Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,921
Now we tie Salah in long term deal.A good kid Cao
Mkuu iwe sio kweli aisee maana yule dogo wa kawaida sana. Ile gemu yao na Uingereza Euro waliikamia sana kiasi sasa anaonekana anatufaa. Bora wangesema hata Grealish 😂😂kwa hio£100m 🙄🙄.
Wapo MF with technical gift na kwa bei powa kabisa zaidi ya huyu dogo. Pellegrini anadai anataka abakie pale kama De Rossi au Francesco Totti na awe club legend.
YNWA
Now we tie Salah in long term deal.
We tie Alisson long term deal
We tie Fabinho long term deal
We tie VVD long term deal.
We are sorted and next waingie mazima sokoni kuleta new additions.
Imenitisha eti kama Origi, Shaqir etc bei zitakua chini ya value yao basi watabakia Anfield 🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿damn this is bad. We need to save the payroll kwa ajili ya wachezaji wapya.
YNWA
Jesus wakati tayari ana Diogo jota, hiyo bill ya mshahara ya Jesus itatoka wapi?Shaqir kama value haijapanda licha ya ku shine na hii Euro ..itapanda Lin?
Origi tumuachie hata bure...
Why Klop hamuoni Gabriel Jesus??Kwa 50 naona ni very very cheap
Mkuu £50 kwa jesus ni watakuwa wametupora aise.Shaqir kama value haijapanda licha ya ku shine na hii Euro ..itapanda Lin?
Origi tumuachie hata bure...
Why Klop hamuoni Gabriel Jesus??Kwa 50 naona ni very very cheap
Mkuu £50 kwa jesus ni watakuwa wametupora aise.
Jesus used to have moods and attitude issue but under Pep he has matured well enough.Shaqir kama value haijapanda licha ya ku shine na hii Euro ..itapanda Lin?
Origi tumuachie hata bure...
Why Klop hamuoni Gabriel Jesus??Kwa 50 naona ni very very cheap
Yaaani hawa Great Britain hua shinda sana aisee wakianza kutoa promo inakua promo kweli kweli.Kwa sababu alimdhibiti Modric wanasema..ndo wameanza kumjaza misifa
Mkuu mbona unakata tamaa mapema hivi?Hii Timu naona kabisa inarudishwa tulikotoka! Mimi namuamini Gattuso tu walipomzingua kwenye Usajili ndani ya Wiki 2 alizoajiriwa kuamua kuachana na Timu! Hataki ujinga. Sasa sijui KLOPP ana njaa ya nini kuharibiwa CV na Heshima yake aliyotumia Nguvu kubwa kujijengea.
Unadhani na msimu huu akiishia kutoka bilabila huku akiitafuta Top Four kwa Tochi waliomuheshimu watamuelewa!!!! Yani atajiharibia CV yake jumlajumla na kuonekana kocha wa kawaida.
Hii Timu naona kabisa inarudishwa tulikotoka! Mimi namuamini Gattuso tu walipomzingua kwenye Usajili ndani ya Wiki 2 alizoajiriwa kuamua kuachana na Timu! Hataki ujinga. Sasa sijui KLOPP ana njaa ya nini kuharibiwa CV na Heshima yake aliyotumia Nguvu kubwa kujijengea.
Unadhani na msimu huu akiishia kutoka bilabila huku akiitafuta Top Four kwa Tochi waliomuheshimu watamuelewa!!!! Yani atajiharibia CV yake jumlajumla na kuonekana kocha wa kawaida.