I wouldnt mind agger stay, he is my favourite defender but Suso has no chance in the modern liverpool kabisa... he is slow na anaremba bila nguvu.... he is a slow motion version of coutinho and you dont need two...
as good as he is, he cant fit into liverpool team
GJ can be sold hata kama ana mkataba
I would want liverpool to stop these loans for senior players and dispose them, sometimes they distabilize the dressing room tu
anyway those are my views
usimjudge SUSO kulingana na hizi friendly kaka..Aspas was most impressed player kwenye pre-season za last summer..and Sterling alipotea kabisa!!!
After all, ukiachana na kina peterson na Ibe pamoja na sterwat na coutinho, sidhan kama kuna mchezaji aliecheza vizuri kwenye ile game!!!
Suso ni fundi sana!!!
Na tunamuhitaj sahiv, we got EPL, UCL, FA and Captal one!!!
we have to sell Glen, Lucas, Reina, Suso, na Agger/Skertel.. and Toure maybe heading to Turkey
Glen auzwe?No way mkuu!Huyu ni mmoja wa mabeki bora duniani kwa nafasi ya pembeni!
Ukitangaza leo kama Glen yupo sokoni nakuhakikishia Arsenal;Man City na Man U watapigana kumsajili!
Ni kweli alikuwa out of shape mwishoni mwa msimu lkn ni jambo la kawaida hilo kwa mchezaji!
WC hii kaonyesha kiwango chake na naamini atatusaidia sana mwaka huu
we have to sell Glen, Lucas, Reina, Suso, na Agger/Skertel.. and Toure maybe heading to Turkey
Suso ulichoona kwake na Mie nafikiri nimeona anafinya moja mbili ya tatu anaukanyaga mpira Sekunde 15 mpaka hapo watamvunja yeye na mpira dogo Mzuri ila hakokoti kwenda Mbele mpira wake sio wa LFC bora atafute timu kuliko kujiharibia bench yeye muda wake wa mafunzo ushaisha, LFC haina muda mwengine wa kumpa elimu ni kutenda Kama Raheem mtizame Jordan Ibe dogo anajikamua sababu anajuwa muda wa elimu kwake utaisha kulelewa basi Mie bora Texeira dogo atakuwa na muelekeo baadae mwanafunzi bado ila Suso atafute timu asije kuja kulalamika.mkuu, Suso reminds me of Luis garcia... i love him and i have even followed him in Spain, tatizo ni namna anavyocheza na people around him, he kills the move kwasababu ya chenga nyingi other players hawajui wamove au wabaki wasubiri pasi
and he cant change it... in UK anaweza kucheza vile labda arsena, he fits better in spain or portugal
it is unfortunate for him... Ibe sterling, cou, danny, lallana, etc have some instinct when moving together...
Fabrizio Romano wa Sky Italian Kasema Remy to Liverpoolfc ni Done Deal, Week ijayo ndio Ana sign na LFC.
Suso ulichoona kwake na Mie nafikiri nimeona anafinya moja mbili ya tatu anaukanyaga mpira Sekunde 15 mpaka hapo watamvunja yeye na mpira dogo Mzuri ila hakokoti kwenda Mbele mpira wake sio wa LFC bora atafute timu kuliko kujiharibia bench yeye muda wake wa mafunzo ushaisha, LFC haina muda mwengine wa kumpa elimu ni kutenda Kama Raheem mtizame Jordan Ibe dogo anajikamua sababu anajuwa muda wa elimu kwake utaisha kulelewa basi Mie bora Texeira dogo atakuwa na muelekeo baadae mwanafunzi bado ila Suso atafute timu asije kuja kulalamika.
lucas should be sold ila wanunuzi wanogopa jamaa anaumia umia, labda wamtwae kwa mkopoMdau vyanzo vyako vya habari hahahahaha
Msimu ujao kazi ipo Skrtel na Lucas hawauzwi
Kweli Bony ni mzuri kumshinda Benzima?
. Hehehehe alafu Huyo jamaa dk chache nimeisoma habari wanasema nimzushi wa habari anaibia sehemu so inaweza Kuwa si kweli! Sijasema Bony Mzuri kuliko Benzema ila LFC wanahitaji kitu tofauti Benzema anavyocheza Hana tofauti na Sturidge ila Bony anajuwa kutowa Pasi nzuri kumuweka mtu pembeni na kazi ya kuzuia anaweza anavitu ambavyo Benzema Hana na Bony EPL tayari tunajuwa anaziweza so kwa LFC nitachokuwa Bony kuliko Benzema hata Remy nimeona ajabu labda sababu Cheap!.Mdau vyanzo vyako vya habari hahahahaha
Msimu ujao kazi ipo Skrtel na Lucas hawauzwi
Kweli Bony ni mzuri kumshinda Benzima?
ni kweli, Bony is a team player ila kwa 14M na Remy itakua too much, we only need one of them. Hehehehe alafu Huyo jamaa dk chache nimeisoma habari wanasema nimzushi wa habari anaibia sehemu so inaweza Kuwa si kweli! Sijasema Bony Mzuri kuliko Benzema ila LFC wanahitaji kitu tofauti Benzema anavyocheza Hana tofauti na Sturidge ila Bony anajuwa kutowa Pasi nzuri kumuweka mtu pembeni na kazi ya kuzuia anaweza anavitu ambavyo Benzema Hana na Bony EPL tayari tunajuwa anaziweza so kwa LFC nitachokuwa Bony kuliko Benzema hata Remy nimeona ajabu labda sababu Cheap!.
LOIC REMY GUYS!!!
looks like he's on his way to LFC..just for £8m..
What are your thoughts about this move????
He's just a backUp though..BR said we need 4 strikers..so ts Danny, Remy and Lambert mpka sasa!!!
Bado mmoja..
Wakuu nimecheki ratiba ya mechi ya kirafiki Liverpool vs Preston, ss3 ni 15:55 kwa masaa ya kibongo si ni saa 8:55 mchana?
nadhani ni saa kumi na moja kamili jioni kaka
Mkuu,hii ishu ya Borini na Mwenzie ina uhakika? Au just rumours? Nipe source brother