the Magificent na Tores mnakumbuka 2010 tulivyokuwa tunakaribia kumsign Charton Cole kutoka westham??..
Leo tumeManage kupull out a BIG NAME, lakin people are still HATING!!
Angalia mauzo ya Jezi sasa *itakuwa balaa*..watu wapo kibiashara zaidi and its like the old times, macho na medias zote worldwide yatakuwa kwa LFC..
afu nimeona sehem hapa kuna watu wanasema MB ataharibu tabia ya RS, hawajui ni kwanini BR kuna kipind mwanzon mwa msim kabisa wa 2013/2014 na mwishoni mwa msimu wa 2012/2013 BR alimdrop RS kwenye kikosi..au labda hawajawahi kuangalia ile Short lived documentary ya *Being Liverpool*
Mkuu MosDef....tatizo kubwa hapa watu wengi hua wanapoteza kumbukumbu au la wanafanya makusudi tu......Hawajui kua Usajili wa Mario ni muhimu sana hasa kiuchumi kwa LFC, kama ulivyosema MosDef kua jezi zitauzika sana na vilevile Super Mario atakua anattract wacheza wazuri kuja LFC ilo halina ubishi.
Huwezi sema kua eti Mario atamuaribu DS....kwanza kwa lipi.....maana kama kumuaribu angemuaribu tangu walipokua wote Man City......
Na kwa taarifa yao tu Ayre ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Liverpool alikutana na wakala wa Balotelli ndugu Mino Raiola leo asubui. Basi wakawa wanazungumza kuhusu tabia ya Mario.Liverpool wakaomba kuwe na kipengele cha nidhamu ili kuidhibiti tabia ya Balotelli.
Na kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu Super Mario KAKUBALI KUSAINI KIPENGELE CHA HATUA ZA KINIDHAMU KUHAMIA LIVERPOOL.
Ngoja niwahi kuangalia press conference ya BR sasa hivi.
YNWA
Jamaa wanamkandia bwashee wetu asipige hela
kuna sehemu yoyote nimesema simpendi baloteli? liverpool msimu huu tunaenda kutafuta ubingwa na si kushiriki ucl ingekuwa tunatafuta nafasi ucl baloteli anafit but kwa ubingwa tunahitaji mtu mwenye kasi zaidi ya baloteliAmong the talented players, Super yumo jaribu kuangalia you tube ndo ujue kuwa jamaa ni mzuri. After all hawezi pendwa na watu wote na wewe ungana na wasiompenda
Mario Baloteli is finally having medical at LFC.
kuna sehemu yoyote nimesema simpendi baloteli? liverpool msimu huu tunaenda kutafuta ubingwa na si kushiriki ucl ingekuwa tunatafuta nafasi ucl baloteli anafit but kwa ubingwa tunahitaji mtu mwenye kasi zaidi ya baloteli
Wakuu,amini msiamini Eto'o anafanyiwa medical leo tyr kusajiliwa LFC.
Wakuu,amini msiamini Eto'o anafanyiwa medical leo tyr kusajiliwa LFC.
Bad boy MB tayari?
kuna sehemu yoyote nimesema simpendi baloteli? liverpool msimu huu tunaenda kutafuta ubingwa na si kushiriki ucl ingekuwa tunatafuta nafasi ucl baloteli anafit but kwa ubingwa tunahitaji mtu mwenye kasi zaidi ya baloteli
Wakuu,amini msiamini Eto'o anafanyiwa medical leo tyr kusajiliwa LFC.
Etoo hajafanyiwa MEDICAL yoyote ile LEO..