Wapenzi wa mpira bana. Sometimes wanakuwa vigumu kuwa rational, fikiria kama Liverpool wangemsajili wakati wanajua kuwa kafail second medical test then kesho au keshokutwa Remy akaanguka mpirani na kukimbizwa hospitalini ikagundulika chanzo ni moyo, Je mngeilewa na kuwaelewa Liverpool na viongozi wake? Moyo ni kiungo(organ) iliyo delicate wakuu, msilaumu sana. isitoshe jamaa ana historia ya tatizo hilo na mara nyingi historia huwa inajirudia(hasa katika Afya ya binadamu). Mnakumbuka kuna Mcameroon na Mspaniard walifia uwanjani kwa sababu ya ugonjwa wa Moyo? Hii kitu sio ya kuchukulia lelemama hata kidogo. Afu issue ya Remy ni tofauti na ya Kanu ambaye pamoja na kufanyiwa operesheni ya Moyo, kama sikosei hakufail medical test alipohamia Arsenal, Portsmouth, etc. Kama Remy angefail kitu kingine labda angepewa nafasi, nakumbuka Ruud van Nistelrooy naye alifail test ya goti lakini SAF alimpa nafasi
LFC hawajaconfirm kuwa tatizo ni MOYO..habari za ndani zinasema ni knee problem.
LFC wame issue statement kuwa tu, remy kafail medical, hawajatoa sababu.
Speculations za MOYO zimekuja baada ya record yake ya kufail marseille.
Navyosikia mitandaoni jamaa alipaishwa Marekani wiki iliyopita kuungana na jopo la madaktari wa Liverpool na independent, hii inaonyesha kuwa Liverpool nao walikuwa na wasiwasi na afya yake. Inaonekana the second opinion(mwanzoni media zilisema alipasi medical ya kwanza) nchini Marekani ndo iliyowafanya Liverpool kughairi. Kama ingekuwa goti nadhani wangempa nafasi, magoti huwa yanapona tatizo yanachukuwa muda sana. Kama nilivyosema Van Nistelrooy naye alikuwa na matatizo ya goti, nadhani Demba Ba kabla ya West Ham au Newcastle alikuwa na tatizo hilo hilo lakini linapokuja swala la moyo ni kuchezea shilingi choo cha shimo
mkuu rubaman, ni wazi kabisa kuwa LFC walikuwa wanalijua tatizo la Remy..sasa kwanini walibid na kukubaliana terms na qpr??
kwanini walikubaliana mpaka personal terms na jamaa, kama tu walikuwa wanaelewa Afya ya Remy..
Na cha kuchekesha zaidi, LFC wanaleakisha upuuzi mwengine kwa based LFC journos kuwa, Eti walikuwa wamemuandalia Remy, Jezi namba 7 aliyokuwa anavaa Suarez...
Ili iweje sasa??..wanampoza au???
Uongozi wa Liverpool chini ya Ayre haupo organized kama huu wa SIMBA ya bongo huku..
bado kidogo wanatoa game inaanza saa sabaNani amekiona kikosi cha leo wakuu????
Gemu ni saa saba za usiku mkuu.
Huyu si kiungo jamani??????
Mbona viungo tunao wengi mpaka sasa?????
bado kidogo wanatoa game inaanza saa saba
Hahahahah!!!!!
AYREEEEEEEEEEE!
Annoucement ya mchezaji kusajiliwa inatangazwa saa nne usiku SUNDAY!!!
Really?????
TANGU LINI LIVERPOOL WAMEFANYA HICHO KITU?????
#thinkBIG
Duh! We jamaa nae umezidi manung'uniko aisee,kwani hata muda wa kutangaza mchezaji ni ishu kweli?
utajaribu hapa kama una tumia laptop Olympiacos - Liverpoolchanel gan inaonyesha kwenye dstv wakuu? Naona kama supersport zote hapa hazioneshi hii game yetu
LFC knew about Remy medical problems kabla hata hawajamsajili.
LFC journos and skysports reported he passed the medicals.
Sunderland came with a huge bid for borini.
then Borini doesnt want to leave LFC and BR is backing that.
#DotheMaths .