Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 449
Ni mchezaji mzuri msimu uliopita aliifungia florence magoli 16 ktk mechi 21 alizocheza.hofu yangu ni kua jamaa hua anasumbuliwa na majeruhi ya goti mara kwa mara.bado hawezi kuziba pengo la suarez.
Sasa kama hii forum ni ya liverpool Fan nyie wengine wafanya nini humu.. tuacheni na team yetu...
Time will tell who a true fan and what is the best team..
Tunaangalia mbele sisi
Biashara ya akina mbu tuachane nayo,Kitu kingine hiki
True mkuu hata Mie sioni sababu ya kumpigia Kelele Mbu watu wameongea naye kistaarabu ila yeye kaamuwa aendelee Kuwa Sap Blatter au Captain wa LFC kwa mapenzi yake! Tuacheni kulalamika muhimu mnaweza hapa kuandika mengine basi Inatosha hata isingekuwepo hii alioanzisha au thred yoyote kuhusu LFC si mwisho wa Dunia, kuna sehemu kibao za kuandika zaidi ya hapo bado namuwekea heshima Kama Mbu! Endelea na kazi nzuri mkuu mapenzi yako ni ya kweli.
Kijana akiwasili kukamilisha vipimo
Melwood
Tehtehteh Banter! Subiri Pedophile Wenger aanze kusikia baridi na Kanzu yake ya zipu tulipiga mabao bila #dracula half ya kwanza Mbu ulikosa kidonda cha kutua siku ile Anfield!.......#SamuelEto 'o!....
dahhh, mnakaribia kumsajili huyu Veteran aisee,
hongereni, kwa kiwango fulani atawasaidia kuziba pengo la [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=dracula]#dracula [/URL] .
Kijana akiwasili kukamilisha vipimo
Melwood
Siku hizi hakuna siri ndomana hata Usajili unakuwa mgumu jamaa anapiga picha chini ya muembe! Watu washamfotoa na Camera phone!Hizi zimepigwa leo, yupo Melwood, anapigwa picha za kuandaliwa katika kutambulishwa zile..
Waza wakina mbu watu wanawaza maendeleo tunajikwamuaje hapa tulipo
Tehtehteh Banter! Subiri Pedophile Wenger aanze kusikia baridi na Kanzu yake ya zipu tulipiga mabao bila #dracula half ya kwanza Mbu ulikosa kidonda cha kutua siku ile Anfield!.
Siku hizi hakuna siri ndomana hata Usajili unakuwa mgumu jamaa anapiga picha chini ya muembe! Watu washamfotoa na Camera phone!
Appeal ya Suarez CAS imesomwa leo, jamaa ameruhusiwa kufanya mazoezi na wenzake na kushiriki kwenye shughuli zote za club isipokuwa kushiriki kwenye official matches tu.
Barcelona and FIFA planned it All!!!!
Kwa nini unasema ilikuwa planned?
Lallana amaeaza training leo...
Dont you know that FIFA is lead by Blatter and Blatter has a passion to Barca?
Aaaah! Kwa hiyo angebaki Liva adhabu isinge punguzwa?.