Ikiwezekana hata january aende tu kwenye timu kubwa ambayo atakuwa na uhakika wa kunyanyua kombe, ni aibu kwa mtu kama yeye aliyecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu kustaafu bila league title hata moja. Kwa Liver hata akae miaka mingine mitano hawezi kubeba. Kama anataka mafanikio ya Fasta aende La liga au BL (Ingawa La Liga na yenyewe kwa sasa haieleweki eleweki) , ila kama nia yake ni pesa nadhani ataenda zake US. Au mwisho wa siku akubali yaishe tu astaafu zake kama Jamie. Kama atabaki EPL mtu wa kwanza kumuulizia SG atakuwa ni Mourinho, jamaa anaoneka huwa anamkubali sana SG. Ila asilogwe kuhamia timu nyingine ya EPL.Bayern Munich na Barca lazima washakaa tayari huko!!!..
Me naona aende huko akapate hata league title aisee!!!...LFC imeshashindikana tayari!
Ikiwezekana hata january aende tu kwenye timu kubwa ambayo atakuwa na uhakika wa kunyanyua kombe, ni aibu kwa mtu kama yeye aliyecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu kustaafu bila league title hata moja. Kwa Liver hata akae miaka mingine mitano hawezi kubeba. Kama anataka mafanikio ya Fasta aende La liga au BL (Ingawa La Liga na yenyewe kwa sasa haieleweki eleweki) , ila kama nia yake ni pesa nadhani ataenda zake US. Au mwisho wa siku akubali yaishe tu astaafu zake kama Jamie. Kama atabaki EPL mtu wa kwanza kumuulizia SG atakuwa ni Mourinho, jamaa anaoneka huwa anamkubali sana SG. Ila asilogwe kuhamia timu nyingine ya EPL.
Kwani club yake imeishasema apewi mkataba mwingine ??
Katumia NENO ' IF' kwenye maelezo yake Tayari mmeishampangia na timu ya kwenda !!!!!people ni hatarii
Maana ya "IF" ni nini? Af soma vizuri hizo posts za juu, kinachozungumziwa hapa ni "possibility" ya timu ambazo anaweza akaenda kama ataondoka Liver na sio kwamba anapangiwa timu ya kucheza.
Maana ya "IF" ni nini? Af soma vizuri hizo posts za juu, kinachozungumziwa hapa ni "possibility" ya timu ambazo anaweza akaenda kama ataondoka Liver na sio kwamba anapangiwa timu ya kucheza.
SG atapewa mkataba mwingine nina uhakika kwa hilo!!Haipo team duniani ambayo ina vijana tu ktk dressing room yake!SG anahitajika mno kuongoza hawa vijana!!SG aondoke kwa sasa replacement yake ni nani?Huyu Emre?
Kama itatangazwa SG huru kuondoka siku hiyo hiyo Man City/Manchester United na Chelsea watamgombania
Game ya mapema leo. Liverpool vs New castle saa 8:45 saa za bongo. Liverpool inaendelea kuwakosa Danny Sturrige, Flanagan, jose Endrique ambao wapo clinic wakiuguza majeraha. New castle wao hawatakuwa na Papis cisse, Check Tiote, na willimson. Game ngumu ila new castle watapata. 2-1
Team gn itamtaka mzee huyo? Ye abaki 2 liver astafu na heshima zake asitake kulazmisha vitu wakati umri ushamkimbia!SG atapewa mkataba mwingine nina uhakika kwa hilo!!Haipo team duniani ambayo ina vijana tu ktk dressing room yake!SG anahitajika mno kuongoza hawa vijana!!SG aondoke kwa sasa replacement yake ni nani?Huyu Emre?
Kama itatangazwa SG huru kuondoka siku hiyo hiyo Man City/Manchester United na Chelsea watamgombania
Team gn itamtaka mzee huyo? Ye abaki 2 liver astafu na heshima zake asitake kulazmisha vitu wakati umri ushamkimbia!
Frank Lampard na SG nani mkubwa?Nani ana uwezo zaidi?
Game ya mapema leo. Liverpool vs New castle saa 8:45 saa za bongo. Liverpool inaendelea kuwakosa Danny Sturrige, Flanagan, jose Endrique ambao wapo clinic wakiuguza majeraha. New castle wao hawatakuwa na Papis cisse, Check Tiote, na willimson. Game ngumu ila new castle watapata. 2-1
huu mziki mtamu sana,lazima mtadance.SG atapewa mkataba mwingine nina uhakika kwa hilo!!Haipo team duniani ambayo ina vijana tu ktk dressing room yake!SG anahitajika mno kuongoza hawa vijana!!SG aondoke kwa sasa replacement yake ni nani?Huyu Emre?
Kama itatangazwa SG huru kuondoka siku hiyo hiyo Man City/Manchester United na Chelsea watamgombania
9:45 i.e 1545 masaa yamebadilika.