Suso, ni moja ya mazao mazuri kutoka kwenye academy kama mnakumbuka huyu dogo alianza kuingia kwenye timu ya wa kubwa muda sawa na sterling ila tangu amekuja BR basi ndo ya dogo pale anfield ni kama ime-vanish vile, mi naona BR anaplan liverpool kuea timu ya england hata teixteira ataondoka bure kama Suso anavyoondoka tuna wachezaji kwenye academy wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi kwa mfano tuna tatina na defensive midfielder ila BR ka muacha Conor Coady aende kwa mkopo kwenye centre back tuna Coates na Ilori(alinunuliwa na BR ila hakupewa mechi hata moja mpaka katolewa kwa mkopo spain he is far better than skrtel kwa wale waliongalia la liga msimu uliyopita wasema) :flame::flame:BR anapenda kusajiri haamini alicho nacho, ona anacho fanya Luiz Enrique na Barca ana nurture talents za La masia kuja kuchukua nafasi za wazee
My man of the Match alikuwa Suso,akifuatiwa na Lallana...huyu Suso ni bonge la mchezaji...BR na roho yake mbaya itabidi ampe mkataba dogo! He is extraordinary! Aione MosDef na pro Suso wote humu!
Mkuu hii habari inanikera sana aisee, why did we buy Him???Hivi kwanza iyo ishu imekamilika kweli, maana nilisikia amefanya makubaliano nyuma ya pazia
Fourth round capital one cup Liverpool vs Swansea
Kwa beki yetu hii tukikumbana na Big Bonny itakua shidaaa lkn nina imani tutashinda!
hahahahahah!!!
Huyo dogo ni bonge ya middle, miaka 17 tu brother!
Ila ni kama wewe kwa JOAO CARLOS TIEXEIRA, yule dogo akija kuuzwa moja kwa moja unaweza ukafa kwa maumivu ya Moyo!!!!
Kwa wale walikua wana wasiwasi kua SUSO......anaweza ondoka Anfield na kujiunga na AC Milan ama any club.....waondoe shaka SUSO is set to sign a new mkataba wa kubaki Liverpool.....
Namnukuu BR.....
Rodgers said Suso is set to sign a new contract at LFC and Sterling could also sign one fairly soon although it's not top priority.
YNWA
JESÚS "suso" anajua sana MPIRA!!!
ila sijui afanye nini ili AmuImpress Manager wetu!!!
Hivi alimkuta au alimnunua yeye? Sifahamu, naomba nifaamishwe.
Wakuu gemu ya leo BR anapaswa kufanya yafuatayo;
1.Jose Enrique anapaswa kucheza maana Moreno needs much time to improve.
2.Nafasi ya beki wa kulia aanze Kolo Toure.
3.Skirtel acheze na Sakho pale kati kati and not Lovren.
3.Na kikosi cha kuanza kiwe hivi Mignolet,Toure,Sakho,Skirtel,Enrique,Gerard,Henderson,Lalana,Baloteli,Sterling,Borini.
Sub; Jones,Manquillo,Moreno,Lovren,Coutinho,Sturidge,Rossiter,Mockovic.
Alimkuta kaka.
Duuu!!!!!!