who should replace him? Plz usinambie habari za Remy au Bony
duh! Headache nyingine hiyo! Bora wamsajili Pedro
So at last Suarez is gone.Striker wa kweli anahitajika aisee!Either aliyefunga sana kwenye ligi msimu uliopita au ameng'ara WC au vyote viwili without more or less..!
dogo for your information this jukwaa does not belong to anyone except liverpool fans
we nichukulie kivyovyote maana mi si kujui na wala unijui.
mimi na wewe tumeikuta jamiiforums
[FONT=&]Naandika kwa uchungu kuhusiana na farewell ya King Suarez maana leo ni siku mbaya kwangu maana kuondoka kwa suarez na sunchez kusaini the gunners kwa kweli ni majozi lakini lazima tukubaliane na hali jinsi ilivyo. Najua wengi wa fans wa Liverpool watakua wana mlaumu Ayre kwa kutuweza kumprotect Suarez kuondoka Anfield.Yawezekana ni kweli nani anajua!!! Wapo waliopost wakilaumu BR kuwa sio kocha coz hafanyi chochote kumzuia Suarez asiondoke wakaandika mengi wakionesha ni watu wasio na shukrani na wenye upeo mdogo wa kupambanua mambo wengine niliwahi kubishana nao kupitia post zao mpaka saa 10 alfajiri nikiwaelewesha swala la Suarez kwenda barca kuwa ni uamuzi wake na ni ndoto yake ya udogoni tena nikatumia maneno haya kama kuna watu wanakumbuka,''Kama Suarez kwenda Barca ni ndoto yake basi Liverpool sio final destination yake so ni lazima ataondoka tu na hata iweje hatuwezi mzuia.''Sasa ngoja niwaletee sehemu ya barua alioandika Suarez............[/FONT]
[FONT=&]NUKUU YA SEHEMU YA BARUA:[/FONT]
[FONT=&]"I hope you can all understand why i have made this decision this club did all they could to get me stay to stay but playing and living in Spain where my wife's family lives is lifelong dream and ambition I believe now the timing is right."[/FONT]
[FONT=&]hiyo ndo sehemu ya barua ya Suarez akieleza club imefanya kila njia kumzuia asiondoke lakini kuishi na kucheza Spain ambako familia ya mke wake inaishi ni ndoto zake za muda mrefu na mipango yake na sasa anadhani huu ndo wakati muafaka.Kwa wale wasiojua historia ya Suarez mkewe Sophia ndiye chachu ya Suarez kucheza mpira,kipindi Suarez akiwa mdogo toka familia maskini akiwa mfagizi wa barabara ktk nchi ya Uruguay ndipo alipokutana na huyu bibie,alimsupport hata kwa kumnunulia vifaa vya michezo toka ktk pesa za familia yake ambayo ilikuwa ina uwezo mpk familia ya sophia ilipoamia Spain ktk jimbo la Catalunya hapo ndipo Suarez alipoanza kuwa serious na mpira akijua njia pekee ya kuwa karibu na mpenzi wake ni kucheza mpira kazi na kupata nafasi ya kununuliwa ulaya ambako atakuwa karibu na Sophia.
[/FONT]
[FONT=&]Kiukweli nadiliki kusema Suarez could have been an absolute legend at Anfield, eclipsing even Fowler, Rush, Owen and close to Ken Daglish. At Barca, he's going to be one of a number of Superstars but behind Messi, Neymar etc in that club's history. He's trading his legacy for personal preference to play in Spain, which is understandable given the exposure that league has in his native land. Since he's given Liverpool the opportunity to negotiate from strength (as opposed to last year or what Torres did), I don't begrudge him the move and wish him all the best in his future endeavors. Liverpool can now CV lose that chapter in their history and move on to bigger and better things
[/FONT]
[FONT=&]Nini tunapaswa kufanya ili tuweze kuziba pengo la King Suarez????? Kwa maoni yangu tunapaswa kutafuta mchezaji wa caliber ya suarez!!! Ni nani hasa anapswa kuja anfield…..najua kops wengi kila mmoja ana maoni yake.lakini mimi naona James Rodriguez au Willifred Bonny wanaweza kuziba pengo la Suarez na roho yangu itasuuzika sana pale nitapoona James Rodriguez anafanyiwa medical check up anfield.
