Nunezi anakitu kipo wazi kabsaaa lakini anatumikaje?Klopp avae miwani labda ataona hiki unachosema hapa bila chenga.
Timu haina balance kabisa kuanzia DM na defence na ishu kuu timu za EPL zina tabia ya kusomq waliotuzuia ama kutufunga wametumia mbinu ipi na mpaka sasa ni dhahiri wameshastukia kwa Trent ni uchochoro.
Macca yupo pre season
Mbele Nunez is being Nunez
YNWA
Salah huyu hapa
View attachment 2807298
Khavicha huyu hapa
View attachment 2807299
Khavicha at Anfield huku nyuma yake akicheza Domy na Macca itakua full mchakamchaka.
Klopp should break the bank for this..
Khavicha is a baller man, aje tu japo its won't be cheap..
YNWA
Mimi naona tofauti kabisa na mnavyo ona Yani obora tulionao sio tunao stahili kabisaaa benchi la ufundi haliko sawa kabisa timu inapangwa shaghala baghala tumeletewa namba 6 haminiwii Yani beki 3 ipo myaka kibao na imeongezewa mkataba juzi tu nae haminiwii una mastreka 2 badala watumike tofauti wanapangwa pamoja na mawinga wapo tu.
Timu ya kindezi kabisa hii tuna toa nayo sare kweli wale wajinga nao wametusumbua wee Man city kawapangia watoto na kawapiga sita
Mtakuja gundua tu tunatumia nguvu nyingi kuliko akili.
Nunuez ni km kijana aliye balehe na kuzoea punyeto madhara yake akipata mke yeye anapapara mwishowe hawez kumridhisha mwanamke na yeye mwnyw anaweza kufika kileleni kabla hata hajaanza kufnya mapenzSiyo jana tu!
Mechi nyingi tu Nunez anamiss magoli mengi tu
Hadi huwa nasema humu, kwamba tungekuwa tunashinda Kwa magoli mengi tu kama isingekuwa uzembe wa Nunez.
Kwahiyo tulimuweka acheze ili akasindikize?Mule ndani amepewa namba akafanye Nini?
Kazi yake mule ndani ni kufunga , not otherwise.
Yaani assist tumpe afu abutue na tumuache tu!,πππ
When Salah or Mane joined non had been near as clinical as they turned hapa Liverpool that why i bank on Khavicha any day of the week as he is fast with acute passee in this case zitue kwa Nunez just like anavyofanya kwa Osimen pale Napoli hivyo kama Klopp ataamue kwenda na dogo basi we are on th same page na kingine just like Salah he has tricks na anajilinda sana kutoumia hovyo hovyo...I think kuna areas ya his game ambazo zinaweza kuwa improved & coached.
But, i dont think he has enough goals.
For example, he's better than Diaz, but wote wawil hawana enough goals, good wingers/attackers, but return ya goals siyo elite.
Nunez, Diaz, Jota & Gakpo ni group la big talents, but tunahitaji a SALAH, wa kum-compansate defects ya goals ya kwenye hilo kundi, hence replacing Salah, itakuwa ni ngumu sana kuliko ilivyokuwa kwa Firmino & Mane.
Wewe una angalia LiveScore utajuaje Trent hakucheza vyema vs Luton πππππNaona tu mnavyomtoa mbuzi karafa mdogo wangu Trentπ
Timu nzima imecheza hovyo, Trent anatupiwa zigo la lawama.
πππWewe una angalia LiveScore utajuaje Trent hakucheza vyema vs Luton πππππ
YNWA
Kuu hapo ni ambition na sio ambitious
Hehehe Mac Allister disaster tena
Kwahiyo umemgeuka tena ndugu yako?
Si ni nyie jana na Captain mmenisema humu kuwa mimi hater [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukimsema mnatuona haters[emoji23]
Sisi hatuna wasiwasi na kipaji chake cha kukimbia na bidii ya kusogeza mpira mbele na assist.
Shida inakuja akishapata mpira na yupo golini, anapata kiwewe... Chance kama hizo Salah huwa hafanyi makosa kabisa.
Mnakimbilia kusema ooh ameshascore magoli mengi, angalia records...sawa kascore na Klopp kamsifia...
Lakini sasa anayokosa ni mengi, tena kwa uzembe kabisa,, sehemu ya kupata yeye anakosa na sehemu ya kukosa anapata.
Sasa akiweza kupata sehemu ya kupata ndo tutaongea lugha Moja kwamba ni mwamba.
Ngoja kaka yake aje atoe maelezo juu ya hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Captain Marvelous njoo utupe ufafanuzi wa haya mambo[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha watu washaweka humuπππππππππTap in zinamshinda Nunez, hizo unazoziita ya kupata anakosaβ¦
Suala la muda. Kuna stats na picha yake nimetaka kuleta humu nikajua huyu bibie atafuraaaaaaaaahi sana wacha ikae huko kwanza.
Nunez missed 10 big chances msimu huu wa EPL game week 11. Zingatia big chances
Kwahiyo asiwekwe tena benchi na asizomeweππππSijamgeuka hata kidogo, nipo nae huyu mpka mwisho wa dahari.
Nunez mr bangers tu, tap ins tumuachie Hallaand.
Nunez is the best second striker after Hallaand EPL.
