Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Kwahiyo umemgeuka tena ndugu yako?Nunez sasa anatuvua nguo mchana kweupeeeeee, ile sio ya kukosa,. Pale hata angesubiri nusu sekunde angeweka tu,.
Nunez kila kitu anakifanya kwa usahihi movements za hatari, ila kupasia net ndio mtihani.
Ki ukweli anapaswa kuanza kuzomewa labda akili itamkaa sawa. Too much sasa.
Ngoja kaka yake aje atoe maelezo juu ya hiliπππππππThat lad sijui nini shida na yeye,. Ki ukweli Salah anakosa sana, wachezaji wote wakubwa wanakosa saana, ila kwa Nunez nafikiri unashindwa kuelewa shida ni nini..!!!
What kinda goal like that in less than six yard you and Net, then you miss.
Nunez what us to use If If If sentences,. Like if he is that much clinical he would have 15 goals by now.
Wajerumani ni miongoni mwa watu wenye misimamo yao na kunga' nga'nia kile wanachokiamini hata kama hawako sahihi ni wabishi sana kubadilika kwa urahisiThe issue with Klopp. He has no ambitious with tittles.
Ujue pep 2nd half angewatukana wachezaji na wangerudi kwa ari, zote. Klopp yeye jamaa ni kubembeleza wachezaji muda wote wakikosea ni kuwakumbatia.
Ajifunze kwa makocha waliofanikiwa ukishaanza kubembeleza mchezaji hakuna kitu utafanya. Mechi imeisha mwamba ana smile as if tumeshinda, wakati wachezaji wanacheza utumbo, MACCA as anchor ni disaster lkn Klopp hupenda kuziishi akili zake hata kama hazimlipi.
Sure shida ya nunez ni utulivu wa akili ile hari yakutaka kuwaprove watu wrong walio kuwa wanamdhihaki ndo ina icost timu anahitaji apate session za tu come down magoli yatakuja natural tu akili inapotuliaNuΓ±ez ni mchezaji mzuri,
Ila anahitaji mwanasaikolojia amtoe wenge ..
Jamaa anapapara sana ..ndio maana magoli ya hapa na hapa na kipa anafumua shuti utafikiri anataka kuuwa kipa..
Mipira mingi inatoka nje ya lango
Just having a bad day on th job that normal miss Liverpool... Nothing else to say..Ngoja kaka yake aje atoe maelezo juu ya hiliπππππππ
Captain Marvelous njoo utupe ufafanuzi wa haya mamboππππ
π π π Leo unaadika insha kabisa nakuona lol.. Lets the boy be mate.Kwahiyo umemgeuka tena ndugu yako?
Si ni nyie jana na Captain mmenisema humu kuwa mimi hater [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukimsema mnatuona haters[emoji23]
Sisi hatuna wasiwasi na kipaji chake cha kukimbia na bidii ya kusogeza mpira mbele na assist.
Shida inakuja akishapata mpira na yupo golini, anapata kiwewe... Chance kama hizo Salah huwa hafanyi makosa kabisa.
Mnakimbilia kusema ooh ameshascore magoli mengi, angalia records...sawa kascore na Klopp kamsifia...
Lakini sasa anayokosa ni mengi, tena kwa uzembe kabisa,, sehemu ya kupata yeye anakosa na sehemu ya kukosa anapata.
Sasa akiweza kupata sehemu ya kupata ndo tutaongea lugha Moja kwamba ni mwamba.
Klopp hua ni hardcore yaaani akiamini jambo basi anatulia hivyo hivyo... Imeshaonekana wazi wazi Macalister ile holding position anapwaya even under minimal presure, kwa mfano jana yule dogo aliefunga goli alikua far kabisa na kwenye 18 yao lakini alitoka mbio akampita Macalister na kwenda kumfunga goli simlaumu sana kwa kua yeye sio DM mzoefu mbali amepachikwa na Klopp...Save hii massage we are going to lose at Etihad stadium.
Why weak defensively issues, both individual and as a team.
