Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,585
- 235,438
Nunez ni mzigoSipo sentimental ever ikja swala getting the best of players aisee yaaaaan awe Salah au Nunez akizungua uwanjani na ofa ikiwa mezani mbona fresh tu auzwe aisee..
Huyo Trent wako nae ni vile vile kama hawezi kuzuia bei walete hata Manchester City fresh auzwe.. Nimechoka kua msidikizaji kwa Klopp kung'ang'ania wachezaji mizigo tangu enzi ya Lovren, Benteke, Hendo, Milner,Ox, Keita nk nk hivyo tu nahitaji delivery sio bla bla uwanjani... Klopp has to be brutal na makombe yatatua mengi sanaaa. Kumbembelezana Hapana
YNWA
Mwaka huu lazima kwapa zinyanyukeMungu Atuongoze Mkuu Nimemiss kunyanyua ndoo ya EPL this season. Tunakuwaga kama vichaa kama boss klopp anavyoshangilia
Hao wenyewe wazuiaji wajuziAna hizo quality kabisa
But not defensively
Wamuache akae mido
But…. Mido yetu jana ilikua inakatika because the team jana ilibadilishwa kidogo
With time ntaacha… ILA yeye na gomez kule right sided huwa wananipa kichomi
Asset going forward , liability defensively
🤣 🤣 🤣 Kweli mahaba niue... Kuna tofauti gani hapo na hili la Trent ni beki lakin kuzuia amechemka na hili la Nunez mfungaji lakin amechemka na anachofanya ni kutoa pasi ya pili kwenda ya mwisho wengine wafunge...Tunamshukuru kwa ushiriki wake
Ila jua ushiriki wake siyo guarantee ya yeye kukosa magoli ya wazi
Tutamsema tu hadi akili itakapomkaa sawa,
Mishe nyingine yumo,ila mishe tuliyomtuma(kufunga magoli) hawezi .
Tafuta mechi dogo uangalie kwanza aafu ndio ujue ushiriki wa hayo magoli mawili ya mwisho ni team work effort sio Trent peke yake.Trent ni the best.
Magoli yake yanatupa points 4 katika mechi 2.
Goli la 4 angekuwa Nunez yupo pale asingefunga.
🤣 🤣 🤣 🤣 Aisee nani anaongeza kosa kosa kati ya Nunez kushindwa kufunga na Trent kushindwa kuzuia..Nunez ni mzigo
Ofa ikija apigwe bei tu.
Trent apangwe anapoweza kucheza.
Haondoki ng'oo 😂,mnajichosha bure.
Klopp atakuwa ni kichaa kuuza mchezaji mwenye kipaji kikubwa na hana majeruhi ya mara kwa mara.
Hapepesi macho kwa sababu anajua mateso anayoyapata kucheza nyuma..🤣 🤣 🤣 🤣 Aisee nani anaongeza kosa kosa kati ya Nunez kushindwa kufunga na Trent kushindwa kuzuia..
Kimsingi kwa sasa Trent ameshatuma ujumbe wapi anastahili kucheza kwa sasa kazi kwa Klopp kumpa dakika MF au akomae kule kule RB hilo watajuana.. Amepewa hicho kibali cha roaming na matokeo yameonekana safi kabisaaa... Mpaka hapa ni dhahiri hii MF dogo ameamua ku fosi namna ya kuipata... Kazi kwa Klopp sasa na jopo lake wajua namna bora ya ku address line up pale kati kama iwe Trent, Domy, Macca...
Salute kwa Trent. Amepewa nafasi hajapepesa macho ni kazi kazi.
YNWA
Nishaangalia.Tafuta mechi dogo uangalie kwanza aafu ndio ujue ushiriki wa hayo magoli mawili ya mwisho ni team work effort sio Trent peke yake.
YNWA
Tofauti ipo.🤣 🤣 🤣 Kweli mahaba niue... Kuna tofauti gani hapo na hili la Trent ni beki lakin kuzuia amechemka na hili la Nunez mfungaji lakin amechemka na anachofanya ni kutoa pasi ya pili kwenda ya mwisho wengine wafunge...
YNWA
Mpange kipa🙈🙈 kabisaaaa ili nywele zisichafuke kabisa modo wetu Nunez aka Captain Chaos.... 🔥 🔥Tofauti ipo.
Trent alishaweka wazi yeye hawezi mambo ya ubeki
Nunez yeye kasema anataka akae wapi?au tumuweke awe beki?
Naona mechi ijayo TAA akifunga utasema ramsi sasa acheze strika na sio MF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapepesi macho kwa sababu anajua mateso anayoyapata kucheza nyuma..
Inshort ni mlimlazimisha kucheza asipopaweza
Haya sasa njooo kwa Nyunyezi
Mategemeo yetu ya kwanza ni yeye kuwa na mvua ya magoli
Marajio na uhalisia vinapingana.
Kuna shida pale kati kwa staili ya klop anavyopanga timu kushinda tutashinda lkn lazima akubali kuna umuhimu wakuwa na natural DM kuna tackle moja endo aliifanya nikamkubuka prime fabinho.🤣 🤣 🤣 🤣 Aisee nani anaongeza kosa kosa kati ya Nunez kushindwa kufunga na Trent kushindwa kuzuia..
Kimsingi kwa sasa Trent ameshatuma ujumbe wapi anastahili kucheza kwa sasa kazi kwa Klopp kumpa dakika MF au akomae kule kule RB hilo watajuana.. Amepewa hicho kibali cha roaming na matokeo yameonekana safi kabisaaa... Mpaka hapa ni dhahiri hii MF dogo ameamua ku fosi namna ya kuipata... Kazi kwa Klopp sasa na jopo lake wajua namna bora ya ku address line up pale kati kama iwe Trent, Domy, Macca...
Salute kwa Trent. Amepewa nafasi hajapepesa macho ni kazi kazi.
YNWA
😂😂😂😂😂😂😂Naona mechi ijayo TAA akifunga utasema ramsi sasa acheze strika na sio MF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
YNWA
Si bora nimuweke Trent wangu kipa 😆😂Mpange kipa🙈🙈 kabisaaaa ili nywele zisichafuke kabisa modo wetu Nunez aka Captain Chaos.... 🔥 🔥
YNWA
Bajcetic ni majeruhi mbona au acheze akiwa majeruhiETH kamuamini huyu kijana Kobbie Mainoo na anafanya vizur sasa sijui yeye anashida gani kwa Stefan Bajcetic
Ana hizo quality kabisa
But not defensively
Wamuache akae mido
But…. Mido yetu jana ilikua inakatika because the team jana ilibadilishwa kidogo
With time ntaacha… ILA yeye na gomez kule right sided huwa wananipa kichomi
Asset going forward , liability defensively
Nunez ni mzigo
Ofa ikija apigwe bei tu.
Trent apangwe anapoweza kucheza.
Haondoki ng'oo 😂,mnajichosha bure.
Klopp atakuwa ni kichaa kuuza mchezaji mwenye kipaji kikubwa na hana majeruhi ya mara kwa mara.
Tafuta mechi dogo uangalie kwanza aafu ndio ujue ushiriki wa hayo magoli mawili ya mwisho ni team work effort sio Trent peke yake.
YNWA