Happy birthday glen
Hivi mashabiki wa Chelsea wanawazimu,vinywani mwao bado wanakumbuku kuteleza kwa SG,kwa Kuimba maaan yake nini???? Nafikiri ni kumuongezea hasira mechi hijayo Liver vs Manc
Wazungu, mechi ya usikuMashabiki wa bongo au wazungu?
Wazungu, mechi ya usiku
Ndo raha ya mpira; sisi jumamosi tunafikisha pointi 6 kazi kwenu jumatatu vs Man City..
ligi imeanza vizuri; jana ilikuwa safi sana...
Nawasalimu watani hamjambo?:A S-eek:
Waswahili wanasema mwanzo mgumu..!
Msimu uliyopita Liverpool walifanya vizuri na mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe…kuna wanafiki na wanachongoja wao ni Liverpool wafanye vibaya ili waje na hoja kwamba msimu uliopita ulikuwa ni fluke. Na kwamba bila Lui, Liverpool si chochote si lolote. Hao watu hawanisumbui sana…( Tatizo ni kwa wachezaji) .To prove kwamba haikuwa bahati, wachezaji wanajitahidi kulionyesha hilo uwanjani and at times wanajikuta wana over do by rushing into wrong decisions. Pressure kwa wachezaji wetu ni kubwa ukilinganisha na msimu uliyopita. Kundi lingine linahusiana na tactical side. Following what happened on last season, timu nyingi kwasasa will do a lot of home work on how to deal with Liverpool than Manuer. "We saw what wanyama did"
Hivi mashabiki wa Chelsea wanawazimu,vinywani mwao bado wanakumbuku kuteleza kwa SG,kwa Kuimba maaan yake nini???? Nafikiri ni kumuongezea hasira mechi hijayo Liver vs Manc
Kumbuka pia pundits wanaitaja mechi ya Man City na LFC kama NDIYO MECHI YA KWANZA YA EPL msimu huu!Sasa unamfunga Burnley unahesabu kama umecheza ligi?Burnley siyo kigezo bado!
Man City na LFC ndiyo game ya KWANZA ya EPL msimu huu
i dnt care..we i care is 3 points towards the :first:
hata nyie mlishinda mechi yenu na Southampton, nilikuja hapa hapa jamvini nikawapongezeni au vipi watani?
Chelsea na Liverpool cyo watani mkuu.
Watani wa Chelsea ni Spurs na Arsenal!!!
Mkuu, wanyama alifanya nini?
ok; adui zetu eeh?:wacko:
The greatest football rivarly in England is Manchester United Vs Liverpool Fc.
Na hawa ndo mahasimu wa pili kwa ukubwa duniani.
Namba moja ni Barcelona vs Real Madrid,tatu ni Inter vs AC Milan.
The greatest football rivarly in England is Manchester United Vs Liverpool Fc.
Na hawa ndo mahasimu wa pili kwa ukubwa duniani.
Namba moja ni Barcelona vs Real Madrid,tatu ni Inter vs AC Milan.
Kabisa mkuu ukibishana na chizi na wewe utaonekana chizi alafu mkaja kubebwa wote mpelekwe hospitali ya uchizi, Kama Janjaweed alivyosema lazima tuzoee kuhusu SG kuimbwa naye ni Mwanaume amenyanyuka ameendelea na anaendelea na football na kuendelea na game sio wa Kwanza kuteleza uwanjani na hatokuwa wa mwisho.Achana nae huyo jamaa,unapoteza muda wako bure.