Plus hatuna mtu wa kutuliza timu (DM or CAM). Muda wote ni mimbio mbio wakati kuna muda yapaswa kutulia na kulitafuta goli kwa Malengo.
Nunez missed chance another factor itatufungisha Etihad. Moja ya maajabu kwangu msimu huu ni Liverpool kupata point Etihad.
π π π π π π Huyu boy jamaniHuyu Nunez piga bench mpaka akili imkae sawa hatufai huyu [emoji57][emoji57][emoji57]
Saint Anne πππππ naona umeshikilia penyewe...Nunez sasa anatuvua nguo mchana kweupeeeeee, ile sio ya kukosa,. Pale hata angesubiri nusu sekunde angeweka tu,.
Nunez kila kitu anakifanya kwa usahihi movements za hatari, ila kupasia net ndio mtihani.
Ki ukweli anapaswa kuanza kuzomewa labda akili itamkaa sawa. Too much sasa.
Mimi leo siongei lolote
Mimi nipo palee[emoji117][emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo unaadika insha kabisa nakuona lol.. Lets the boy be mate.
2 point dropped that sucks.
Funny though hatushidagi ule uwanja.
We have seen worse than jana.
1 point take not the end of the world but of course utamuona Nunez ndio sababu [emoji848][emoji848]kwa sababu wewe ni wakala wake kumdiss humu yaaani kama nakuona jana ulivyo furahi zile kosa kosa kosa...
We re group again... We go again.. Never give up.
YNWA
Hata mechi sijaicheck[emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo unaadika insha kabisa nakuona lol.. Lets the boy be mate.
2 point dropped that sucks.
Funny though hatushidagi ule uwanja.
We have seen worse than jana.
1 point take not the end of the world but of course utamuona Nunez ndio sababu [emoji848][emoji848]kwa sababu wewe ni wakala wake kumdiss humu yaaani kama nakuona jana ulivyo furahi zile kosa kosa kosa...
We re group again... We go again.. Never give up.
YNWA
Hii timu ukitukana aisee utaishia kufa na presha ndugu cha msingi yapokee kama yalivyo matokeo ikinahatika tupo mbio za ubingwa well fine we go kwa sababu hiki kikosi very rarely hua kina balance... Akiwepo Fabinho tuna MF Henderson, Milner nk haya unamuuza Fabinho injini ya timu unapambana kununua like for like replacement in Andre lakini wauzaji wanasema hawauzi kwa kua wanacheza Coppa L America n by the way wameshinda lile kombe hivyo mahesabu yao yalikua sahihi nwa Klopp na FSG wanaishi kwa ku kopi mambo sana hawaelewi EPL ya leo sio ile ya miaka 5 iliyopita kwa sababu timu sasa zinaweka mzigo kwa wachezaji huku sie tukidemadema kama middle team...The issue with Klopp. He has no ambitious with tittles.
Ujue pep 2nd half angewatukana wachezaji na wangerudi kwa ari, zote. Klopp yeye jamaa ni kubembeleza wachezaji muda wote wakikosea ni kuwakumbatia.
Ajifunze kwa makocha waliofanikiwa ukishaanza kubembeleza mchezaji hakuna kitu utafanya. Mechi imeisha mwamba ana smile as if tumeshinda, wakati wachezaji wanacheza utumbo, MACCA as anchor ni disaster lkn Klopp hupenda kuziishi akili zake hata kama hazimlipi.
Tuliza na wadau wengine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Just having a bad day on th job that normal miss Liverpool... Nothing else to say..
Utulie wewe
YNWA
Kaka mtuuuuuu[emoji108][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu boy jamani
YNWA
π π π π π π Bhana kwamba yeye hanaga good day acha hizo, he missed clear cut chances ipo wazi he ain't a machine he is human ujue..Tuliza na wadau wengine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha bad day wala nini
Dogo miyeyusho
π π π Wewe kumbe kama Chugga man upo LiveScoreHata mechi sijaicheck
Nipo paleee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana kaka mtu ukapotea