Bobby unaishi kwa Imani sanaWhen Salah or Mane joined non had been near as clinical as they turned hapa Liverpool that why i bank on Khavicha any day of the week as he is fast with acute passee in this case zitue kwa Nunez just like anavyofanya kwa Osimen pale Napoli hivyo kama Klopp ataamue kwenda na dogo basi we are on th same page na kingine just like Salah he has tricks na anajilinda sana kutoumia hovyo hovyo...
To get th3 best of Nunez he is the right candidate, msimu uliopita Serie A Khavicha alipata goli 12 na assist 10 na kadi moja ya njano katika mechi 30 akianza na mechi 4 akitokea benchi
Salah msimu uliopita EPL alipata goli 19 na assist 7 akicheza mechi 34 na moja akitokea benchi huku akipata kadi 2 za njano...
Kwa mbali unaweza kuona japo Salah msimu uliopita timu ulimwangusha kwa kua hatukucheza vyema lakini yeye na Khavicha hawajaachana sana out put with Khavicha still being 22 years bado ana miaka kibao kujiweka sawa.. Salah alijunga Liverpool akiwa na miaka 25 hivyo huyu dogo kwa umri huu bado potential na peak hajaweka kufika elite level kwa kua kipaji kipo he is worth a try, changamoto na ku negotiate na Napoli President Aurelio de Laurentiis yaaani a hard nut kama Kipara wa Spurs.
YNWA
π π π π Wewe dogo una nini lakini, hivi bila imani kweli hata hio mechi ijayo ugenini Toulouse unaweza kutulia LiveScore kufuatilia?Bobby unaishi kwa Imani sana
Kwahiyo, Kwa sababu Salah na Mane walifanya vizuri, unaamini pia atakayembadili Salah atakuwashaz,, tena akiwa bado mgeniπ
Huyu Miss Liverpool wala usihangaike nae sana huyu Nunez atakuja kumzima mazimaaa tu hilo wala sina wasiwasi..Picha watu washaweka humuπππππππππ
Bwana, mjue mie namuonea hurumaπbasi tu
Juzi kamekosa kakagonga kichwa mara mbili, huruma ikaniingiaπ€£
Ninachokiona hapa ni kama Klopp hakua ameweka plan B kabisa ishu ya Fabinho kuodoka yaaani ukitazama ni kama Klopp alikutwa kabisa off guard maana anajua vyema matatizo yetu kule nyuma kuko weak sana hatuna mchezaji pale nyuma ambae anaweza kusema yupo kwenye peak sio TAA (huyu mh failed hybrid MF kwa sasa), VVD, Matip Konate same old same old, Robbo not as good as zamani., angalau with Fabinho kulikua na some sense of compactness lakini sasa ile cover is gone wakati mwingine under presha Konate sana sana ili kumlinda Trent anaishia kula kadi, haya Macca mwenye jukumu la kuwalinda wala hata hana huo uwezo hivyo ukitazama kwa makini utaona matatizo yanaanza tukiwa under presha we blink fast n easily,Nunezi anakitu kipo wazi kabsaaa lakini anatumikaje?
Hivi kwanini tunasajili wachezaji kwa namna walivyo hafu wakija tunawabadiliahia matumizi si wachezaji wote wanapenda hii mjue.
Huyo dogo kaongezewa majukuma na yake hajayamudu bado hivi inawezekanaje acheze nafasi ya Macc hafu akapige krosi?
Tunalaumu wachezaji ila kosa ni la mwalimu kabahatisha hilo kombe naona mumempa bichwa anafanya atakavyo
HII TEAM INATUMIA NGUVU NYINGI MNOO KUSHINDA UFUNDI NI MDOGO SANAAA
NDOMANA TEAM NDOGO ZENYE WALIMU WAZURI ZINA TUSHINDA.
Asenal anafungwa pia ila kimchezo wao wapo juu sana tu.
Ni wazi sisi tuna wachezaji walio Bora zaidi yao
Kimsingi the boys had a bad outing ishu sio mara ya kwanza ugenini kwa hizi timu zinazopanda daraja Klopp hua zinamsubua sana sana, sijui wanadharau kwamba hata wacheze vipi ushindi waja ama namna gani sielewi kwa kweli.πππ
Bwana nimeangalia mechi
Tena naangalia hata mara 3
Ama ndio sijui mpira!
Iweje Trent pekeyake alaumiweπ
π π π π Man the Henderson was pain in the ...s, couldn't even understand ever what he offered kwa Klopp huko mazoezini mpaka the Great Captain Fantastic Mr Gerrard akaona atuokoe aisee...International Break.
Means, activities za club football zinakuwa chache, and you get to be free kidogo kwenye offices za watu, kutumwa tumwa kukusanya datas/profiles kunapungua kidogo, na unapata nafasi ya kujiachia Jamii forums.
Captain, i see you brother, nikadhani umetimkia uarabuni pamoja na Henderson. Good to see you ukiwa in good shape man, was starting to get worried.
Ngwaba & Zumbemkuu, mmejaa humu, muda huu nilikuwa naangalia posts za LFC fans humu, naona mnajinafasi si mchezo, kweli Henderson alikuwa anawapa shida sana.
I love y'all LFC fans kwa hii thread, i love this thread to the fullest, my favorite part ya jamii forums.
#LFC