Mkuu hii game imekaaje ? Na vipi unaona kuna uwezekano tukavaa medali msimu huu?
Two draws at home zimenikeraMechi ngumu but atleast we are at Anfield na tupo kwenye rythm nzuri kwa kiasi chake kuliko Newcatle.
Uwepo wa Jota utaongeza uwezekano wa kupata magoli…!!
Newcastle kiwango kibovu currently kutokana na energy waliyotumia kwenye CL na too many games, refer alichokisema Tripper kuwa binafsi ameshuka kiwango.
Ki ufundi itategemea na Klopp mwenyewe atakavyoandaa kikosi chake.
It gonna be ideal kuanza na mid ya Endo Jones na Szobo. Jones wengi hawamuelewi ikiwemo na mimi lakn akiwepo walau unaona balance kwenye mid yetu kwa kipindi ambacho Macca hayupo Jones na Endo wanatupa balanace defensively huku Szobo akiwa free kiasi unapata ubora wake offensively.
Gomez as LB anaongeza strength upande huo ambao umekuwa very weak offensively. Kama nikiwa Klopp front three ningeanza na Nunez as LW Jota as CF and Salah as RW Jota and Nunez watabadilishana.
I think 2+ for Liverpool with clean three points vs Newcatle
Pep is comingSasa jogoo amefika mwenyewe juu ya Mti baada ya Tembo kudondoka.
Huyu labda ashuke kwa hiari yake lakini sio kudondoka 💪💪View attachment 2856777
Ao sio mashabiki wa Arsenal, na arsenal ijawahi kuwa na mashabiki wa hovyo namna hileWashabiki wa Arsenal wanamsema Vibaya Arteta but niseme ukweli Arteta ndiye Bill Shankly wa Arsenal.
Arteta kaikuta Arsenal imejifia ipo kuzimu kairudisha kwenye Reli.
Arteta Timu aliyonayo hajarithi bali kaitengeneza mwenyewe.
Arteta hana Bajeti kama Chelsea au Manure ya kubeba kina Caisedo, Enzo au Garnacho ndiyomana inamuia ngumu kubeba EPL kwa kikosi alichonacho.
But Arteta akiwezeshwa basi Arsenal itatakata na Timu nyingine zitapata shida.
Dynamics has changed bro.. Thiago atapoza mpira sana na mishe zake za kutaka kupiga exquisite passes... Kwa sasa asuburie tushinde ndio apangwe hakuna namna.We need them both chief. Thiago anakupa good 30 mins with top top quality performance..!!!
Hii gemu tunashinda mkuu. Confidence ipo chini sana kwa sasa kwa Newcastle na Liverpool tuna kila sababu kuwavaa kama Liverpool ili kujizatiti kileleni... Itakua cracker kwa kua kila mmoja hana cha kupoteza tegemea magoli 2 3 au 3 1 Liverpool tukishinda.Mkuu hii game imekaaje ? Na vipi unaona kuna uwezekano tukavaa medali msimu huu?
Kweli mpira siyo wa kila mtu.Offside inaanza kuhesabiwa pale mchezaji au wachezaji wa timu pinzani anapozidi/wanapozidi wachezaji wa ndani wa timu pinzani. Wachezaji wa ndani ni wale wasiotumia mikono kuucheza mpira uwapo ndani ya uwanja yaani kuanzia beki namba 2,3,4,5 viungo 6,8, 10 mawinga wawili 7&11 strika 9 (2,3,4,5,6,7,8,9,10 na 11). Hii ndio iliyozoeleka kwa wengi.
Sasa offside ina vipengele vyake ambavyo inategemea na tafsiri ya refa na sasa hivi VAR ndio kabisaaa huelewi consistency ya offside. Ila kwa sheria za sasa offside ni ukizidi sehemu yoyote ya kiungo cha mwili kwenye eneo la mpinzani.
Sasa hii hapa ndio inachanganya wengi, na inategemea busara na IQ za mwamuzi. Mchezaji wa timu pinzani akizidi hata mwili wote kisha mchezaji wa timu yake akapiga mpira na mchezaji yule akaingilia (interfere) lile lile tukio mathalani kuukimbilia mpira kuukwepa mpira au mpira kuugusa na kusababisha kumpoteza golikipa kwa namna moja au nyingine hii inakuwa offside. Mf wa matukio haya ndio kama goli la Gakpo mechi vs Butnley.
Lakini sasa hapa inategemea na uwezo wa mwamuzi wa kutafasiri matukio hayo. Ndio maana kwa tukio hili hili ni offside mwchi nyingine sio offside.
