Kazi ipo then. Tumemleta Raya kama competition na upgrade wa Ramsdale. Shot stopping stats zake zilikuwa nzuri tu last season. Distribution yake bado ni decent na bado anasaidia sana tu gameplan yetu.
Leo analaumiwa kwa magoli mawili. Goli la pili, sawa apokee lawama. Goli la kwanza...hatukujipanga vizuri kuzuia goli. Hakukuwa na mtu kwenye post. Basic defending kwenye corner ni kuwa na watu kwenye posts. Gabriel Jesus naye hakupambana hata kumpa shida kidogo Osho. Odegaard alitucost hivi hivi naye. Goli la tatu, Barkley alifikaje mpaka kwenye ile position bila kuzingirwa au kukabwa? Nategemea English media watamshambulia Raya kwa sababu wako subjective katika views zao. Ila tukiangalia hili suala objectively, tunapaswa kutuliza akili na kurekebisha makosa yanayopelekea kufungwa kwetu magoli mepesi.
Well, the last time we beat Luton at Kensington was more than 30 years ago....
Jokes aside. We know we haven't beaten you guys at Anfield in a while but luckily you guys are still in the Premier League so we'll keep getting opportunities to try to do just that.
Looking forward to it.It was LUTON.
You had your chance last season, and failed terribly.
This time, itakuwa ni top at X-mas decider, so itakuwa ni cracker.
I'm trying to understand your point regarding his shot-stopping ability. I'll begrudgingly accept it, though i recall that, statistically, Raya is one of the best shot-stoppers in the league.First duty ya a good/top GK, ni ku-mask shortcomings/lapses za his backline.
Kwa kipindi cha 90 mins, opponents lazima watajaribu kuja kwako, force mistakes, forces lapses, force mis-steps etc, and since football is all about shapes & dynamics (forms & systems), at some point, utajikuta kwenye trap, so when your defense gets caught-up, and collapses, your GK must be there to try his hardest to save/mask hizo lapses, and shape the defense again.
Kama, GK akiwa a-show up his mates lapses, what is his job? mpira siyo one dimensional, as good as Saliba & Gabriel are, their not immune to lapses, because wanacheza against professionals.
Umeongelea kuhusu lapses za kina Jesus, Ode etc, but unasahau kuwa lapses ni part of football, unaona ni kosa la kina Jesus, but unasahau kuwa, Luton walikuwa good at forcing lapses and penetrations, its football, siyo one sided sport.
So, what happens kama, on-field players, waki-fail ku-win balls/cover ball progression channels? job ya GK ni nini? show up for the ball, stay on your toe, cover your positions, be quick kwenye ku-make decisions.
Raya is not a good shot-stopper and its not an insult at all, and pia its fine.
Acheni basi hiyo lugha mnatuchanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I'm trying to understand your point regarding his shot-stopping ability. I'll begrudgingly accept it, though i recall that, statistically, Raya is one of the best shot-stoppers in the league.
We've conceded a couple of sloppy goals. For some of those, Raya couldn't have done much about after the first and second line of defence were breached. Our players must do better. Our coaching must get better. Raya should probably also ultimately get better.
Ndio jana nimepita unyumbuni wanasema tuletee Kobe mauno🤣ETH kamuamini huyu kijana Kobbie Mainoo na anafanya vizur sasa sijui yeye anashida gani kwa Stefan Bajcetic
Karibu sana Ms KopiteRAY KENNEDY
Nunez nimeshamsifu mbona..Sometimes your takes on football gets way overboard, and it can be stressful.
Trent played a huge part kwenye our win against Fulham, and he deserves kila aina ya praise.
But that doesnt mean he wasnt responsible for Fulham first goal.
And it doesnt mean, the whole midfield wasnt bad (Szobo, Macca, Grav), failed to step up kwenye kila aina ya defensive actions.
Our attacking line, was poor (Diaz, Nunez & Salah).
I dont want to talk about Kelleher, because i expected it.
Then, again, mtu unae ona mzigo hapa, bila yeye kuwepo at the right place, right time, those 2 last goals (Endo & Trent), zisingetokea, not in the slightest.
Actually, it takes a good football mind to figure out this, and i believe you have been kwenye football world, a while enough, kuelewa team-effort kwenye mpira, and what the meaning of last attacking actions.
Give praise, panapohitajika.
😄😄😄😄 kumradhi mkuu. Jukwaa la Liverpool ndilo wanasoka huwa tunakuja kufanyia mazoezi hii lugha ngeni 😄😄😄Acheni basi hiyo lugha mnatuchanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiingereza kingi ,mpira mataputapu na ulanzi .[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kumradhi mkuu. Jukwaa la Lierpool ndilo wanasoka huwa tunakuja kufanyia mazoezi hii lugha ngeni [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kumradhi mkuu. Jukwaa la Lierpool ndilo wanasoka huwa tunakuja kufanyia mazoezi hii lugha ngeni [emoji1][emoji1][emoji1]
Utaelewa tu mbele ya safari Mkuu.Acheni basi hiyo lugha mnatuchanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri mwisho wa msimu tunyanyue makwapa ndio utaelewa kiingereza cha Liverpool kinaenda sambamba na makombe.Kiingereza kingi ,mpira mataputapu na ulanzi .
😄 😄 😄 mpira wanapiga mzuri tu, haswa kwenye ushambuliaji. Kwenye kiingereza, jukwaa hili lina vibe la kipekee yaani. Huku tu ndiyo unakutana na kiingereza kila post 2-3. Sijawahi kujua kwa nini ni huku tu ama zaidi ya mengine. Mimi nimejiunga JF juzijuzi tu hapa ila nafikiri nikienda posts za mwanzoni mwanzoni huko nitakuta wajumbe wakijadili na kupendekeza kutumia kiingereza huku ili sisi watu wa timu zingine tusiweze kuja kuwasagia kunguni wakipigwa. Maana kule Arsenal tunaamini kuwa huku mtu hawezi kueleweka akitumia kiswahili tu.Kiingereza kingi ,mpira mataputapu na ulanzi .
Asante Mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] mpira wanapiga mzuri tu, haswa kwenye ushambuliaji. Kwenye kiingereza, jukwaa hili lina vibe la kipekee yaani. Huku tu ndiyo unakutana na kiingereza kila post 2-3. Sijawahi kujua kwa nini ni huku tu ama zaidi ya mengine. Mimi nimejiunga JF juzijuzi tu hapa ila nafikiri nikienda posts za mwanzoni mwanzoni huko nitakuta wajumbe wakijadili na kupendekeza kutumia kiingereza huku ili sisi watu wa timu zingine tusiweze kuja kuwasagia kunguni wakipigwa. Maana kule Arsenal tunaamini kuwa huku mtu hawezi kueleweka akitumia kiswahili tu.
Ms kopite ndo nani Santa Anna jamani...Karibu sana Ms Kopite
Jisikie upo anfield😂