There's no pace in the team kwa kweli - and that should be our biggest worry.
Ukiachia mechi ya Spurs, nadhani timu nyingi pinzani zimeitafutia dawa ile midfield diamond ambapo Sterling anakaa pale kwenye tip.
Kwa timu hii ya sasa kuwa na pacy player kwenye tip haiwezi kuleta effective results. Inahitajika pia kuwe na marksman ambaye ni more versatile kama alivyokuwa Suarez ambaye alikuwa ana uwezo kui-pull apart opposition defence just by making those ghosting runs without the ball. Suarez hayupo na Balotelli ni (Balotelli).
I don't know. But mimi naona kuendelea kumtumia pacy player kwenye ile tip will no longer work for us. Pace ya mchezo iwe inaanzia nyuma kidogo ya diamond....yaani badala ya kuwa na statically regular diamond iwepo an irregular but dynamic polygon itayomfanya Sterling awe anaanza runs zake deeper kidogo ili kuwa-unsettle holding midfielders na backline ya opposition.
Kingine, BR ajaribu kum-mould na kum-integrate Markovic kama mshambuliaji msumbufu huku akitengeza partnership na Balotelli (au Sturridge atakaporejea). Markovic hana vitu vya Suarez ndiyo, lakini ana certain special dribbling skills ambazo BR akizitumia vizuri impact ya strikeforce itakuwa moto.
It's still early days yes, but plenty to worry about....
YEssssssMimi simlaumu beki yeyote yule,pale hata aje vicent kompany,cahill,hummels etc tutafungwa tuu! Tatizo ni mfumo,na kila siku huwa nasema hapa..defence line yetu haina cover...huo ndo ukweli,weka lovren na hendo pale katikati,gerald weka benchi,beki weka sakho na skirtel..mbele ya lovren na hendo weka allen,lallana,sterling, weka straika mmoja tu pale mbele,either sturidge au baloteli...uone kama tutafungwa kibwege....cc. Janjaweed Pazi MosDef Tores osokonoi Malafyale Mzee Wa Rubisi
Mkuu Gwamahala naona hakuna aliyekujibu kuhusiana na ombi lako la kupata tathmini ya mechi yetu ya jana. Usijisikie vibaya labda kwa kufikiri labda wanaliverpool wenzako tumeku-ignore, hasha! Ingawa timu imeshinda lakini watu wamekuwa disappointed well binafsi sijawa disappointed ila kila muda unavyokwenda naendelea kukubaliana na dhana nilikuwa nayo toka mwanzo kwamba timu yetu is not a finished puzzle yet.
Ngoja nirudi kwenye mechi ya jana.
Wakati wa interview That was before the game Lovren alitaja kwamba kitu muhimu kwa Liverpool ni kufanya vizuri kwenye kundi na kuhakikisha wanashinda mechi ya kwanza (Meaning kuwafunga Ludo). Toka makundi kuwekwa hadharani kumekuwa na nadharia kwamba Ludo is the weakest team in group B. Tulio wengi tumejikuta tukijiaminisha hivyo, even though timu yenyewe hatuifahamu vizuri.
Ukiyasikia maneno ya Lovren wakati wa interview, utapata implication kwamba hata wachezaji walijiaminisha kwamba Ludo ni uchochoro. Matokeo yake ni nini
Liverpool walionekana kucheza kwa papara kila mmoja akiona anaweza kufunga. Utulivu haukuwepo. Ludo walitambua kiwewe cha Liverpool na wakawa wanacheza kwa tahadhari kubwa. Absorbing and break with pace pale ambapo nafasi ilijitokeza
Defence Mo & Ma wametuonyesha how modern fbs should play. And that is why utashangaa kusikia/kuona aliyepiga cros ya goli la kwanza ni Moreno na aliyekosa goli la wazi dk za mwanzo na kusababisha penalt dk za mwisho ni Manquillo. Sijaona makosa mengi kwa Lov ila Sakho bado anajigongagonga
Midfield nafikiri kwa wale waliyokuwa wanamkandia Allen sasa wanaomba apone haraka. Siju ni lipi kati ya haya ni sahihi. Lallana amewahishwa kucheza kabla hajapona vizuri au cout is trying too much to be more than a magician. Hawa madogo walipoteza mipira sana! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiri goli la Ludo ni makosa ya mabeki pekee, sidhani. Baada ya rahem kunyanganya mpira, SG was supposed to close down ili assist isifanyake but he didnt do that. Sakho was out of position and Lovern was far
Forward 433 imeshindwa ku-work out na ninafikiri BR should re-think sababu Mario was isolated kwenye msitu wa mabeki. The good thing ni kwamba work rate yake imeongezeka and time to time you could see him drooping deep to collect the ball. Alipoinga Borini mambo yalibadilika. Mabeki walikuwa wamekariri kumkaba Mario and Fab nearly scored with his first touch. Striker kuwa wawili kulisaidia because now defenders wanapata kazi ya ziada and as result tukapata goli la kuongoza.
Jamani uefa hatuna wasaidizi, wrote wamefanywa.
YWNWA
Chelsea na mbabe wao wa magoli Diego Costa wametoa droo.
Nilisema haya jana mkuu!Liverpool ndiyo team pekee Uingereza kushinda mechi yake ya kwanza!Always mechi ya kwanza CL huwa inatabisha sana hasa kwa team rookies kama YNWA!
Team yetu jana wachezaji 9 walio anza hawajawahi kucheza CL na kama ukichunguza SG na Baloteli tu ndiyo walikuwa wanatumia uzoefu wao na ndiyi walio tupa raha!
Kumuacha SG nje Liverpool hii will be deadly mistake!Chunguzeni
Mkuu morinho ni mjanja sana,aliona mbali maana game inayokuja tunacheza na man city,hata hivo game hatujapoteza,pande zote mbili uefa na league hatujapoteza vipi kidonda cha Aston villa juzi limepona??tena nyumbani
Janjaweed Pale LFC kwa sasa ni wachezaji WAWILI tu wanayoiwezea SANA diamond Formation, Ni RS na DS, ndo maana kwenye Diamond Formation RS huwa anachukua Spot ya PC!!true
Sterling is also more productive akiwa winger... and if he tries to play sterling and moreno kwa mechi kama tatu hivi tutakua na deadly attacking left side, sterling in the middle inawapoteza strikers kwa sababu anataka sana kufunga
Tunachofanya watakuja kuona matokeo yake baada ya kumpiga Man City! Man utd tumemuacha nyuma points 7 Loserfool points 6! Sasa Man city tutamuacha points 8 weekend hii ili tukae vzr kwa EPL!
Janjaweed Pale LFC kwa sasa ni wachezaji WAWILI tu wanayoiwezea SANA diamond Formation, Ni RS na DS, ndo maana kwenye Diamond Formation RS huwa anachukua Spot ya PC!!
Mimi simlaumu beki yeyote yule,pale hata aje vicent kompany,cahill,hummels etc tutafungwa tuu! Tatizo ni mfumo,na kila siku huwa nasema hapa..defence line yetu haina cover...huo ndo ukweli,weka lovren na hendo pale katikati,gerald weka benchi,beki weka sakho na skirtel..mbele ya lovren na hendo weka allen,lallana,sterling, weka straika mmoja tu pale mbele,either sturidge au baloteli...uone kama tutafungwa kibwege....cc. Janjaweed Pazi MosDef Tores osokonoi Malafyale Mzee Wa Rubisi
umeadimika sana hapa ndugu yangu
Npo Brother..mambo yanaingiliana kidogo!!