Kuna offside nyingine hutokea ikiwa mchezaji wa timu pinzani yupo mbele ya golikipa halafu nyuma ya golikipa kuna mchezaji wa ndani. Kwa mf. Alison katika piga nikupige akawa mbele kiasi ila ndani ya box hapo halafu nyuma akawa Saka halafu nyuma ya Saka akawa TAA ikitokea mpira ukapigwa kwa Saka na akafunga hii itatafsiriwa offside pia.
Kama haujaelewa uliza.
dah mkuu umetisha ahahHata hivyo Arsenal kutubania sisi wakishua Baba Waziri mama Mbunge mitaa ya Anfield halafu akaenda kumpa Muendesha bodaboda pale mitaa ya Westham Kimara Mwisho imenikera sana 😡
kwa majibu ya manager wetu unaona anavyojiamini na mido iliyopoKlopp was also asked if there is a possibility of Thiago Alcantara and Stefan Bajcetic being back in January, and replied: “I am actually not 100 per cent sure.
“I think Thiago will be at one point in team training. With Stefan, if you ask Stefan how he feels, he says ‘good’. ‘Could you train?’ Yes, he could. It’s just we have to be sensible. That’s how it is.
“It’s a growing issue, it’s not growing [increasing] but because of his growing, his age and stuff like this. So we just have to be careful. He could train today fully and then maybe tomorrow as well and then not [for] five weeks. It’s a medical decision, it’s not by the boy, it’s not by me.“
“Thiago is in a very good moment as well but we just have to make sure we don’t use him then too early. The hip thing in and around that area is just a long-term thing as well.”
“There were for sure days where he could have easily trained but it’s all about how can he be back then in the long term, and that’s what we are working on.”
Naam umechambua vizuri sana n kweli Newcastle hawako poa kabisa naamini ni muda sahihi WA Sisi kujichimbia zaidi kileleniMechi ngumu but atleast we are at Anfield na tupo kwenye rythm nzuri kwa kiasi chake kuliko Newcatle.
Uwepo wa Jota utaongeza uwezekano wa kupata magoli…!!
Newcastle kiwango kibovu currently kutokana na energy waliyotumia kwenye CL na too many games, refer alichokisema Tripper kuwa binafsi ameshuka kiwango.
Ki ufundi itategemea na Klopp mwenyewe atakavyoandaa kikosi chake.
It gonna be ideal kuanza na mid ya Endo Jones na Szobo. Jones wengi hawamuelewi ikiwemo na mimi lakn akiwepo walau unaona balance kwenye mid yetu kwa kipindi ambacho Macca hayupo Jones na Endo wanatupa balanace defensively huku Szobo akiwa free kiasi unapata ubora wake offensively.
Gomez as LB anaongeza strength upande huo ambao umekuwa very weak offensively. Kama nikiwa Klopp front three ningeanza na Nunez as LW Jota as CF and Salah as RW Jota and Nunez watabadilishana.
I think 2+ for Liverpool with clean three points vs Newcatle
Salute mkuu naamini tutaanza new year Kwa kishindo inabidi Tu tubebe trophy this seasonHii gemu tunashinda mkuu. Confidence ipo chini sana kwa sasa kwa Newcastle na Liverpool tuna kila sababu kuwavaa kama Liverpool ili kujizatiti kileleni... Itakua cracker kwa kua kila mmoja hana cha kupoteza tegemea magoli 2 3 au 3 1 Liverpool tukishinda.
Nina imani na kikosi kwa sasa kime balance bila Macca ambae alikua anaelemewa na majukumu.. tazama pale kati mambo yanakwenda na Endo DM naamini Klopp atakua amekaa nae na vijana wa data ku highlight wapi aongeze kasi...
Mtihani tu Mech ni Jumatatu hivyo tutakua na matokeo ya wengine wote Arsenal, Manchester City, Tottenham, Aston Villa hivyo vijana wanafaa watulie sana waache kuwaza wengine wawekeze zaidi kuwaza ya kwao...
YNWA
Wale mashabiki wa Arsenal utoto ni mwingi sana wamesahau walipo toka [emoji23]Washabiki wa Arsenal wanamsema Vibaya Arteta but niseme ukweli Arteta ndiye Bill Shankly wa Arsenal.
Arteta kaikuta Arsenal imejifia ipo kuzimu kairudisha kwenye Reli.
Arteta Timu aliyonayo hajarithi bali kaitengeneza mwenyewe.
Arteta hana Bajeti kama Chelsea au Manure ya kubeba kina Caisedo, Enzo au Garnacho ndiyomana inamuia ngumu kubeba EPL kwa kikosi alichonacho.
But Arteta akiwezeshwa basi Arsenal itatakata na Timu nyingine zitapata shida.
Washabiki wa Arsenal wanamsema Vibaya Arteta but niseme ukweli Arteta ndiye Bill Shankly wa Arsenal.