[/FONT]
[FONT=&]Goodbye Suarez binafsi nimekuelewa kama mwanadamu kila mtu ana ndoto zake na ni lazima ziheshimiwe maana bila wewe leo tusingekua kwenye champ ligi, bila wewe tusingeshika nafasi ya pili kwenye EPL nakurudisha heshima ya club iliyopotea miaka mine iliyoisha. vilevile naamini kua uko uendako utakua balozi mzuri sana wa Liverpool maana utakua unawashawishi wachezaji wazuri waje wachezee liverpool. However nakupongeza kwa maneno yako mazuri kwa fans wote wa Liverpool…… Kwakusema hivi…….
[/FONT]
[FONT=&]‘But most of all I have fallen in love with the incredible fans. You have always supported me and we, as a family, will never forget it, we will always be Liverpool supporters. YNWA[/FONT]
Mie sina baya lakusema Kuhusu Suarez! Ila naongelea ya LFC Kama itatokea kati ya Bony na Remy bora Bony na sasa hivi tusitizame kipimo mtu kuja kumfananisha na Suarez ni ngumu labda Kama Di Maria na nikitu haiwezekani je Ben Arfa hafai kuja?
Pole Sana mkuu Tores na kops wengine kwa machungu mliyopata kwa kuondoka Suarez. ILA mnasahau kitu kimoja kuwa amesema BR, "no individual is bigger than Liverpool Football Club"
Wakati Kelvin Keegan anaondoka kwenda bundesliga Kuna watu walilia, but akaja Kenny Daglish watu wakasahau kila kitu. Legend Daglish akamuachia kijiti Ian Rush, hakuna aliyeifikia rekodi ya magoli ya Rush. Akaja Robbie Fowler, watu hadi tulimwita GOD, naye akapita, tukampata Michael Owen, alikuwa ni kila kitu Anfield kila wiki anatupa raha but eventually akatimkia Madrid. Alipokuja Torres watu tunajua El Ninho ndio mwisho but akaondoka kwa kutuachia 50M pale kikatua chuma El Pistolero Suarez,,,, Ndo hivyo anasepa but watakuja wengine.
Raheem Sterling will step up next season kwa goli si chini ya 20, kuna goli 25 za Sturridge. Kuna double figures toka kwa Coutinho, Lallana, Stevie G, Borini, Lambert hakosi 15 goals. Kama akija Bonny ana goli 25. We are in very good hands of BR with bright future under FSG
Pia Kops lazima kuelewa kuwa katika goli 101 za msimu uliopita Suarez alikuwa na 31, huku 70 zikitupiwa na wakali wengine. So ukiangalia hapo goli zipo, timu chache Sana EPL zilifikisha goli 70 msimu uliopita. The way forward ni kuimarisha defense tu ili tusiruhusu magoli mengi, badala ya kumpiga Cardiff City 6-3 tumpige 3-0. Badala ya kumpiga Stoke City 5-3 tumpige 2-0, badala ya kumpiga Swansea 4-3 tumpige 1-0, tusitoke droo 3-3 na Crystal Palace, tuweze kutoa sare Etihadi au Stamford Bridge,,, kushinda Emirates na Old Trafford inahitaji beki imara tu skills zipo. Mwakani tutagombana na Madrid au Barca kuwa wanamtaka Coutinho akitupia goli zake 12 na assist 15...
cha kuongeza ni kwamba Suarez hakufunga kwa kujipasia mpira... someone created those chances kuanzia defenders, midfielders hadi strikers wenzake
Nina wasiwasi zaidi na Sterling kuliko Coutnho, kwasababu mama wa Sterling hajatulia; all she wants ni pesa tu, tunaweza kumpoteza kirahisi zaidi kuliko Phillipe, unless phillipe atake kwenda simply because Lucas anauzwa
Ha! Yani kotinyo aondoke kisa lucas anaondoka? Kwani walikuja pamoja?