You can say that again, mkuu.
Unajua kuna hii kitu inaitwa fanatism (unazi). Fanatism haipatani kabisa na self-criticism. Fanatism inajikita zaidi kuendekeza a "feel good" atmosphere hata kama atmosphere iko destined for doom.
Self-criticism is the most important recipe kwa mtu yeyote anayePANGA (siyo anayePENDA) kufanikiwa. Usipofuata falsafa ya self-criticism na ukishindwa unaishia kusema "ah, hata hivyo nimejitahidi" - and this is NOT the LFC way. LFC doesn't belong to the "nearly men" bracket. LFC belongs to "champions" fraternity.
Tunahitaji kuanza tena kuijaza ile trophy cabinet pale Anfield. And for me, Mario is not that missing piece in this 20-odd year puzzle!!
We have a fantastic coach in BR. For me, BR could be the Bob Paisley of this generation, but he shouldn't let himself bullied or pressured to fulfil political agendas.
Ayaaaaa, mboni ni dada yetu ila sitofurahia kabisa Bwashee kuvunjwa miguu na watoto, Bwashee nae aache tamaa, si astaaf???
Mwache bwashee asanye za uzeeni labda anaweza akapata surplus money dada yetu akafunguliwa television station yake.
Hivi dada yetu ni memba humu JF?
On the serious note... am very happy kwa usajili wa bad boy Super Mario Balloteli!
Ulitufunga home and away ukawa wa 3
Ukamfunga Man City home and away ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Man U ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Arsenal lkn ukawa wa 3
Stat hazijawahi kuongopa!Hata mwaka huu utakuwa wa 3
Majogoo yatawika tena****
ntuzu bhana! tumekufanya nini hadi unatabiri mabaya juu yetu! we inabidi ushike nafasi ya david moyes msimu uliopita
Rick Lambaret,
Adam Lallana,
Mario,
Dan Sturridge,
Rahim,
na Eto'o?
kazi mnayo aisee...
cc.Mosdef
Rick Lambaret,
Adam Lallana,
Mario,
Dan Sturridge,
Rahim,
na Eto'o?
kazi mnayo aisee...
cc.Mosdef
Wameuza Suarez sasaiv wanahangaika kununu Strikers!
Kesho ndio kipimo chao! Ntakua ktk huu uzi wao kulisongesha!
Hutaki auzwe. Utashangaa sana mwaka huu kwa kosi lililopo!
Hahahahaaa
Ntashangaa km Mario na yeye ataanza tabia za kuuma watu km za Suarez
Muungwana Mario atacheza kesho? Mimi namkubali sana, hata waingereza wanamkubali make walimpokea kwa shangwe wakati anaingia Meliwood
Mambo yanaenda kasi sana,ila striker wetu yule sturridge nadhani apunguze ubinafsi na kujiangusha hovyo ndani ya boksi ikiwa ni mbinu za kuombea penalt.
Ujio wa MB ni mzuri sana hasa ikizingatiwa kwa kipindi kirefu timu yetu haikusajili mchezaji mwenye jina kubwa. Kuhusu Etoo,yani naomba asisajiliwe kipupwe na kiangazi,masika na vuli...Maana tunakuwa kama tumeishiwa wachezaji wa kusajili bwana.
"Nlikuwepo":bolt:
Hahahahaaa
Ntashangaa km Mario na yeye ataanza tabia za kuuma watu km za Suarez