao majogoo J'mosi.....!
Leo Ronaldo anatupia tatu peke yake, Benzema 2 peke Yake, Balle 3 peke Yake na Yule Jamaa Pepe atatoka nyuma mpk kwenda kufunga Leo...!
Kwa nini wewe hauamini, ingawa na mimi siamini BR kama anaweza kuwa drop SG na RS, kuhusu SG watu wengi hawataki awe kwenye 1st 11ingawa mi sina tatizo nae sana. Upande wangu kikosi ninachokiota kila siku ni kutomuona Lovren,Raheem kwenye 1st 11 na Rodgers na benchi lake. napenda kumuona Borini anapewa nafasi na PC awe anachezeshwa namba yake huku Benitez yupo pembeni anapiga miruzi yake.James Pearce Saying Markovic and lallana wanaweza kuanza kesho!!
Dom king Saying RS anaweza kuwa dropped kesho!!
So kama ni kweli basi both SG and RS wanaweza kuwa Rested tomorrow AND Markovic na Lallana wanaweza kuanza!!
the thing is they're both most reliable LFC local journals (Barret, Pearce and Dom king)..But bado sijaamini hii kitu mpaka nione first team sheet!!!
Resting SG against RMA w'd be a TERRIBLE idea!!
Lets wait and see kama anachokisema Tony Barret kina ukweli...
Hahahahah hawa Liva wanadandia mambo yasiyowahusu, na mimi nasema wapigwe tu, maana hakuna namna nyingine, Jumamosi nasikia mc wa sherehe ya magoli atakuwa Diego Costa kuhitimisha sherehe, kutakuwa na bufee ya nguvu, ufunguzi wa sherehe hii leo utafunguliwa na kina Christian...
Dah! mkuu, hii sherehe sio ya kukosa...
ngojea nimualike na charminglady pamoja na Eiyer...
Kwa maneno ya kocha wenu anaonekana kabisa kashakubali kibano na akili yake iko kwa match dhidi ya Chelsea
When BR will be #sacked nitafurahi sana sana! No matter who will replace him,ntakuwa na raha sana!
Af kuna washabiki bado wanaimani nae, na wangependa apewe muda zaidi.Naelewa sasa why Reading walimtimua huyu jamaa!
Na madudu haya ya RS leo anasema Sterling kama tu Ronaldo hii ikiwa na maana 100% Sterling anaenda kuanza Jumanne?!
Kwa current perfomance ya Sterling hata benchi hatakiwi awepo!Anzisha Lallana achana na huyu mtoto
Cc@mosdefHapo ndio anakosea.... Nakumbuka msimu uliopita aliikania game ya Chelsea kwa kutaka sifa kumfunga Mourinho matokeo yake hakuamini mwenyewe.....!
Na hii jumamosi Muacheni ajidanganye tena..!
Cc@mosdef
Hahahahahaha ngojea nimuite na ndetichia awe analeta updates za sherehe ya magoli, hiyo sherehe itakapoanza mida ya jioni...Mkuu utapigwa humu ktk hii Nyumba ukitoa maneno hivyo.......!
Walipiga kelele sn msimu uliopita na huu msimu mwanzoni, lkn sasaivi Jahazi limeanza kuzama tena BR waliemsifu sn na kuanza kumuita kocha bora ata km hajafikia Hicho kiwango Hana ujanja wa kuliokoa hili Jahazi.... Na alivyo hana mbinu Leo atapenda aende akamfunge Yule BURUDA Ancelotti pale Santiago Hapo ndio atakatwa mishipa ya damu na kurudi Anfild kwa machela....! Khe Khe Khe Khe Khe juve2012 anamfahamu Vzr Huyu BURUDA....!
Ngoja waje Hao kina Eiyer na charminglady tupige story kidogo.... Leo sichezi mbali na Luninga....!
Hahahahahaha ngojea nimuite na ndetichia awe analeta updates za sherehe ya magoli, hiyo sherehe itakapoanza mida ya jioni...
Huyo jamaa ni wa noma, kwenye thread ya Azam kaianzisha mwenyewe halafu anaijibu mwenyewe... na yeye aje huku afurahie sherehe ya magoli, hii leo...
Tony Barret saying BR anaweza akam-drop SG kesho against RMA!!!
HAHHAHAHAHHAHHA!!
*Bernabeu* should be very very Interesting!
Hahahaaaaa Bale atawauwa hawa watu.... Huku Bale huku Ronaldo katikati pale Benzema, Kz wanayo hawa ndugu zetu......!
Aki m drop SG tutafungwa 6-0!
Akicheza wote wageni wa noisy za Bernabeu tunapigwa kama watoto!Naunga mkono RS awe dropped sio SG
i would like SG to be dropped,ila akiamua kumpanga,asicheze CDM role! SG hajawahi kufahamu ku defend vzr...hivi kwanini kama huyu BR anampenda sana SG kwenye starting XI asimpe free role kama Pirlo pale mbele ili amuachie Lucas anayejua kukaba,ku tackle namba yake?
Mkuu utapigtwa humu ktk hii Nyumba ukitoa maneno hivyo.......!
Walipiga kelele sn msimu uliopita na huu msimu mwanzoni, lkn sasaivi Jahazi limeanza kuzama tena BR waliemsifu sn na kuanza kumuita kocha bora ata km hajafikia Hicho kiwango Hana ujanja wa kuliokoa hili Jahazi.... Na alivyo hana mbinu Leo atapenda aende akamfunge Yule BURUDA Ancelotti pale Santiago Hapo ndio atakatwa mishipa ya damu na kurudi Anfild kwa machela....! Khe Khe Khe Khe Khe juve2012 anamfahamu Vzr Huyu BURUDA....!
Ngoja waje Hao kina Eiyer na charminglady tupige story kidogo.... Leo sichezi mbali na Luninga....!
Kwa nini wewe hauamini, ingawa na mimi siamini BR kama anaweza kuwa drop SG na RS, kuhusu SG watu wengi hawataki awe kwenye 1st 11ingawa mi sina tatizo nae sana. Upande wangu kikosi ninachokiota kila siku ni kutomuona Lovren,Raheem kwenye 1st 11 na Rodgers na benchi lake. napenda kumuona Borini anapewa nafasi na PC awe anachezeshwa namba yake huku Benitez yupo pembeni anapiga miruzi yake.
Kwa maneno ya kocha wenu anaonekana kabisa kashakubali kibano na akili yake iko kwa match dhidi ya Chelsea