Agger amedondosha machozi akimuomba BR kuondoka LFC kwenda sehemu yeyote atakayopata chance ya first team football,hayo yalitokea wakiwa US ndani ya dressing room,ambapo inasemekana wachezaji wenzie walifanya kazi ya ziada kumliwaza Agger,ambaye alikuwa na emotions sana,ktk mazungumzo hayo na BR ana kwa ana mbele ya wachezaji wote na benchi la ufundi. Hbr hii imeripotiwa na gazeti la The Mirror,siiamini,japokuwa inawezekana kbs ikawa ya kweli kutokana na situation ilivyo sasa,however it is,wherever he'll go,Agger will never walk alone,he'll always be in my heart!
BR ana ego sana!!Agger ni beki bora kuliko wote waliopo Liverpool lkn hampendi bila sababu za msingi!Games alizocheza Agger na mmoja wao ama Skrtel au Sakho alilinda sana clean sheet lkn huyu Skrtel katufungisha mechi nyingi mno kama vile Swansea alitufungisha bao zote 3 lkn yy ndiyo anampenda sana!
Agger is best na akibaki EPL atamtia sana aibu BR
Agger amedondosha machozi akimuomba BR kuondoka LFC kwenda sehemu yeyote atakayopata chance ya first team football,hayo yalitokea wakiwa US ndani ya dressing room,ambapo inasemekana wachezaji wenzie walifanya kazi ya ziada kumliwaza Agger,ambaye alikuwa na emotions sana,ktk mazungumzo hayo na BR ana kwa ana mbele ya wachezaji wote na benchi la ufundi. Hbr hii imeripotiwa na gazeti la The Mirror,siiamini,japokuwa inawezekana kbs ikawa ya kweli kutokana na situation ilivyo sasa,however it is,wherever he'll go,Agger will never walk alone,he'll always be in my heart!
Ila tuache mambo ya trash talk au sio trash talk Rogers anaanza Kuwa Egos tena ile ya ki evil wachezaji wengine anavyowafanyia sio vizuri yote kutaka kuonyesha yeye ndio Boss shaurizake Kama hataki mtu amuite ofisini wamalizane atafutiwe timu! Nje ya Rogers nasikia baaazi ya magazeti ya ujerumani yanasema Reus to Arsenal deal linaweza Kuwa soon na pia France kuna Tetesi LFC wapo mazungumzo na Monaco na Falcao.
Naona Conor Coady anaondoka pia...
I am actually happy for the kiddo.
Uamuzi alioufanya ni sahihi, ukiangalia nafasi anayocheza jinsi ilivyo na watu wengi kwa sasa, asingeweza kupenyeza.
Kila la kheri!
Believe me or Not BR cyo kocha mzuri kabisa na Liverpool fc inatakiwa itafute mwalimu Mwingine maana anasajili wachezaji ambao hawezi kuwatumia.
Look here;
Lius Alberto,Iago Aspas,Thiago Illori,Victor Mosses,Fabio Borini
Sasa kwa usajili wa mwaka huu ndo vituko maana idadi ya mabeki ni kubwa na sielewi anatumia vipi.
Yaani timu ina wafuatao;
Kelly,Flanagan,Skirtel,Johnson,Agger,Lovren,Toure,Coates,Manquillo,Moreno na Enrique.
Wachezaji 10 katika nafasi 4.
Huyu jamaa kimeo sana.
Ila tuache mambo ya trash talk au sio trash talk Rogers anaanza Kuwa Egos tena ile ya ki evil wachezaji wengine anavyowafanyia sio vizuri yote kutaka kuonyesha yeye ndio Boss shaurizake Kama hataki mtu amuite ofisini wamalizane atafutiwe timu! Nje ya Rogers nasikia baaazi ya magazeti ya ujerumani yanasema Reus to Arsenal deal linaweza Kuwa soon na pia France kuna Tetesi LFC wapo mazungumzo na Monaco na Falcao.
Daaah mkuu umekuwa too harsh kwa BR hivi bila BR now tungekuwa tunazungumzia nini?
Mkuu soka la sasa defense nzuri zaid kuliko better striker, msimu uliopita tume-score more goal na tumefungwa more goal inaonesha kiasi kikubwa timu haiku-balance ndo maana nahisi ni sahihi kwa anachofanya BR
Me siamini kama striker wet watashindwa kufunga magoli its better kwa percent zote kushinda 1-0 than 6-4
Let us still believe in him tukumbuke now tupo uefa pia
Believe me or Not BR cyo kocha mzuri kabisa na Liverpool fc inatakiwa itafute mwalimu Mwingine maana anasajili wachezaji ambao hawezi kuwatumia.
Look here;
Lius Alberto,Iago Aspas,Thiago Illori,Victor Mosses,Fabio Borini
Sasa kwa usajili wa mwaka huu ndo vituko maana idadi ya mabeki ni kubwa na sielewi anatumia vipi.
Yaani timu ina wafuatao;
Kelly,Flanagan,Skirtel,Johnson,Agger,Lovren,Toure,Coates,Manquillo,Moreno na Enrique.
Wachezaji 10 katika nafasi 4.
Huyu jamaa kimeo sana.
Ishu ya Falcao kuja Liverpool ikoje?.....kuna ukweli?