Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
30 years loading ...
Yaani msimu ukianza hamjasajili kudadekii mtajuta kuingia uwanjan ..
Mtakula vipigoo mpaka mchakaeee ..
Vvd ,Gomez ,matip ....
Ndio mnategemea kama sajili mpyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi namlaumu zaidi kocha anawekewa mazingila magumu hafu anauza kina Philpsi atuletee kina Davees.New Signing this season:
1) Kelleher
2) Alisson
3) Van Dijk
Hapa FSG lazima wamwambie Klopp atangaze kuwa we've three New Signings 💪 all task to convince them done by Edwards! He is a Genius.
Mpaka hapo biashara imeisha si munakumbuka New Signings za Lallana, Gomez na OX? Hatimae msimu mzima hakuna aliyetimiza mechi 5.
Mnamuanderrate sana, ni midfielder mzuri Sana,mfuatilie utajua ni kwanini Klopp anamkubali.Mkuu iwe sio kweli aisee maana yule dogo wa kawaida sana. Ile gemu yao na Uingereza Euro waliikamia sana kiasi sasa anaonekana anatufaa. Bora wangesema hata Grealish [emoji23][emoji23]kwa hio£100m [emoji849][emoji849].
Wapo MF with technical gift na kwa bei powa kabisa zaidi ya huyu dogo. Pellegrini anadai anataka abakie pale kama De Rossi au Francesco Totti na awe club legend.
YNWA
Mnamuanderrate sana, ni midfielder mzuri Sana,mfuatilie utajua ni kwanini Klopp anamkubali.
Gossip Mill.
Liverpool have reportedly begun talks with PSV star and former Arsenal youngster Donyell Malen.
YNWA
Jones, Thiago.Wakuu habari, kwema ndugu?
Hivi kwa sasa atakayeziba pengo la gini ni nani?
Mkuu in Klopp i trust.Sasa huyu dogo si Bora Jesus?
Gini yule anayesapoti ushoga[emoji15][emoji15][emoji15]Wakuu habari, kwema ndugu?
Hivi kwa sasa atakayeziba pengo la gini ni nani?
Si nimeona mko linked na Kingsley ComanYani kila nikipitia page ya Fabrizio Romano nikimkuta kaandika kuwa Liverpool mpaka sasa haijafanya Contact na Mchezaji yoyote yule basi naamua nitulie tu.