Tuwe wavumilivu....
Liverpool wanajua udhaifu. Hata. MARCO Rojo siyo mbaya... ILA MORENO YUKO VYEMA...
Bye bye liverpool,msimu uliopita mlikuja top 4 kupasha kijiwe,sahauni msimu huu
Manure!
bora isiwe official na awe mtu wa LFC siku hizi kuna watu si LFC na wanaaondika matusi ili waonekane mtu wa LFC kuna gazeti nimeisoma kijana amekamatwa mitaa ya England North kaandika matusi ya ubaguzi na page zake za Twitter kaweka LFC Police walivyoweka kupata kwake wamekuta kijana ni mdogo na chumba chake kimejaa bendera za Newcastle kuulizwa Kama angalau timu yake ya pili ni LFc Kasema hapana na anaomba msamaha hatorudia Hiyo tabia so nyuma ya pazia umfikiriae anaweza Kuwa sie au ndie pia nyengine mtu katumia Arsenal kuandika ujinga watu wamestukia hata si mshabiki wa Arsenal vijana wanaikosa kazi za kufanya ndomana England inakosa watoto wanaojuwa mpira.Oya,ni official FB page ya Coutinho kweli? Make kuna mashabiki wengine wa LFC wanatumia majina ya wachezaji wa LFC kwenye FB. Nina uhakika asilimia mia moja,hiyo sio official page ya Coutinho,after all Coutinho ni professional footballer,hawezi kuandika jambo kama hilo hata kama ingekuwa ni kweli next week Reus anakuja.
Hao bi wa kupotezea tu.... Yao namba SabaManure!
Lovren anatarajia kujiunga na LFC within the next 48 hours maana Southampton wamekubali kumuuza kwa 20M.
Mkuu,source?
Gazeti la MIRROR limeandika.Na tayari Southampton wamepeleka dau kwa VLAA wa Aston Villa ili kumliplace Lovren.
Aidha kwenye official website ya Southampton Koeman amecomfirm kuhusu hilo.
i think there are too many fullback around to dwell too much on MorenoHapa bado Moreno tu ndo anatuumiza vichwa!!!
Gazeti la MIRROR limeandika.Na tayari Southampton wamepeleka dau kwa VLAA wa Aston Villa ili kumliplace Lovren.
Aidha kwenye official website ya Southampton Koeman amecomfirm kuhusu hilo.
Hapa bado Moreno tu ndo anatuumiza vichwa!!!
Habari njema hii na huo ndiyo utakuwa usajili wetu wa season!Skrtel anaweza enda Napoli sasa au?
Kuna habari zinasema ni 20euro na si Pounds so ni 15m pounds ndio imekubaliwa kwa Lovren ila mwanzo walitaka 20m pounds Sema Lovren alishawakasirikia, LFC nao wasitoe watu kwa mkopo bora wauze tu Lucas Pengine Loan Huyu skertel Kama hawamtaki naye wauze Kama Loan bora akae bench atasaidia wengi tunamkosoa Skatel mbona hatumsifii magoli yake pia? Na tukumbuke zaidi ya makosa pia ameokowa nyingi sana Skertel kiumbe Jana nimetizama seattle beki wao wakulia Mzuri na cheap LFC wamchukue ili GJ aanze bench GJ ajirekebishe kwenye kukaba ila kwenda Mbele katulia. Skertel Ana magoli kuliko striker za watu wengi msimu uliopita atatulia tu beki akiona kina Lovren.Habari njema hii na huo ndiyo utakuwa usajili wetu wa season!Skrtel anaweza enda Napoli sasa au?
Habari njema hii na huo ndiyo utakuwa usajili wetu wa season!Skrtel anaweza enda Napoli sasa au?
Kuna habari zinasema ni 20euro na si Pounds so ni 15m pounds ndio imekubaliwa kwa Lovren ila mwanzo walitaka 20m pounds Sema Lovren alishawakasirikia,...