Heard from reputable sources, kuwa Club didnt want to give Gini & Hendo new contracts, i think Klopp wanted to evolve and re-structure his midfield.
Kwa Case ya Gini, FSG walitumia tricky ya muda, media painted it kama ni money motivated kwa upande wa Gini, but haikuwa hivyo, kama ingekuwa ni money asingekubali pay cut ya kujoin Barca kabla ya PSG kumove-in in last minutes, Gini wanted 3 years + playing time assurance, Club wakabakia kwenye 2 years + punguzo la uwajibikaji na game time, offcourse wages ingeongezeka but sidhan kama ingepita zaidi ya 120k, maana alikuwa on 90k, logically, mchezaji anapokuwa amefika 30, kuna mawili anaweza ku-peak au ku-fall off, na kwa owners kama FSG hawawezi kutake risks kama hizo, offering new contracts & playing time + money kwa wachezaji kuanzia 30 na kuendelea, so staying with Gini for another 3 years was viewed as a bad deal by FSG, kwasababu walikuwa hawataki ku-repeat ile mistake ya milner, Klopp was ok with this, he wanted to move on from Gini too, wanted to move on from our defensive MF setup, but mistake kubwa ambayo Klopp alifanya ni kufikiria kuwa FSG will replace Gini, Klopp really wanted Neuhaus & Bissouma, but at the end FSG lied to him again.
Case ya Hendo ni tofauti, mkataba wa awali wa Hendo ulikuwa unaisha 2023, and FSG didnt want to offer him mkataba mpya, Hendo was looking for a pay-rise baada ya kushinda team trophies & individual awards, its actually normal in football, when negotiation became impossible, Hendo's camp decided to use the media, he's british and loved by scousers & proper reds, him coming out kwenye media kwaajili ya kuinitiate na kuforce FSG hands was a calculated move, Captain ku-beg mkataba na kuonesha kuwa hawi treated vizuri kwenye negotiation ni bad image kwa FSG has kwa loyal fans wao ambao ni scoursers & proper reds (match-goers), always Club huwa inakuwa ngumu ku-run kama owner utapishana na match goers, you see, makelele ya fans kwenye social medias huwa hayashitui wala kusumbua owners because hayana impacts kwenye pockets zao or clubs revenues, but once royal match goers wakiamua ku-riot lazima utakuwa in trouble, and thats why Hendo used that strategy, Hendo got a new deal, which was a selfish move for me, hiki ni kipindi ambacho Klopp & Edwards walikuwa wanahangaika kukusanya funds za transfers, club yetu inaji-run yenyewe thats why FSG huwa wanakuwa makini sana na wage structure yetu, so Hendo pressure forced them to fold, offered hendo a 150k p/w, and we're stuck with him for good, Gini's fault ni kuwa siyo British and Scousers didnt love him like "that", same to other foreigners & black British players like Sterling, Can, Coutinho etc.
Hendo contract was just easy, i dont think he want to be assured kucheza as 8, he just wanted more money, he was just greedy, theres no club in the world wouldve paid henderson 150k p/w, na alikuwa anajua kuwa his career itakuwa haina maana kabisa at 33, ambao mkataba wake wa awali ungekuwa unaisha (2023), so he had to make sure he stays beyond that at LFC, and wanted big money because mkataba ukiisha hatakuwa offered mkataba mwingine tena and he will definately annouce retirement, kwa sifa anazopew Henderson kila siku na proper reds, he priortized his person interests and gains dhidi ya Club.
I think Harvey Elliot is Klopp new RCM, his injury was just unfortunate, unajua FSG kila msimu wanaharibu plans za Klopp, kila siku tunablame injuries (mostly Keita & Thiago), but kwa case ya Thiago, wakati yuko Bayern hukuona fans wao wakilalamika kuhusu his injuries because walikuwa na quality depth kwenye squad, lakini kila Thiago akiwa fit alikuwa anacheza because analeta new dimension kwenye team, sasa hata sisi tungekuwa na good depth, Thiago angekuwa ni very good option kwaajili ya games kubwa na plan B, sasa hatuna, ndiyo maana tunahangaika nae kila siku, partnership ya Thiago+Fab haijapoteza game hata moja kwasababu wote wanacheza mpira kwa akili sana, sasa kama tungekuwa na depth nzuri, tungekuwa tunamtumia Thiago kwenye big games na kwenye tricky away games aki-sit na Fabinho, but Klopp hana option now, because our depth kwenye MF ni laughable, actually huwa inaonekana ni depth kubwa on paper (Fabinho, Thiago, Keita, Henderson, Harvey, Ox, Milner), on paper thats a complete MF, combined with talent, agility and experience, but fitness ndiyo inayofanya MF base yote ionekane kichekesho, hii yote ni FSG, one fit midfielder na tusingekuwa tunaongelea sana hii ishu ya MF, Neuhaus & Bissouma were both quoted at 40m, its just so stupid kuona team iliyoshinda big trophies 2 years ago, inashindwa ku-afford midtable midfielders, Niguez amefail at Chelsea because of playing time, but angesaidia sana at LFC (sana), but FSG refused to pay his wages, he's just a surplus at chelsea now, can you believe it? Niguez is just a surplus at Chelsea, but Klopp is still going toe to toe with these teams with Ox & Jones as his options kwenye our MF.